Matokeo ya Uhuru kuzidi sana ni ujeuri

Wizi wa kura zipi kama ni uchaguzi Dunia yote ni mashahidi kwamba ulikuwa huru na haki Na ccm ilishinda wa kishindo na halali kama unaushahidi wa wizi mahakama zetu zipi na zinatenda haki kwa nn mlielie mutandaoni Kila mwaka wa uchaguzi?

Kwanza matokeo ya urais hayahojiwi mahakamani na tuna ushahidi wa wazi kuhusu wizi ule. Isitoshe hakuna mahakama ingeweza kutenda haki wakati wa Magufuli, na viashiria vya kutoa hukumu kwa maagizo yake uko wazi.

Dunia ipi ilishuhudia, waangalizi wote wa kimataifa ukiacha wale wa Afrika ambao huwa wanatetea wizi, walisema kabisa hakukuwa na uchaguzi bali upuuzi. Na hata hao wasingesema, ushenzi wote uliofanyika kwenye uchaguzi tuliuona kwa macho yetu.
 
TOZO zimezidi sawa lkn kumkejeli sio sawa
 
Halafu hii Tabia ya kulakamika Kila uchaguzi mmeibiwa kura ni upumbavu kama mnashindwa kulinda kura zenu mtaweza kulinda nchi, wananchi na radilimali zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…