Matokeo ya utafiti binafsi: Wanawake huwaheshimu na kuwatii maboss kuliko waume zao

U should have been happy then kwa kuwa umepata mwanamke unayemtaka wewe na kaka zako pia

kujitesa kufanya hii tafiti inaonyesha hauna furaha na ulienae ama unawatamani wa maofisini

quality za kike haichagui eneo lako la kazi ni hulka tu ya mtu

na ni kweli kwamba ndoa haichagui uko ofisini au la ukiwa upande wowote Mungu anakujalia kwa wakati wake
 

Acha kulialia, utafiti hajajifanyia kwa manufaa yake binafsi bali aliwiwa kujifunza na kuwakilisha wengine.

Hivi kwa mfano unaoa cariha, mbali na uchumi wa familia utasema una mke?
 
Hata haihitaji research, hili liko wazi kabisaaa.
 
Mwanamke ni mtii/ana utii, and that's nature.
Heshma ni jambo ambalo mtu yeyote anapaswa na anaweza akawanalo, na hata boss anapaswa kumuheshimu mtu/watu wa chini yake.
wewe umetaka kuzungumzia unyenyekevu kwa boss...😎
Wewe Msukuma upo vyema sana kwenye kujibu maswali
 
Ungezingatia maboss wa jinsia zote mbili. Utafiti huu umezingatia maboss wa kiume tu vp kuhusu jinsia ya pili kuumbwa?
 
Acha kulialia, utafiti hajajifanyia kwa manufaa yake binafsi bali aliwiwa kujifunza na kuwakilisha wengine.

Hivi kwa mfano unaoa cariha, mbali na uchumi wa familia utasema una mke?
Sasa kwa nini unachagua ambae unajua hakufai?.

kila mtu na mtuwe
Unaweza ona kim kardashian hafai ila Kanye West kamuoa
 
Hahaha mbona povu sana chief?lipi limekugusa?
 
Mungu aliyeanzisha ndoa, ndiye ana ufumbuzi wa matatizo katika ndoa tukirejea maandiko matakatifu katika kitabu chake Biblia.
 
1.Fahamu mimi ni mme wa mtu.
2.Sijakuelewa umeandika nini !
 
Mbona watu wana mpunga na wachapiwa tu.
 

Wanawake huwaheshimu na kuwatii​

1. MITUME NA MANABII FEKI​

2. WAGANGA WA KIENYEJI NA WACHAWI​

3.WANASIASA​

kuliko waume zao.​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…