Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

Tafuta mali uwe na connection then ndo uzae watoto baadae uje wafanyia connection waishi vizuri waache wale mema wazazi wao na connection zao zinafanya kazi
 
Tanzania ajira ni vita ! Yaani watu wanachutama na kufanya kila linalowezekana wachomeke matakwa yao. Piga ua garagaza, sio mbaya kama mtu ana sifa but inaaishia kuacha talented people wasio na wakuwashika mkono
 
Huo siyo ushahidi tosha. Documents na majina hayana uthibisho kwamba yameandikwa na PCCB, wala hamna ushahidi kwamba hayo majina hayakuwepo kwenye written interviewees' list na hayakutokea kwenye kwenye oral interviewees' list ya PCCB.

Jipange utoe maelezo ya kina kutetea tuhuma zako
 
document yao ipo ya written iliyotokaga na oral ipo ni suala la wewe kucheza na Excel tu hapo too simple unapata majibu
 
ingia website ya PCcb udownload Walioitwa Written na Walioitwa Oral utaelewa kitu gan ,namaanisha ,source ni website yao
 
Familia duni hizo mzee, ww na pesa zako utakubali mtoto wako awe TAKUKURU??
Labda wewe mwenzetu utajiri wako kama wakina Mo Dewj ni haki yako kusema hivyo.Huko wanalipa vizuri na ndio maana wanachomeka watoto wao.Na wanajua wakishaingia kwenye system wanaweza kuwaweka sehem nyingine nzuri zaidi
 
Labda wewe mwenzetu utajiri wako kama wakina Mo Dewj ni haki yako kusema hivyo.Huko wanalipa vizuri na ndio maana wanachomeka watoto wao.Na wanajua wakishaingia kwenye system wanaweza kuwaweka sehem nyingine nzuri zaidi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hujui ulisemalo mzee.
 
Pole sana mkuu, tupo wengi tulioguswa na hili
 
Familia duni hizo mzee, ww na pesa zako utakubali mtoto wako awe TAKUKURU??
Acha kuandika usichokijua, na pia usidharau vijana wenzako ukajiona wewe bora sana eti kwa sababu umeitwa oral, wenzako hawajaitwa. Kwa taarifa yako hiyo kuitwa ni formality tu, mnasindikiza watu. Baada ya oral mafuta yatajitenga na maji. Kapige hiyo oral, kisha majina yakiachiwa rudi hapa kuleta mrejesho. Namfahamu mtoto wa waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda, anaitwa Chrispin Mizengo Pinda, alienda kwenye aptitude na sasa kaitwa oral, na kazi bila shaka atapata pia. Huyo katokea familia duni? Ningekupa mifano mingine mingi ya madogo nnaowafahamu. Kanywe tu mtori Dodoma, but usitegemee utakuta nyama chini. Over

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongea vitu vinavyo eleweka sio unaongea kama unaongelea inudnukm
 

Mshahara wao uko pccb ni tsh ngapi? Naona watu wanapigana vikumbo kupata nafasi huko
 
Word[emoji1377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…