Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli, huku kwetu Temeke Samia anapendwa sana kuzidi alivyokuwa anapendwa Kikwete.ila Rais Samia anachukiwa kuzidi hata Dkt Kikwete.
Ninachompendea Rais Samia Suluhu yeye hajari maneno ya watu anachojari ni utekelezaji na kuleta maendeleo kwa hao hao wananchi wanaomdhihaki hii inadhibitisha uimara wakeNawasalimu kwa jina la JMT
Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.
Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu imepachikwa TOZONIA hawa wapuuzi wanaudhi sana.
Nimeamini Watanzania wachache hasa wajiitao upinzani wanautumia uhuru wao vibaya.
Ukiacha urais mama SAMIA ni Mtanzania anayepaswa kuheshimiwa kama Mtanzania mwingine, kumkejeli na kumtukana hovyo si sawa kabisa.
Mama SAMIA ni nguli na jabali la siasa Tanzania na AFRIKA nina amini kejeli matusi na Majina haya ya hovyo hayawezi kusababisha ashindwe kuwatumikia na kuwaletea maendeleo Watanzania, atawapuuza Wapuuzi hao.
lkn Hoja yangu ni kwamba kwa nini Watanzania baadhi yetu tunashindwa kuheshimiana tukipewa uhuru tunageuka watukanaji, waasi, na wasioheshimuna kujali utu wa wengine.
Kumbukeni uhuru ni Bora kuliko tozo ni lazima tujitolee kuijenga Tanzania yetu.
Pia tunakupongeza sana mama HATUA ZOTE zinazohusu mchakato wa SENSAYA WATU NA MAKAZI zinaendelea vizuri sana wananchi wako tayari kuhesabiwa.
Unaujua ule msemo wa mti wenye matunda ndio unapigwa mawe sasa Rais Samia anaifungua Tanzania subiri baada ya muda kidogo utashuhudia Tanzania itakua na kila kitu kama maji yamefika mpaka vijijini umeme umefika pia miundombinu imeboleshwaMimi CCM damu damu, ila Rais Samia anachukiwa kuzidi hata Dkt Kikwete. Yaani sasa hivi Rais Samia kila hotuba yake watanzania wanasonya. Yaani hili la tozo ni baya ila kuna baya zaidi la chanjo ya COVID-19 ambayo mijini wameogopa wameenda kuwatishia watu vijijini na watu wengi sana wamekufa huko vijijini tangu aanzishe kampeni yake ya chanjo. Inakuwa hivi, watu wa vijijini ni elimu duni, wahudumu wa afya wanakataa kuwapa huduma yeyote bila chanjo, hivyo wengine wanaogopa chanjo mtu anaona bora afe, wengine inabidi wachanje na hatujui madhara yake. Hivyo Rais Samia hilo nalo alijue kuwa chuki iliyopo juu yake ni mbaya sana ktk nchi hii haijawahi tokea maana yeye ndiye kazitafuta. Mfano hili
la chanjo mbona Dkt Magufuli alikuwa keshatuambia yeye alipaswa kufuata nyendo zake. Ila kwa sasa yaani ni ngumu sana Rais Samia kupata kura 2025 na kibaya sana anawadharau watu wa kanda ya ziwa na kuwabeza kwa kuonesha Dkt Magufuli alikuwa hapendwi. Asichokijua Rais Samia kuwa kanda ya ziwa siyo wana harakati na siku zote maamuzi yao huwa ya chinichini.
Nakwambia hivi, Africa tuna tatizo la heshima ya kijinga.Kuheshimu watawala hapana lkn kuheshimu viongozi ni kweli nimo kwani ni kosa?
Rais Samia ni kati ya marais walio sensitive sana kuhusu maneno ya watu.Ninachompendea Rais Samia Suluhu yeye hajari maneno ya watu anachojari ni utekelezaji na kuleta maendeleo kwa hao hao wananchi wanaomdhihaki hii inadhibitisha uimara wake
Hivi wewe unataka kuchagulia watu majina ya kumwita Chief hangaya. Mwambie aondoe hizo tozo kama Hilo jina utalisikia. Na walivyo wajinga wakasuburia bunge la Budget kuisha ndo wanalianzisha Sasa hivi.Kwani hatuwezi kukosoa bila kupachikana Majina ya hovyo?
Haya majina wanayataka wenyewe make huitwa pale wanapofanya kinyume na katiba yetu na matakwa ya wananchiTOZO ni jina la hovyo? Kwahio tunalipishwa vitu vya hovyo? Wisdom will kill me [emoji13]
1. Sio jabali wala nguli wa siasa TanzaniaNawasalimu kwa jina la JMT
Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.
Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu imepachikwa TOZONIA hawa wapuuzi wanaudhi sana.
Nimeamini Watanzania wachache hasa wajiitao upinzani wanautumia uhuru wao vibaya.
Ukiacha urais mama SAMIA ni Mtanzania anayepaswa kuheshimiwa kama Mtanzania mwingine, kumkejeli na kumtukana hovyo si sawa kabisa.
Mama SAMIA ni nguli na jabali la siasa Tanzania na AFRIKA nina amini kejeli matusi na Majina haya ya hovyo hayawezi kusababisha ashindwe kuwatumikia na kuwaletea maendeleo Watanzania, atawapuuza Wapuuzi hao.
lkn Hoja yangu ni kwamba kwa nini Watanzania baadhi yetu tunashindwa kuheshimiana tukipewa uhuru tunageuka watukanaji, waasi, na wasioheshimuna kujali utu wa wengine.
Kumbukeni uhuru ni Bora kuliko tozo ni lazima tujitolee kuijenga Tanzania yetu.
Pia tunakupongeza sana mama HATUA ZOTE zinazohusu mchakato wa SENSAYA WATU NA MAKAZI zinaendelea vizuri sana wananchi wako tayari kuhesabiwa.
Gharama za maisha haziwez kuwa kostanti Kila mwaka mkuu Tanzania sio kisiwaWanakuudhi wewe unayedhani Tanzania ni Mali binafsi ya CCM. Unaongeza tozo huku unashidwa kupunguza mfumuko wa Bei. Acheni kuwadharau watanzania kisa ni wapole, tumieni upole kuwaletea unafuu wa Maisha.
Nafuu inaletwa na SS watanzania wenyewe mkuu kwa kukaza mkanda na hizi TOZO ni kwa ajili ya mipango ya maendeleo ya watanzania hawa hawaWanakuudhi wewe unayedhani Tanzania ni Mali binafsi ya CCM. Unaongeza tozo huku unashidwa kupunguza mfumuko wa Bei. Acheni kuwadharau watanzania kisa ni wapole, tumieni upole kuwaletea unafuu wa Maisha.
Watanzania wamevumilia mwishowe wameamua kutema nyongo. Unakopa kila uchao na tozo juu, huku Kodi mnasema imeongezeka. Jana mama yako alipata fresh kwenye Twitter watu walimpa makavu mpaka Msigwa akajitokezaza kutoa ufafanuzi.
Rais wetu amejishusha kwa watanzania ni mnyenyekevu TOZO ni kwa ajili ya maendeleo ya watanzania, magufuli ndie aliongoza kwa kuwakejeli na kuwatukana watanzania pia hata viongoz aliowateua mwenyewe na alijitetea mwenyewe kama ulivyoshuhudia mama SAMIA ni mpole mnamtukana, watanzania wachache mnatuharibia ustaarabu na utamaduni wetu jambo ambalo sio jema1. Sio jabali wala nguli wa siasa Tanzania
2. Umekosea sana kuwatukana watu ambao wewe unapenda wamkosoe kwa staha huyo rais
3. Ukijiita nguli na jabali la siasa hutakiwi kulalamika kutokana na kukosolewa isivyo staha ila jirekebishe kwa matendo yako watakuheshimu tu
4. Kuongozwa na mtu haimaanishe wewe ndio una akili nyingi, umesoma sana, unayafahamu mambo kwa kiwango cha juu sio kweli
5. Wanaolalamika wameathiriwa vibaya na hicho unachodai ni kejeli ila kwa kuwa hawana nguvu na uwezo wa kusema na wakasikilizwa hapo ndio unadai kudhalilishwa
6. Mbona enzi za JPM ambaye ndio aliongoza kudhalilishwa hukuwahi kukemea nini?
7. Mbona viongozi hao hao ambao walifanya kazi chini ya JPM ndio ni miongoni mwa watu wanaomkejeli hayati JPM ambaye kwa sasa hayupo duniani kujitetea na husemi chochote wakati ukijua ana familia, marafiki, ndugu na hadhi ya urasi kwamba wanaumizwa kutokana na kejeli hizo mpaka wengine wakidai wanaomkumbuka kwa mazuri yake basi wakazikwe naye Chato pia hukemei?
Waacheni wananchi watoe ya moyoni maana hawana tumaini tena...........................
Hayo mambo yalikua ya enzi za giza mkuu...sasa hivi kama haujashikwa mkono teuzi utasikia kwenye bomba...😂😂😂Umesahau kuweka namba ya simu mwisho wa chapisho lako
Serikali haiwezi kuwaajiri watanzania wote kwa mkupuo ni awamu kwa awamuUnashambulia zega la nyuki halafu hutaki kungatwa. Nyie ibeni kura watanzania hawana shida ila kuingilia uchumi wao kininga na kitapeli mtatukanwa mpaka mkimbie. Na hivi hakuna ajira watu wamechoka mtakubali tu.
Wizi wa kura zipi kama ni uchaguzi Dunia yote ni mashahidi kwamba ulikuwa huru na haki Na ccm ilishinda wa kishindo na halali kama unaushahidi wa wizi mahakama zetu zipi na zinatenda haki kwa nn mlielie mutandaoni Kila mwaka wa uchaguzi?Watu wanaoingia madarakani kwa kunajisi uchaguzi wanaheshima gani? Unataka kuheshimiwa heshimu uchaguzi. Ww inaonekana ni muumini wa nidhamu za woga na unafiki kwa viongozi, ndio maana watu wakionyesha hisia zao dhidi ya sheria kandamizi unaumia.
Kama unajipendekeza kwa viongozi walio madarakani kwa wizi wa kura, jipendekeze kimpango wako, acha wanaoonyesha hisia zao dhidi ya wizi waonyeshe.
Acha kujifnya nchi ya babaako. Akina Nyerer waligombea Uhuru wa maoni, wewe unaleta mambo ya ukoloni eti chunga ulimi wako. Wewe Ni Nani. Mnatishia wananchi lakini baada ya miaka mitano mnakuja kupiga magoti mnaomba kura
Hasira za nn mkuu TOZO ni kwa ajili ya mipango ya maendeleo ya watanzaniaMama ni mama yko mzazi tu mbwa wewe kutoka nchi ya TOZONIA