Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 855
- 1,483
Umetumwa ww acha uongo!!watu mnalalamika sana...mshahara wenyewe nimefuatilia kumbe ni 610,000/= kwa investigetive officer na 453,000/= kwa assistant
Kama hufaham sema uambiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetumwa ww acha uongo!!watu mnalalamika sana...mshahara wenyewe nimefuatilia kumbe ni 610,000/= kwa investigetive officer na 453,000/= kwa assistant
sio ivyo ni laki 720000/= sio iyo unayo semaUmetumwa ww acha uongo!!
Kama hufaham sema uambiwe
Mmmmmmmh!!!!!Haikua kwa maofisa tu, hawa ni assistants, hawapo list y written ila oral wapo
View attachment 2121530
mimi ndiyo niliambiwa hivyo na mtu anaefanya kazi hukoUmetumwa ww acha uongo!!
Kama hufaham sema uambiwe
sidhan kama inafika hapasio ivyo ni laki 720000/= sio iyo unayo sema
Hakuna kitu kama hicho, anakudanganya tu wale jamaa mambo yao siri siri tu.mimi ndiyo niliambiwa hivyo na mtu anaefanya kazi huko
haah hapana mzee..maana huyu jamaa alishawahi kuwa IO.....Labda kama wamebadilisha hivi karibuniHakuna kitu kama hicho, anakudanganya tu wale jamaa mambo yao siri siri tu.
Ila nakusanua IO anakula zaidi ya 1.7M na posho kwa mwezi ni 450k
At the end wanaondoka kama 2.1M.
Ndio hvyo
Smart kwa kuvaa vizuriMbona Salum Hamduni huwa yupo smart ,haya yametoka wapi Tena?
Ni ngumu kumshinda mtoto wa pinda..baba yake anapiga simu moja tu anapitaAcha kuandika usichokijua, na pia usidharau vijana wenzako ukajiona wewe bora sana eti kwa sababu umeitwa oral, wenzako hawajaitwa. Kwa taarifa yako hiyo kuitwa ni formality tu, mnasindikiza watu. Baada ya oral mafuta yatajitenga na maji. Kapige hiyo oral, kisha majina yakiachiwa rudi hapa kuleta mrejesho. Namfahamu mtoto wa waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda, anaitwa Chrispin Mizengo Pinda, alienda kwenye aptitude na sasa kaitwa oral, na kazi bila shaka atapata pia. Huyo katokea familia duni? Ningekupa mifano mingine mingi ya madogo nnaowafahamu. Kanywe tu mtori Dodoma, but usitegemee utakuta nyama chini. Over
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakojoe ulale, akili za kuambiwa changanya na za kwako!!haah hapana mzee..maana huyu jamaa alishawahi kuwa IO.....Labda kama wamebadilisha hivi karibuni
Unapata kazi ya kupambana na rushwa kwa kutoa rushwa.
Hii nchi ishaoza inatoa wadudu tu.
dah sawa mkuu...sasa sijui anafaidika vipi kunidanganya ...na ni ndugu yangu kabisaKakojoe ulale, akili za kuambiwa changanya na za kwako!!
Hivi leo mtu anapambana na rushwa alaf kwa degree alipwe 610k? Inaingia akilini?
Huyo alitaka kukuongopea ili tu uone hakuna maslahi kule..
Mkuu mishahara hiyo analipa baba yako wewe?Hakuna kitu kama hicho, anakudanganya tu wale jamaa mambo yao siri siri tu.
Ila nakusanua IO anakula zaidi ya 1.7M na posho kwa mwezi ni 450k
At the end wanaondoka kama 2.1M.
Ndio hvyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu mishahara hiyo analipa baba yako wewe?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] maana amekomalia as if analipa baba yake, wakati serikali ndio hulipa na watu wanaona PAYE zao kila mwezi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni Taasisi ya kupambana na Rushwa alafu wafanyakazi wake wanapatikana kwa shurwa...
NimekusomaAtajionea mwenyewe siku akifika huko. Usisahau mkuu ile harakati
Sawa sawa mkuuNimekusoma
Wewe uliyataka mwenyewe! Jina lishatoka ila ukajifanya kiherehere kwenda kutaka uwekwe unapopataka wewe... Ungekausha tu mchakato uendelee ungekuja kujua mbele kwa mbeleShikamoo Mkurugenzi Mkuu Salum Hamduni
Mimi ni kijana niliyekuwa miongoni mwa vijana tuliofanya Usaili tarehe 8 January, 2022 na majibu yametoka juzi. Ulitokea mkanganyiko ambapo jina langu lilitoka kwenye list ya WACHUNGUZI WACHUNGUZI (waombaji wenye Degree) wakati mimi niliomba nafasi ya WACHUNGUZI WASAIDIZI (maana nina Diploma).
Kutokana na mkanganyiko huo,niliambiwa na Wasimamizi nifanye Mtihani wa Wachunguzi Wasaidizi lakini nikitumia namba ya Mtihani niliyopewa kwenye list ya WACHUNGUZI.
Na kwa kuwa sikuwa peke yangu niliochanganywa nafasi, tuliambiwa na Wasimamizi kwamba Mitihani yetu itawekwa Pending kusubiri maelekezo mengine.
Licha ya kuamini kwamba nilifanya vizuri Mtihani ule, jina langu halijatoka pamoja na majina ya wengine wote tuliokumbwa na kadhia ya kuchanganywa nafasi tulizoomba, hivyo tunaamini mkanganyiko uliojitokeza ndio uliosababisha majina yetu yasitoke.
Kwa HESHIMA NA TAADHIMA, tunakuomba Mkurugenzi Mkuu ufuatilie suala hilo.
Ubarikiwe sana