Matokeo ya mwisho ya Simba na Yanga walipokutana na timu walizopangwa sasa kwenye CAFCL

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Mara ya mwisho Simba kukutana na timu alizopangwa nazwo kwenye kundi lake;

Asec 3 -0 Simba
Waydad 1 - 0 Simba
Simba 1 - 3 Galax

Mara ya mwisho Yanga kukutana na timu alizopangwa nazo;

Ahly 1 -0 Yanga
Medeama 3 - 1 Yanga
Belouizdad vs Yanga hawajawahi kukutana
 
Binafsi nazitakia Kila laheri timu zetu mapacha wa KARIAKOO waweze kufuzu robo fainali

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Nataman sana watanzania tuwe na akili timamu, mleta mada ni mpumbavu, kachukua matokeo ya mwisho akasahau kuwa mech hzo zote zilikuwa home and away ndan ya kipind kifup
 
No doubt ULIKIMBIA SHULE
 
Kama al ahly ametoa sale na simba na sisi simba tumempiga 5 basi kosa kosa al ahly anakula 3 nje ndani
#Raha ya mwiko ilipokolea nyuma daima kurudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…