Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

Ukiona ajira 1000 zinatangazwa ujue ajira 20 tu ndio zipo wazi ila hizo nyingine watu huwa wame cover gape tayari.

Poleni sana kwa wote mliokosa.
 
Huu ni zaidi ya usanii kama si uhuni. Yaani watoto wa maskini wanasafiri kutoka Mpitimbi Songea Vijijinia au Mkwenangi Katavi kuja Dodoma kufanya Usaili na kuambilia patupu kumbe kuna watoto wa wenye nazo hata hawajishughulishi kuhudhuria Usaili na eti majina yao yanatoka wamefaulu. Ushahidi wa majina hayo ninao wote.

Hakika nchi ngumu sana hii. Mheshimiwa Mama Samia ingilia kati uonevu huu
 
Mungu anasema mali na vyote vijazavyo Nchi ni mali yangu na anasema nijarubuni kwa matoleo yenu muone kama sitawanyeshea mvua ya Baraka. Mungu hajawahi kuniacha hata katikati ya simba wakali mimi nikiwa kondoo nilitoboa...Asante Yesu
 
CARDLESS tumia busara,sio suala la wote kuitwa,inachotakiwa ni HAKI,si sawa watoto wa maskini watumie gharama kusafiri kutoka makwao mpaka Dodoma,gharama za malazi na chakula halafu nafasi wapewe watoto wa wakubwa ambao hata kuhudhuria Usaili hawakuhudhuria,hii si sawa. Chombo kama TAKUKURU kikiwa KICHAFU wakati kipo Kisheria kupambana na mambo MACHAFU ni aibu
 
Nakumbuka kuna dada nilikuwa nachat naye telegram siku moja kabla ya usaili aliniambia vitu kama hivi
Alisema yeye ameapply na ameitwa kwenye aptitude test ila hawezi kuja kwa sababu kuna mtoto mmoja wa kigogo fulani (yeye anamjua) tayari ana nafasi yake licha ya kutofika kwenye usaili so hawezi Kupoteza nauli kwakuwa ameshaona kuna viashiria vya kuwepo kwa majina yaliyoandaliwa kabla ya usaili
 
Bado namkumbuka rais wa muda wote wa maisha yangu.

John Pombe Magufuli. Mungu akulaze peponi Mzee wangu.
Jirani yangu alisomea udaktari.

Wakatangaza posts serikalini na kigezo kimojawapo kikawa ni kujitolea.

Jirani yangu hakuwa amewahi kujitolea. Connection ya mzee mmoja hivi ikampa kazi.

Ilitokea kipindi cha Magufuli. Kuna vitu ni vigumu kuzuia haswa hizi connection isipokua TAKUKURU wamejiexpose hapa
 
Nakumbuka kuna dada nilikuwa nachat naye telegram siku moja kabla ya usaili aliniambia vitu kama hivi
Alisema yeye ameapply na ameitwa kwenye aptitude test ila hawezi kuja kwa sababu kuna mtoto mmoja wa kigogo fulani (yeye anamjua) tayari ana nafasi yake licha ya kutofika kwenye usaili so hawezi Kupoteza nauli kwakuwa ameshaona kuna viashiria vya kuwepo kwa majina yaliyoandaliwa kabla ya usaili
telegram 😋😋😋 kule wanakotoa huduma zote.
 
Nakumbuka kuna dada nilikuwa nachat naye telegram siku moja kabla ya usaili aliniambia vitu kama hivi
Alisema yeye ameapply na ameitwa kwenye aptitude test ila hawezi kuja kwa sababu kuna mtoto mmoja wa kigogo fulani (yeye anamjua) tayari ana nafasi yake licha ya kutofika kwenye usaili so hawezi Kupoteza nauli kwakuwa ameshaona kuna viashiria vya kuwepo kwa majina yaliyoandaliwa kabla ya usaili
Same to me. Kuna ambaye niliwasiliana nae na alinitumia hadi screenshot ya msg za kigogo anaewapigania watoto wawili. Niliumia sana, basi tu ndio vile utafanyaje. Yaani sisi tulienda Dom kufanya Aptitude test halafu wengine wamekaa makwao wanaperuzi kwenye pages za umbea Instagram na mwisho wa siku wana nafasi za kazi tayari.
 
Pccb jitokezeni mfafanue na hili ,inakuwaje mtu jina halikutokea kwenye written interview lakini kwenye oral interview limetokea
IMG_20220215_130738_456.jpg
IMG_20220215_130745_821.jpg
 
CARDLESS tumia busara,sio suala la wote kuitwa,inachotakiwa ni HAKI,si sawa watoto wa maskini watumie gharama kusafiri kutoka makwao mpaka Dodoma,gharama za malazi na chakula halafu nafasi wapewe watoto wa wakubwa ambao hata kuhudhuria Usaili hawakuhudhuria,hii si sawa. Chombo kama TAKUKURU kikiwa KICHAFU wakati kipo Kisheria kupambana na mambo MACHAFU ni aibu
Hakuna mtoto wa tajiri akaenda kuwa afisa wa TAKUKURU mzee. Wote hao 20000+ wametumia gharama, ni ile hali ya ulalamikaji wa waTZ hakuna jema hapo, bora hata TISS hawatangazi nafasi maana ni kero sana. Anyway mliataka wafanye nn msilalamike?? UTUMISHI wanatoa kwa mfumo huo mnaoutaka hapa lkn kila siku nyuzi za kuwasema hawako fair haziishi.
 
Majina ya watakaofanya oral ya pccb yalitoka yakiwa na changamoto kadhaa ikiwemo watu kurudiwa rudiwa mara mbili ,hilo walikuja wakalitolea majibu ,tunaomba pia mtolee majibu na hili kwa mtu ambae hakuitwa Written Interview Ila jina lake limetoka kwenye Oral interview ?View attachment 2120090
IMG_20220215_130745_821.jpg
 
Hakuna mtoto wa tajiri akaenda kuwa afisa wa TAKUKURU mzee. Wote hao 20000+ wametumia gharama, ni ile hali ya ulalamikaji wa waTZ hakuna jema hapo, bora hata TISS hawatangazi nafasi maana ni kero sana. Anyway mliataka wafanye nn msilalamike?? UTUMISHI wanatoa kwa mfumo huo mnaoutaka hapa lkn kila siku nyuzi za kuwasema hawako fair haziishi.
Hawa ambao wazee wao wamewaingiza huko wanatoka wapi?
 
Back
Top Bottom