Matokeo ya US DV-Lottery 2025-2026, Ni Leo Tarehe 03/05/2025.

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Wanaukumbi kwa wale tulio'apply bahati nasibu ya kuingia marekani kwa program ya US DV-Lottery.

Matokeo ya bahati nasibu hiyo ni leo tarehe 03/05/2025 majira jioni, probably kuanzia saa 1 usiku huu.

Kila kwetu sote tunaofukuzia.fursa hiyo.
 
ⓘ 𝘠𝘰𝘶 𝘤𝘢𝘯'𝘵 𝘴𝘦𝘦 𝘵𝘩𝘪𝘴 𝘮𝘦𝘴𝘴𝘢𝘨𝘦 𝘣𝘦𝘤𝘢𝘶𝘴𝘦 𝘺𝘰𝘶 𝘢𝘳𝘦 𝘶𝘴𝘪𝘯𝘨 𝘢 𝘤𝘩𝘦𝘢𝘱 𝘮𝘰𝘣𝘪𝘭𝘦 𝘱𝘩𝘰𝘯𝘦
 
Wanaukumbi kwa wale tulio'apply bahati nasibu ya kuingia marekani kwa program ya US DV-Lottery.

Matokeo ya bahati nasibu hiyo ni leo tarehe 03/05/2025 majira jioni, probably kuanzia saa 1 usiku huu.

Kila kwetu sote tunaofukuzia.fursa hiyo.
Mungu ajalie watz washinde kwa wingi watuwakilishe Diaspora
 
Sasa unakaa unasubiria kuwa mtumwa kwenye nchi za watu🤣
Utumwa upi ? Kila mtu ana mahali ana amini akipambana anapata chochote zaidi ya alipo kuwa , ukishinda green card usiache kunitafuta niku host kijana, kama vipi ubaki hapo maghetoni usubiria kufa bwashee kama zile ndoto zetu gademiiit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…