much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,592
Kati kale na huku wapi Kuna manamba huku hata mfanyakazi wa serikali analipwa kama manamba tuMm naona kama ww ndio mjinga vile.
Nchi za watu fursa zimebana utaishia kuwa manamba
Kati kale na huku wapi Kuna manamba huku hata mfanyakazi wa serikali analipwa kama manamba tuMm naona kama ww ndio mjinga vile.
Nchi za watu fursa zimebana utaishia kuwa manamba
Mwaka huu watanzania kama 300 na kidogo wameshinda. Hii ni kama 1/10 tu ya wakenya na nchi zingine za jirani. Wao wameshinda zaidi ya elfu 3!kwa mwaka watanzania wangapi wanashinda hii mishe?
Manamba wa huku ni kujitakia. Ukienda kuchukua machungwa hapo chalinze kuuza dar mwaka 1 tu ww tajiriKati kale na huku wapi Kuna manamba huku hata mfanyakazi wa serikali analipwa kama manamba tu
Hizo ni hadithi tu kama kulimo Cha matikiti uzuri hata marekani machungwa yanaliwa kwaiyo unaweza chukua huku ukaenda kuuza MichiganManamba wa huku ni kujitakia. Ukienda kuchukua machungwa hapo chalinze kuuza dar mwaka 1 tu ww tajiri
Mil 57 kwenye a/c nimejenga nyumba mbili nina bar moja mbezi karibu uje unywe beerWewe una bilion ngapi?!
Hii Haina tofauti na usaili wa nafasi za ajira Polisi wa nchi mojawapo hapa EAC!Wanaukumbi kwa wale tulio'apply bahati nasibu ya kuingia marekani kwa program ya US DV-Lottery.
Umeme watumie solar. Winter wanunue gesi ya mitungi, chakula wLime wenyewe, kuugua wajifukize!wenzetu living cost ni kubwa sana kuliko kitu chochote,nyumba,umeme,maji,hospital hivi vitu km huna kazi au kolabo na masela wa kitaa ni mtihani kuviweka sawa.