Matokeo ya Uhuru kuzidi sana ni ujeuri

Matokeo ya Uhuru kuzidi sana ni ujeuri

😁😁😁Unajikana nafsi yako? Mawazo yako yamekaa kichagadema sana, kama sivyo basi karibu sana CCM
Mimi si CHADEMA na siwezi kuwa CCM

Woote hao kuna sehemu, sijapiga kura awamu ngapi sijui, labda aje mgombea binafsi
 
Nawasalimu kwa jina la JMT
Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.

Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu imepachikwa TOZONIA hawa wapuuzi wanaudhi sana.

Nimeamini watanzania wachache hasa wajiitao upinzani wanautumia uhuru wao vibaya.
Ukiacha urais mama SAMIA ni mtanzania anayepaswa kuheshimiwa kama mtanzania mwingine, kumkejeli na kumtukana hovyo si sawa kabisa.
Mama SAMIA ni nguli na jabali la siasa Tanzania na AFRIKA nina amini kejeli matusi na Majina haya ya hovyo hayawezi kusababisha ashindwe kuwatumikia na kuwaletea maendeleo watanzania, atawapuuza Wapuuzi hao.
lkn Hoja yangu ni kwamba kwa Nini watanzania baadhi yetu tunashindwa kuheshimiana tukipewa uhuru tunageuka watukanaji, waasi, na wasioheshimuna kujali utu wa wengine.

Kumbukeni uhuru ni Bora kuliko tozo ni lazima tujitolee kuijenga Tanzania yetu.

Pia tunakupongeza sana mama HATUA ZOTE zinazohusu mchakato wa SENSAYA WATU NA MAKAZI zinaendelea vizuri sana wananchi wako tayari kuhesabiwa.
Nimewahi andika Uzi humu kwamba kumpa uhuru mtu mjinga ni disaster,nikaenda mbali nikasema Mwendazake alikuwa sahihi ila tuu alivuruga uchumi..

Hakuna kitu utafanya ukiruhusu wajinga wawe na sauti watakuvuduga kwa kuwa wao ni shirt sighted.
 
Mhhhhhh haya bwana
 
You deserve it.
 
Acha kuwalaumu upinzani, unashindwa kupunguza mfumuko wa Bei na gharama za Maisha wananchi wasilalamike? Unaongeza tozo kila kukicha lakini bei ya mafuta inapanda Kika uchao.
 
Tabia hii sio utamaduni wa mtanzania

Watanzania wamevumilia mwishowe wameamua kutema nyongo. Unakopa kila uchao na tozo juu, huku Kodi mnasema imeongezeka. Jana mama yako alipata fresh kwenye Twitter watu walimpa makavu mpaka Msigwa akajitokezaza kutoa ufafanuzi.
 
Nimewahi andika Uzi humu kwamba kumpa uhuru mtu mjinga ni disaster,nikaenda mbali nikasema Mwendazake alikuwa sahihi ila tuu alivuruga uchumi..

Hakuna kitu utafanya ukiruhusu wajinga wawe na sauti watakuvuduga kwa kuwa wao ni shirt sighted.

Kama unapenda kupongezwa pia kubali kukosolewa. Tatizo linakuja pale unapokosolewa na kuona unatukanwa.
 
Hamieni huko basi kama mnaona Kujitolea kuijenga nchi yako ni mzingo

Dharau na kiburi ndio mwanzo wa anguko. Na ukitaka uanguke chezea uchumi wa wananchi. Unaleta tozo huku Bei ya mafuta umeshindwa kuidhibiti inapanda kiholela. Halafu miaka mitano ikiisha unakuja kuomba kura kwa watu unaowaona hawana maana leo.
 
Gharama kupanda si kwa Tanzania TU ni Dunia nzima SS sio kisiwa mkuu

Unalinganisha Tanzania na sehemu zingine mnaposhindwa, ila kwenye Mambo ya maana mnaruka kimanga. Kama hamuwezi kurekebisha uchumi tokeni madarakani.
 
Kujipendekeza VP mm nimetoa maoni yangu juu ya tabia hii mbovu inayoibuka kwa kasi

Unashambulia zega la nyuki halafu hutaki kungatwa. Nyie ibeni kura watanzania hawana shida ila kuingilia uchumi wao kininga na kitapeli mtatukanwa mpaka mkimbie. Na hivi hakuna ajira watu wamechoka mtakubali tu.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT

Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.

Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu imepachikwa TOZONIA hawa wapuuzi wanaudhi sana.

Nimeamini Watanzania wachache hasa wajiitao upinzani wanautumia uhuru wao vibaya.

Ukiacha urais mama SAMIA ni Mtanzania anayepaswa kuheshimiwa kama Mtanzania mwingine, kumkejeli na kumtukana hovyo si sawa kabisa.

Mama SAMIA ni nguli na jabali la siasa Tanzania na AFRIKA nina amini kejeli matusi na Majina haya ya hovyo hayawezi kusababisha ashindwe kuwatumikia na kuwaletea maendeleo Watanzania, atawapuuza Wapuuzi hao.

lkn Hoja yangu ni kwamba kwa nini Watanzania baadhi yetu tunashindwa kuheshimiana tukipewa uhuru tunageuka watukanaji, waasi, na wasioheshimuna kujali utu wa wengine.

Kumbukeni uhuru ni Bora kuliko tozo ni lazima tujitolee kuijenga Tanzania yetu.

Pia tunakupongeza sana mama HATUA ZOTE zinazohusu mchakato wa SENSAYA WATU NA MAKAZI zinaendelea vizuri sana wananchi wako tayari kuhesabiwa.

Watu wanaoingia madarakani kwa kunajisi uchaguzi wanaheshima gani? Unataka kuheshimiwa heshimu uchaguzi. Ww inaonekana ni muumini wa nidhamu za woga na unafiki kwa viongozi, ndio maana watu wakionyesha hisia zao dhidi ya sheria kandamizi unaumia.

Kama unajipendekeza kwa viongozi walio madarakani kwa wizi wa kura, jipendekeze kimpango wako, acha wanaoonyesha hisia zao dhidi ya wizi waonyeshe.
 
Hakutishi Mtu mkuu lkn ni vema kuchunga ulimi wako

Acha kujifnya nchi ya babaako. Akina Nyerer waligombea Uhuru wa maoni, wewe unaleta mambo ya ukoloni eti chunga ulimi wako. Wewe Ni Nani. Mnatishia wananchi lakini baada ya miaka mitano mnakuja kupiga magoti mnaomba kura.
 
Back
Top Bottom