Matokeo ya US DV-Lottery 2025-2026, Ni Leo Tarehe 03/05/2025.

Matokeo ya US DV-Lottery 2025-2026, Ni Leo Tarehe 03/05/2025.

Wanaukumbi kwa wale tulio'apply bahati nasibu ya kuingia marekani kwa program ya US DV-Lottery.

Matokeo ya bahati nasibu hiyo ni leo tarehe 03/05/2025 majira jioni, probably kuanzia saa 1 usiku huu.

Kila kwetu sote tunaofukuzia.fursa hiyo.
Nikikosa tena mwaka huu itakuwa ni mara ya 5 mfululizo naambulia matokeo mabaya.
 
Ukutaka kushinda kirahisi, level of education yako iwe PhD. Au expert certified lwenye vocation. Portability usiwe na familia kubwaaaa.
wabongo wengi lwenye specification za picha, na elimu ni tatizo.
 
Wengi kilio, naona mzee wa kazi nae aliepo sahivi hafagilii hizi mambo sijui🤔
 
Wazee wa fursa kuna Canada pia, Australia...ila US ni habari ingine kwa fursa...ndio vile wenyewe hawapendi naona
 
Elimu plus professional certification muhimu sana Ili ukalate kazi za kuanzia km huna hizo then uwe expect wa jambo mojawapo
 
Back
Top Bottom