Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Familia duni hizo mzee, ww na pesa zako utakubali mtoto wako awe TAKUKURU??Hawa ambao wazee wao wamewaingiza huko wanatoka wapi?
document yao ipo ya written iliyotokaga na oral ipo ni suala la wewe kucheza na Excel tu hapo too simple unapata majibuHuo siyo ushahidi tosha. Documents na majina hayana uthibisho kwamba yameandikwa na PCCB, wala hamna ushahidi kwamba hayo majina hayakuwepo kwenye written interviewees' list na hayakutokea kwenye kwenye oral interviewees' list ya PCCB.
Jipange utoe maelezo ya kina kutetea tuhuma zako
ingia website ya PCcb udownload Walioitwa Written na Walioitwa Oral utaelewa kitu gan ,namaanisha ,source ni website yaoHuo siyo ushahidi tosha. Documents na majina hayana uthibisho kwamba yameandikwa na PCCB, wala hamna ushahidi kwamba hayo majina hayakuwepo kwenye written interviewees' list na hayakutokea kwenye kwenye oral interviewees' list ya PCCB.
Jipange utoe maelezo ya kina kutetea tuhuma zako
Labda wewe mwenzetu utajiri wako kama wakina Mo Dewj ni haki yako kusema hivyo.Huko wanalipa vizuri na ndio maana wanachomeka watoto wao.Na wanajua wakishaingia kwenye system wanaweza kuwaweka sehem nyingine nzuri zaidiFamilia duni hizo mzee, ww na pesa zako utakubali mtoto wako awe TAKUKURU??
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hujui ulisemalo mzee.Labda wewe mwenzetu utajiri wako kama wakina Mo Dewj ni haki yako kusema hivyo.Huko wanalipa vizuri na ndio maana wanachomeka watoto wao.Na wanajua wakishaingia kwenye system wanaweza kuwaweka sehem nyingine nzuri zaidi
Pole sana mkuu, tupo wengi tulioguswa na hiliSame to me. Kuna ambaye niliwasiliana nae na alinitumia hadi screenshot ya msg za kigogo anaewapigania watoto wawili. Niliumia sana, basi tu ndio vile utafanyaje. Yaani sisi tulienda Dom kufanya Aptitude test halafu wengine wamekaa makwao wanaperuzi kwenye pages za umbea Instagram na mwisho wa siku wana nafasi za kazi tayari.
duuuuh hii inatisha kwa kweli aiseeee, kumbe ndio mambo yapo ivi kweli nchi ngumu hiiPccb jitokezeni mfafanue na hili ,inakuwaje mtu jina halikutokea kwenye written interview lakini kwenye oral interview limetokea View attachment 2120087View attachment 2120088
Acha kuandika usichokijua, na pia usidharau vijana wenzako ukajiona wewe bora sana eti kwa sababu umeitwa oral, wenzako hawajaitwa. Kwa taarifa yako hiyo kuitwa ni formality tu, mnasindikiza watu. Baada ya oral mafuta yatajitenga na maji. Kapige hiyo oral, kisha majina yakiachiwa rudi hapa kuleta mrejesho. Namfahamu mtoto wa waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda, anaitwa Chrispin Mizengo Pinda, alienda kwenye aptitude na sasa kaitwa oral, na kazi bila shaka atapata pia. Huyo katokea familia duni? Ningekupa mifano mingine mingi ya madogo nnaowafahamu. Kanywe tu mtori Dodoma, but usitegemee utakuta nyama chini. OverFamilia duni hizo mzee, ww na pesa zako utakubali mtoto wako awe TAKUKURU??
hii kitu ni hatari sana na inaumiza mnooooooona huyu hapaView attachment 2120093
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hujui ulisemalo mzee.
Ongea vitu vinavyo eleweka sio unaongea kama unaongelea inudnukmHuo siyo ushahidi tosha. Documents na majina hayana uthibisho kwamba yameandikwa na PCCB, wala hamna ushahidi kwamba hayo majina hayakuwepo kwenye written interviewees' list na hayakutokea kwenye kwenye oral interviewees' list ya PCCB.
Jipange utoe maelezo ya kina kutetea tuhuma zako
Acha kuandika usichokijua, na pia usidharau vijana wenzako ukajiona wewe bora sana eti kwa sababu umeitwa oral, wenzako hawajaitwa. Kwa taarifa yako hiyo kuitwa ni formality tu, mnasindikiza watu. Baada ya oral mafuta yatajitenga na maji. Kapige hiyo oral, kisha majina yakiachiwa rudi hapa kuleta mrejesho. Namfahamu mtoto wa waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda, anaitwa Chrispin Mizengo Pinda, alienda kwenye aptitude na sasa kaitwa oral, na kazi bila shaka atapata pia. Huyo katokea familia duni? Ningekupa mifano mingine mingi ya madogo nnaowafahamu. Kanywe tu mtori Dodoma, but usitegemee utakuta nyama chini. Over
Sent using Jamii Forums mobile app
afsa mchunguzi ni sh 2,200,000/=Mshahara wao uko pccb ni tsh ngapi? Naona watu wanapigana vikumbo kupata nafasi huko
Word[emoji1377]Acha kuandika usichokijua, na pia usidharau vijana wenzako ukajiona wewe bora sana eti kwa sababu umeitwa oral, wenzako hawajaitwa. Kwa taarifa yako hiyo kuitwa ni formality tu, mnasindikiza watu. Baada ya oral mafuta yatajitenga na maji. Kapige hiyo oral, kisha majina yakiachiwa rudi hapa kuleta mrejesho. Namfahamu mtoto wa waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda, anaitwa Chrispin Mizengo Pinda, alienda kwenye aptitude na sasa kaitwa oral, na kazi bila shaka atapata pia. Huyo katokea familia duni? Ningekupa mifano mingine mingi ya madogo nnaowafahamu. Kanywe tu mtori Dodoma, but usitegemee utakuta nyama chini. Over
Sent using Jamii Forums mobile app