Feli atakayofeli siyo kama atakayokutana nayo mtoto aliyesoma shule za serikali.Kama mwanao ni bongo lala(zero IQ) ata umpeleke mbinguni bado ata feli tu.
peleka mtoto akae karibu na maua yanayonukia vzuri.Kama mwanao ni bongo lala(zero IQ) ata umpeleke mbinguni bado ata feli tu.
Unasemea wapi huko private olympio au diamond maana na zenyewe ni za kulipia ila darasa wanafunzi mia 300Feli atakayofeli siyo kama atakayokutana nayo mtoto aliyesoma shule za serikali.
Bro,ulishawahi kusogelea shule za serikali tena sikwambii za vijijini hizi za mijini ukaona hali ilivyo?tukubali tukatae hakuna mzazi anayependa mwanae asome shule darasa lina A na B na kote kuna watoto zaidi ya 200,ni uwezo tu unagomba.
Wanajamvi habari zenu?
Nimeona kuona mtu anaalamika kuhusu Fountain Gate academy kwamba watoto wanasoma muda mrefu bila kupumzika.
Hayo sisi hatuyataki tunataka tukutane na tuonyeshane kwenye matokeo.
Chonde chonde wazazi na walezi ninawasihi tupambane kadri tuwezavyo tupeleke watoto private hata kwa kucheza vikoba, kujimake na shuguli zingine halali.
Nimeona picha kutoka kwa mdau moja ya matokeo watoto wote hakuna Div one, two au three wote ni four na zero.
TAzameni wanaolalamika watoto wanaosoma mda mrefu
nisiongee sana
peleka mtoto akae karibu na maua yanayonukia vzuri.
Kataa shule nzima wanafunzi 300 zaidi wote wanapata four na masifuri.
The chance is katika private watoto 150 kwenye one 70 zitakazopatikana zita mdrag mtoto kutoka worst zaidi.
Huo ni ukweli serikali hii kazi yake kupika taarifa
Sahihi.Sisi hatutaki maneno tunaenda kwa data.
wazazi wote wanaosomesha serikali sio sababu wanapenda ila tu ni hali za kiuchumi na maisha yetu ya kitanzania
Sijasoma shule za tz jokes 😆😆Feli atakayofeli siyo kama atakayokutana nayo mtoto aliyesoma shule za serikali.
Bro,ulishawahi kusogelea shule za serikali tena sikwambii za vijijini hizi za mijini ukaona hali ilivyo?tukubali tukatae hakuna mzazi anayependa mwanae asome shule darasa lina A na B na kote kuna watoto zaidi ya 200,ni uwezo tu unagomba.