Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

Hakuna kitu kama hicho, anakudanganya tu wale jamaa mambo yao siri siri tu.

Ila nakusanua IO anakula zaidi ya 1.7M na posho kwa mwezi ni 450k

At the end wanaondoka kama 2.1M.
Ndio hvyo
haah hapana mzee..maana huyu jamaa alishawahi kuwa IO.....Labda kama wamebadilisha hivi karibuni
 
Ni ngumu kumshinda mtoto wa pinda..baba yake anapiga simu moja tu anapita
 
haah hapana mzee..maana huyu jamaa alishawahi kuwa IO.....Labda kama wamebadilisha hivi karibuni
Kakojoe ulale, akili za kuambiwa changanya na za kwako!!

Hivi leo mtu anapambana na rushwa alaf kwa degree alipwe 610k? Inaingia akilini?
Huyo alitaka kukuongopea ili tu uone hakuna maslahi kule..
 
Unapata kazi ya kupambana na rushwa kwa kutoa rushwa.

Hii nchi ishaoza inatoa wadudu tu.

Mkuu Mr.Junior naomba useme kwamba ulichoandika ni "Hadithi tu" KWAVILE kama ni kweli BASI sisi kama TAIFA tutakuwa tumefika pabaya sana. Kama hii taarifa ni ya ukweli BASI sisi sote na viongozi wetu wa KIIMANI tunahitaji kutubia huu uovu. MUNGU tusaidie
 
Kakojoe ulale, akili za kuambiwa changanya na za kwako!!

Hivi leo mtu anapambana na rushwa alaf kwa degree alipwe 610k? Inaingia akilini?
Huyo alitaka kukuongopea ili tu uone hakuna maslahi kule..
dah sawa mkuu...sasa sijui anafaidika vipi kunidanganya ...na ni ndugu yangu kabisa
 
Wewe uliyataka mwenyewe! Jina lishatoka ila ukajifanya kiherehere kwenda kutaka uwekwe unapopataka wewe... Ungekausha tu mchakato uendelee ungekuja kujua mbele kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…