Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipokuwa CCM aliwatetea kwa yapi vile?..hivi kweli matatizo ya Wazanzibar yameanza toka Maalim Seif aondoke CCM au!Maalim Seif aliahidi tokea miaka hiyo akiwa anafanya kazi katika ofisi ya waziri kiongozi alisema atawatetea wazanzibari akiwa ndani ya serikali au nje ya serikali akiwa ndani ya chama au nje ya chama na wakati huo alikuwa CCM na sisi sote tulikuwa ni CCM na pia aliwaahidi wazanzibari kuwa atawatetea kwa njia yoyote akiwa ndani ya Zanzibar au nje ya Zanzibar kwa hivyo huyo ndio Maalim Seif hawezi hata siku moja kuwasaliti wazanzibari ahadi yake bado hajaitumiza kwa nini tena awasaliti? Alihoji Makamu huyo huku akishangiriwa na mashabiki wa chama hicho.
Pdidy,
Tunaweza kusamehe lakini hatutasahau.
Kama Mungu tumkoseavyo kila siku na tukirudi kwake anatusamehe na riziki zake anatupa...kwanini isiwe hivyo kwa wanaadamu...wakati kusameheana kunaleta umoja,mshikamano....visasi vinasogeza shari na mapigano kila siku yote ya nini hayo?
Mkuu unajuwa jinsi ya kupiga Dumbak?
- pdid mkwawa akirudi leo wale wabongo tuliooa wazungu tutanmwambia nini? Mwalimu akirudi leo tunamwambia nini na huu ufisadi,
- hizo ndizo politics na politicians, lazima uwe mnafiki na hakuna permanent truth, wala permanent friends ukiingia kichwa kichwa shauri yako!
es!
Mkandara, Matatizo ya Zanzbar yameanza tarehe 12 Januari 1964 na yakapamba moto zaidi kuanzia tarehe 26 April 1964...mpka leo hatutambuwani.Alipokuwa CCM aliwatetea kwa yapi vile?..hivi kweli matatizo ya Wazanzibar yameanza toka Maalim Seif aondoke CCM au!
Haswaaa sasa hizi imani ya sifa za kumpa huyu Maalim Seif zinatoka wapi? Binafsi kama ningekuwa Mzanzibar ningerudisha chama cha UMMA Party chama ambacho kilifanya Mapinduzi na yakadumu kwa mwezi mmoja tu kbala wavamizi hawanyakua tonge mdomoni. Ndicho chama kilichokuwa kati ya Hizbu na Afro Shiraz na walikuwa na nia njema kwa Zanzibar yote..kinyume cha hapo ni kupotosha ukweli.Mkandara, Matatizo ya Zanzbar yameanza tarehe 12 Januari 1964 na yakapamba moto zaidi kuanzia tarehe 26 April 1964...mpka leo hatutambuwani.