Matokeo ya US DV-Lottery 2025-2026, Ni Leo Tarehe 03/05/2025.

Matokeo ya US DV-Lottery 2025-2026, Ni Leo Tarehe 03/05/2025.

Wanaukumbi kwa wale tulio'apply bahati nasibu ya kuingia marekani kwa program ya US DV-Lottery.

Matokeo ya bahati nasibu hiyo ni leo tarehe 03/05/2025 majira jioni, probably kuanzia saa 1 usiku huu.

Kila kwetu sote tunaofukuzia.fursa hiyo.
natumai baada ya matokeo hizi dola 21771229 zitakuwa zangu
 
Na wanao apply tz ni nchi ya mwisho kwa wingi africa nzima ,watanzania ni wachache mno nchi za ugenini hasa marekani wengi wanapaogopa
US pakipuuzi sana 🤣, mbongo aanze mambo ya ku-tip mgahawani si utakua utata huu mkuu
 
Utumwa upi ? Kila mtu ana mahali ana amini akipambana anapata chochote zaidi ya alipo kuwa , ukishinda green card usiache kunitafuta niku host kijana, kama vipi ubaki hapo maghetoni usubiria kufa bwashee kama zile ndoto zetu gademiiit
Watumwa hao kama hawana kwao.
 
US pakipuuzi sana 🤣, mbongo aanze mambo ya ku-tip mgahawani si utakua utata huu mkuu
Wengi hawajiamini kabisa hawajui kuna watu wengi tu hawajui hata kingereza kabisa ila wana piga kazi ,pia kingine hata ukishinda utahitajika kiasi fulani cha pesa kama 10mil za kufanya mchakato na kianzio ,kwa sababu mimi siwezi kuhost mtu ale anywe na kulala bure tu hakuna host wa hivyo😒
 
Utumwa tu kama yule Chimakeke ...Mnakuwa kama hamjielewi hamna mnachobadilika zaidi ya ushamba .
Chimakeke yupo London wewe upo kidimbwi bwashee ,gademiiit toka maghetoni utaja kufa huna hata baiskeli gademiiit 🤣😍😍
 
Back
Top Bottom