Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

kwaiyo unataka kuniambia mshahara wa pccb baada ya makato yote mtu anaweza kuondoka na laki 6 au 7 (mwenye degree)
 
kwaiyo unataka kuniambia mshahara wa pccb baada ya makato yote mtu anaweza kuondoka na laki 6 au 7 (mwenye degree)
Yes, kama ni mshahara ule ghafi ukiweka makato, PSSF, NHIF, PAYE mshahara utaobakia mkononi utacheza hapo hapo. Sijui nani anadanganya kuwa hawa watu wanalipwa vizuri. Nina watu wapo huko PCCB ni njaa kali tu. Mkifika kazini ndio mtaaona.
 
Duh kwaiyo, ukiwa kwenye hii taasisi na zikatokea kazi sehemu nyingine (zile za transfer, si unaweza kuwa transfer au ni ngumu)
 
Kwa hiyo TISS wao wanalipwa M2.1 [emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji1787][emoji1787] wewe dogo fala sana.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ilibidi nicheke kwanza. Sijui Mil 2.2 anaichukuliaje
 
Yaan natamani nikwambie ila basi tu, hao TISS mishahara yao ni midogo mno. Tofauti ya TISS na POLISI ni ndogo sana yaan ni ndogo saaaaaaaana.

Huo mshahara uliotaja wewe ni mkubwa sana. Hiyo 2.2 igawanye mara mbili ndio mshahara wao mzee.

Hao TISS watu wanawasifia tu ila wana maisha ya kawaida sana, nje ya safari ni weupe sana kwa mwezi wanapata kama 1.1M inclusive everything.

Kuna kipindi nilidate na watu wa huko kusema ukweli nilimsaidia vitu vingi maana ikifika katikati ya mwezi hana kitu yaani mweupe pyee kama karatasi

Same applies to PCCB officer baada ya makato yote anapokea kama laki saba hivi.
 
Umemaliza, mm huwa nashanga sana. Binafsi, kwetu kuna watu kama wa3 wako huko, wanalia njaa tu, tarehe kama hizi hata pesa ya kula ni changamoto.
 
Inauma sana kijana I can see the pain waliotumia muda na fedha zao kwenda kwenye interview ivi vitu vimeshamili baada ya mwendazake kuondoka.

NB: kuna thread nilijibu kuwa hata TRA walishaita watu kwenye interview ya mchongo na wameshaajiriwa wanapiga hela nachofurahi nikuwa hawa kuwa hangaisha watoto wa wakulima ila nilishambuliwa na maneno ya kejeli now they see it days are going no reply ....
 
Mchunguzi msaidizi anachukua laki 8 na 16,kabla ya makato.ipo hivyo mkuu ukitaka mengine siwezi kupublish hapa ,mpka posho mkoa ,wilaya tunazijua braza usiione tumekaa kimya,na kuna posho ya kila tar 5,acha niishie hapo
watu hawazungumzii msaidizi wanazungumzia mchunguzi kamili mwenye degree, anakula mpaka 2.2M kwa mwezi kabla makato
 
Nenda mahakami ndugu si umesema na ushahidi unao
 
Yes, kama ni mshahara ule ghafi ukiweka makato, PSSF, NHIF, PAYE mshahara utaobakia mkononi utacheza hapo hapo. Sijui nani anadanganya kuwa hawa watu wanalipwa vizuri. Nina watu wapo huko PCCB ni njaa kali tu. Mkifika kazini ndio mtaaona.
Nina rafiki yangu ana diploma yupo TPB ( sasa TCB) analipwa zaidi ya hiyo laki 6. Kwakua hajanitajia mshahara exact labda nikikutajia kiwango anachoweza kukopa utapata picha.

Anaweza kukopa Milioni 21.

Hapo inakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…