mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,664
- 2,324
Kwani hatuwezi kukosoa bila kupachikana Majina ya hovyo?
Ukikosoa kwa staha wahusika hawajali lolote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hatuwezi kukosoa bila kupachikana Majina ya hovyo?
Kama Kuna changamoto tushauri kistaarabu sio kejeli na majina ya hovyo hovyo
Kama Kuna changamoto tushauri kistaarabu sio kejeli na majina ya hovyo hovyo
Kuheshimu watawala hapana lkn kuheshimu viongozi ni kweli nimo kwani ni kosa?
Mimi CCM damu damu, ila Rais Samia anachukiwa kuzidi hata Dkt Kikwete. Yaani sasa hivi Rais Samia kila hotuba yake watanzania wanasonya. Yaani hili la tozo ni baya ila kuna baya zaidi la chanjo ya COVID-19 ambayo mijini wameogopa wameenda kuwatishia watu vijijini na watu wengi sana wamekufa huko vijijini tangu aanzishe kampeni yake ya chanjo. Inakuwa hivi, watu wa vijijini ni elimu duni, wahudumu wa afya wanakataa kuwapa huduma yeyote bila chanjo, hivyo wengine wanaogopa chanjo mtu anaona bora afe, wengine inabidi wachanje na hatujui madhara yake. Hivyo Rais Samia hilo nalo alijue kuwa chuki iliyopo juu yake ni mbaya sana ktk nchi hii haijawahi tokea maana yeye ndiye kazitafuta. Mfano hili
la chanjo mbona Dkt Magufuli alikuwa keshatuambia yeye alipaswa kufuata nyendo zake. Ila kwa sasa yaani ni ngumu sana Rais Samia kupata kura 2025 na kibaya sana anawadharau watu wa kanda ya ziwa na kuwabeza kwa kuonesha Dkt Magufuli alikuwa hapendwi. Asichokijua Rais Samia kuwa kanda ya ziwa siyo wana harakati na siku zote maamuzi yao huwa ya chinichini.
ishu ni je?tozo zinatumika vzr???Nawasalimu kwa jina la JMT
Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.
Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu imepachikwa TOZONIA hawa wapuuzi wanaudhi sana.
Nimeamini Watanzania wachache hasa wajiitao upinzani wanautumia uhuru wao vibaya.
Ukiacha urais mama SAMIA ni Mtanzania anayepaswa kuheshimiwa kama Mtanzania mwingine, kumkejeli na kumtukana hovyo si sawa kabisa.
Mama SAMIA ni nguli na jabali la siasa Tanzania na AFRIKA nina amini kejeli matusi na Majina haya ya hovyo hayawezi kusababisha ashindwe kuwatumikia na kuwaletea maendeleo Watanzania, atawapuuza Wapuuzi hao.
lkn Hoja yangu ni kwamba kwa nini Watanzania baadhi yetu tunashindwa kuheshimiana tukipewa uhuru tunageuka watukanaji, waasi, na wasioheshimuna kujali utu wa wengine.
Kumbukeni uhuru ni Bora kuliko tozo ni lazima tujitolee kuijenga Tanzania yetu.
Pia tunakupongeza sana mama HATUA ZOTE zinazohusu mchakato wa SENSAYA WATU NA MAKAZI zinaendelea vizuri sana wananchi wako tayari kuhesabiwa.
Uchaguzi ulichezewa kwa wabunge ila kura za Rais hazikuwa na shida. Ni sawa na uchaguzi wa 2005, Kikwete alipendwa mno ila wabunge wengi walianguka.Huyo magufuli angekuwa anapendwa kama unavyohadaa hapa angechezea uchaguzi? Magufuli ndio rais aliyekuwa anachukiwa zaidi, na ushahidi ni idadi ndogo ya watu waliojitokeza kupiga kura, hadi ikabidi apike idadi ya wapiga kura.
Pole sana. lakini NAWE watakiwa kuacha kutetea ujinga uaoharibu maisha ya waTz. Anayoendelea kututendea Mama hayastahili kwa binadamu. Maisha bora kwa kila mtanzania ni haki ya kila mtanzania kuipata HAPAHAPA Tanzania. KAWAAMBIE hao matozoman wenzio waache kutuambia eti tuhamie Burundi. .Acha kutumia uhuru vibaya mkuu ukuku wake Nini Sasa, maana hats Mimi sipendi kabisa kuitana Majina ya kuudhi
Mkuu ukiona anayekukimbiza anaanza kumwaga matusi basi ujue ameshashindwa mbio, we ongeza spidi tu. Mama analijua hilo ndo maana anajipigia mwendo tu.....naamini baada ya muda, kama uhai upo, haswa wa hawa wamchukiao kwa sababu zao za kishetani, watapiga magoti kuomba msamaha kwz Mungu.Nawasalimu kwa jina la JMT
Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.
Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu imepachikwa TOZONIA hawa wapuuzi wanaudhi sana.
Nimeamini watanzania wachache hasa wajiitao upinzani wanautumia uhuru wao vibaya.
Ukiacha urais mama SAMIA ni mtanzania anayepaswa kuheshimiwa kama mtanzania mwingine, kumkejeli na kumtukana hovyo si sawa kabisa.
Mama SAMIA ni nguli na jabali la siasa Tanzania na AFRIKA nina amini kejeli matusi na Majina haya ya hovyo hayawezi kusababisha ashindwe kuwatumikia na kuwaletea maendeleo watanzania, atawapuuza Wapuuzi hao.
lkn Hoja yangu ni kwamba kwa Nini watanzania baadhi yetu tunashindwa kuheshimiana tukipewa uhuru tunageuka watukanaji, waasi, na wasioheshimuna kujali utu wa wengine.
Kumbukeni uhuru ni Bora kuliko tozo ni lazima tujitolee kuijenga Tanzania yetu.
Pia tunakupongeza sana mama HATUA ZOTE zinazohusu mchakato wa SENSAYA WATU NA MAKAZI zinaendelea vizuri sana wananchi wako tayari kuhesabiwa.
Pole sanaHii nchi uhuru umezidi sasa.View attachment 2331034
Hayajaanza leo Wala jana. Umesahau Kuna kiongozi aliwai kumkosoa kwa kumuita mwenzie "malaya" mbele ya public?Tukosoe kistaarabu sio matusi na kejeli mkuu
Hapa wapinzani unawasingizia wanaompa majina ni watanzania wengi wanaccmNimeamini Watanzania wachache hasa wajiitao upinzani wanautumia uhuru wao vibaya.
Kwani mawazo tofauti ni kuwatukana wengine?
Uchaguzi ulichezewa kwa wabunge ila kura za Rais hazikuwa na shida. Ni sawa na uchaguzi wa 2005, Kikwete alipendwa mno ila wabunge wengi walianguka.
Hiv hii ilikuwaga ni editing ?Uchaguzi ulichezewa kwa wabunge ila kura za Rais hazikuwa na shida. Ni sawa na uchaguzi wa 2005, Kikwete alipendwa mno ila wabunge wengi walianguka.
Tanzania sihami Tozo naipinga kafie mbele huko.Hamieni huko basi kama mnaona Kujitolea kuijenga nchi yako ni mzingo