Nsombas
JF-Expert Member
- Oct 25, 2018
- 285
- 427
Eti huyu naye anajinadi kuwa anachangia hoja ya msingi.Huo siyo ushahidi tosha. Documents na majina hayana uthibisho kwamba yameandikwa na PCCB, wala hamna ushahidi kwamba hayo majina hayakuwepo kwenye written interviewees' list na hayakutokea kwenye kwenye oral interviewees' list ya PCCB.
Jipange utoe maelezo ya kina kutetea tuhuma zako
Mwenzio alichokileta hapo ndicho kilichopo.
Kwa umakini nimeangalia kwenye list ya majina tuloitwa Written interview ya Maafisa Uchunguzi, jamaa mmojawapo hapo hayupo, lakini ameitwa kwenda kwenye Oral interview. PDF zote ninazo.