Matokeo ya shule za serikali ni aibu, tupambane tupeleke watoto shule za serikali

Matokeo ya shule za serikali ni aibu, tupambane tupeleke watoto shule za serikali

Hata Huko private kunamsaidia nn mtoto. Kikubwa mtaala wa elimu ubadilike. Tubase kwenye ufundi, kilimo, ufugaji, biashara na uvuvi plus madini
 
Wanajamvi habari zenu?

Nimeona kuona mtu anaalamika kuhusu Fountain Gate academy kwamba watoto wanasoma muda mrefu bila kupumzika.

Hayo sisi hatuyataki tunataka tukutane na tuonyeshane kwenye matokeo.

Chonde chonde wazazi na walezi ninawasihi tupambane kadri tuwezavyo tupeleke watoto private hata kwa kucheza vikoba, kujimake na shuguli zingine halali.

Nimeona picha kutoka kwa mdau moja ya matokeo watoto wote hakuna Div one, two au three wote ni four na zero.

TAzameni wanaolalamika watoto wanaosoma mda mrefu
nisiongee sana

View attachment 2868074
Aisee
 
Back
Top Bottom