Kwa hiyo wale walioomba ukiingiza confirmation code unapata majibu?Bado matokeo hadi jioni ya leo, nitaupdate badae kwamba majina yameshatoka
Utumwa upi bwashee? Bora ukawe mtumwa unalipwa vizuri kuliko kuwa mtumwa kwenye nchi yako wewe ulisikia wapi daktari bingwa analipwa million 2 kwa mwezi zaidi ya bongo nyoso🤔Watumwa hao mnajadili ujinga.
Mungu ajalie watz washinde kwa wingi watuwakilishe DiasporaWanaukumbi kwa wale tulio'apply bahati nasibu ya kuingia marekani kwa program ya US DV-Lottery.
Matokeo ya bahati nasibu hiyo ni leo tarehe 03/05/2025 majira jioni, probably kuanzia saa 1 usiku huu.
Kila kwetu sote tunaofukuzia.fursa hiyo.
Mtumwa ujinga tu ...Mfuate aliyekuzaa acha kukimbilia nchi za watu.Pole...
Kwakushiriki mjadala wa watumwa.
Utumwa ni utumwa hata iweje ..Utumwa upi bwashee? Bora ukawe mtumwa unalipwa vizuri kuliko kuwa mtumwa kwenye nchi yako wewe ulisikia wapi daktari bingwa analipwa million 2 kwa mwezi zaidi ya bongo nyoso🤔
Hakuna nchi za watu dunia ni ya wote hiyo mipaka isikutishe bwasheeMtumwa ujinga tu ...Mfuate aliyekuzaa acha kukimbilia nchi za watu.
Mbona wewe ni mtumwa wa viongozi wa ccm na watoto wao na tumenyamaza?Utumwa ni utumwa hata iweje ..
Sasa unakaa unasubiria kuwa mtumwa kwenye nchi za watu🤣Hakuna nchi za watu dunia ni ya wote hiyo mipaka isikutishe bwashee
Ni watanzania wenzangu ,hapa ni chimbuko langu ..Nyie ni watumwa na mkifika huko kazi kushangaa watu.Mbona wewe ni mtumwa wa viongozi wa ccm na watoto wao na tumenyamaza?
Tafuta sana elimu ufute ujingaMtumwa ujinga tu ...Mfuate aliyekuzaa acha kukimbilia nchi za watu.
Utumwa upi ? Kila mtu ana mahali ana amini akipambana anapata chochote zaidi ya alipo kuwa , ukishinda green card usiache kunitafuta niku host kijana, kama vipi ubaki hapo maghetoni usubiria kufa bwashee kama zile ndoto zetu gademiiitSasa unakaa unasubiria kuwa mtumwa kwenye nchi za watu🤣