The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Exactly wewe leo hesabu imeshaingia!!!0653066606
Sasa hapa tegemea kupigiwa simu na makada wenzio ukafate buku saba yako Lumumba saa tisa ule usukume siku iishe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly wewe leo hesabu imeshaingia!!!0653066606
Wewe mhaya ni mnafiki sana.Nawasalimu kwa jina la JMT
Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.
Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu imepachikwa TOZONIA hawa wapuuzi wanaudhi sana.
Nimeamini watanzania wachache hasa wajiitao upinzani wanautumia uhuru wao vibaya.
Ukiacha urais mama SAMIA ni mtanzania anayepaswa kuheshimiwa kama mtanzania mwingine, kumkejeli na kumtukana hovyo si sawa kabisa.
Mama SAMIA ni nguli na jabali la siasa Tanzania na AFRIKA nina amini kejeli matusi na Majina haya ya hovyo hayawezi kusababisha ashindwe kuwatumikia na kuwaletea maendeleo watanzania, atawapuuza Wapuuzi hao.
lkn Hoja yangu ni kwamba kwa Nini watanzania baadhi yetu tunashindwa kuheshimiana tukipewa uhuru tunageuka watukanaji, waasi, na wasioheshimuna kujali utu wa wengine.
Kumbukeni uhuru ni Bora kuliko tozo ni lazima tujitolee kuijenga Tanzania yetu.
Pia tunakupongeza sana mama HATUA ZOTE zinazohusu mchakato wa SENSAYA WATU NA MAKAZI zinaendelea vizuri sana wananchi wako tayari kuhesabiwa.
Duh !! Kama kuna ka ukweli hapo !! Wengine husema Nchi hujengwa na wenye moyo na huliwa na wenye Meno !!KWELI kabisa maendeleo ya wengi yanaletwa na wengi yanaliwa na wachache
Huyo jamaa atakuwa sio Mtanzania !!Acha kujipendekeza ,huu ndo uchawa wenyewe,kuitwa mama tozo mbona ni stara sana.
Pengine wewe ndiwe Mwigulu,au mpambe wake.Mwigulu atakuwa waziri wa kwanza kwa ubora ana juhudi sana
Bahati mbaya mie sina upande, atakaeganya vizuri anasifiwa, atakaetoa boko anaimbwa tuNyie saccos ya mbowe ni wabishi sana mnatuharibia utamaduni wetu wa kuheshiana kama watanzania😁😁😁
Jiwe alikua hataki mazoea.alijua Watanzania ni wanafiki.Nawasalimu kwa jina la JMT
Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.
Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu imepachikwa TOZONIA hawa wapuuzi wanaudhi sana.
Nimeamini watanzania wachache hasa wajiitao upinzani wanautumia uhuru wao vibaya.
Ukiacha urais mama SAMIA ni mtanzania anayepaswa kuheshimiwa kama mtanzania mwingine, kumkejeli na kumtukana hovyo si sawa kabisa.
Mama SAMIA ni nguli na jabali la siasa Tanzania na AFRIKA nina amini kejeli matusi na Majina haya ya hovyo hayawezi kusababisha ashindwe kuwatumikia na kuwaletea maendeleo watanzania, atawapuuza Wapuuzi hao.
lkn Hoja yangu ni kwamba kwa Nini watanzania baadhi yetu tunashindwa kuheshimiana tukipewa uhuru tunageuka watukanaji, waasi, na wasioheshimuna kujali utu wa wengine.
Kumbukeni uhuru ni Bora kuliko tozo ni lazima tujitolee kuijenga Tanzania yetu.
Pia tunakupongeza sana mama HATUA ZOTE zinazohusu mchakato wa SENSAYA WATU NA MAKAZI zinaendelea vizuri sana wananchi wako tayari kuhesabiwa.
Mwigulu anasema tuhamie Burundi !! Mimi ninaomba Passport nihamie huko fasi ya Ngozi au Kalemii !!Mama Tozo 😃😃
Kwa kifupi umekosa cha kutetea asubuhi hii. Ukiona watu wanalalamika fanya utafiti athari za kinacholalamikiwa.Kama Kuna changamoto tushauri kistaarabu sio kejeli na majina ya hovyo hovyo
😁😁😁Unajikana nafsi yako? Mawazo yako yamekaa kichagadema sana, kama sivyo basi karibu sana CCMBahati mbaya mie sina upande, atakaeganya vizuri anasifiwa, atakaetoa boko anaimbwa tu
Mimi siwezi kuwa mfuasi wa chadema, chama mwenyekiti kama baba mzazi, habadiliki mpaka kifo,
ila wakifanya poa nitawasifu
😃😃😃Mwigulu anasema tuhamie Burundi !! Mimi ninaomba Passport nihamie huko fasi ya Ngozi au Kalemii !!
Gharama kupanda si kwa Tanzania TU ni Dunia nzima SS sio kisiwa mkuuKwa kifupi umekosa cha kutetea asubuhi hii. Ukiona watu wanalalamika fanya utafiti athari za kinacholalamikiwa.
Gharama zimepanda, mafuta yanatesa, bado hela yako ikatwe tozo bila kuifanyia faida. Kwa ujumla wachumi wa mama na yeye mwenyewe wamejiangusha mbele za wananchi.
Na ukishawakera lazima wakuite majina wanayoona yawafaa