Matokeo ya US DV-Lottery 2025-2026, Ni Leo Tarehe 03/05/2025.

Matokeo ya US DV-Lottery 2025-2026, Ni Leo Tarehe 03/05/2025.

Watumwa nyie
Kaka mtumwa unakula vizuri na kunywa na unaweza tembelea gari ya ndoto yako na huku unapoita nyumbani watu wanafanya mpaka birthday ya paka kwa sababu yako kuna shida gani bwashee?
 
Baki tu bongo bwashee mimi mshahara wangu wa mwisho bongo ni million 3.6 take home, labda wewe una maisha zaidi .

Note: popote kambi na unaweza toboa ila US ni land of opportunity na hakuna cha kujuana .
Bwashee bongo nyoso ngoja niendelee kusaka mtaji. Nimechukua point ya fursa popote big time.
 
Utumwa upi ? Kila mtu ana mahali ana amini akipambana anapata chochote zaidi ya alipo kuwa , ukishinda green card usiache kunitafuta niku host kijana, kama vipi ubaki hapo maghetoni usubiria kufa bwashee kama zile ndoto zetu gademiiit
Mkuu acha kupoteza muda kumjibu mpumbavu..
Lengo la uzi litapotea
 
Wanaukumbi kwa wale tulio'apply bahati nasibu ya kuingia marekani kwa program ya US DV-Lottery.

Matokeo ya bahati nasibu hiyo ni leo tarehe 03/05/2025 majira jioni, probably kuanzia saa 1 usiku huu.

Kila kwetu sote tunaofukuzia.fursa hiyo.
Trump afute tu hili limchezo
 
Usikate tamaa mimi hapa nasubiri matokeo ya dogo wangu mmoja mjinga ambae alisha shinda akapotezea now kapigika ndio anataka ashinde
Aisee dogo alichezea fursa laiti angejua ni ndoto ya wengi kwenda kubeba boksi asingechezea. Na pengine sasa hivi atakua matured

PhD holder wengi tu wanakuja kubeba Box kwanza then wanajiendeleza na wengine wanaingia hata jeshi kuziokota
 
Aisee dogo alichezea fursa laiti angejua ni ndoto ya wengi kwenda kubeba boksi asingechezea. Na pengine sasa hivi atakua matured
Kaka kabla ya hii mitandao watoto wa maboss walikua wanaifaidi mno now kila mtu anaweza faidika nayo hasa kwenye fursa kama hizi.
 
Hizo pesa unatumia wapi ? Unafikria kuna maandazi ya 200? Ukiujua uchumi basi utakuwa umeelewa ,pasingekuwa na homeless
Njoo ,uzuri mmoja nikuweka makusudi kabisa ,kuna mafunzo ya wewe una save vipi nakufanya mambo nyumban huku unalipa bills zako vizuri tu
 
Nilipata mishe zingine ambazo naona zina umuhimu kwa sasa kuliko hili
Ni jambo zuri pia ,kama unaweza tengeneza digits za kutosha na hakuna kero za barabara na huduma za kijamii upo safi mno bwashee
 
Back
Top Bottom