Matokeo ya utafiti binafsi: Wanawake huwaheshimu na kuwatii maboss kuliko waume zao

Matokeo ya utafiti binafsi: Wanawake huwaheshimu na kuwatii maboss kuliko waume zao

Sio kweli, mimi sijaoa wa ofisini, kaka zangu hawajaoa mwanamke wa ofisini, mdogo wangu hajaoa wa ofisina na hata ningepewa bure sitamchukua.

Ukweli nitausema hata kama haupendwi sana wanamke mlioajiriwa hamna quality za kike mnakimbizana kuwa kama wanaume.

Sasa nitakua mjinga kuoa jike dume.
U should have been happy then kwa kuwa umepata mwanamke unayemtaka wewe na kaka zako pia

kujitesa kufanya hii tafiti inaonyesha hauna furaha na ulienae ama unawatamani wa maofisini

quality za kike haichagui eneo lako la kazi ni hulka tu ya mtu

na ni kweli kwamba ndoa haichagui uko ofisini au la ukiwa upande wowote Mungu anakujalia kwa wakati wake
 
U should have been happy then kwa kuwa umepata mwanamke unayemtaka wewe na kaka zako pia

kujitesa kufanya hii tafiti inaonyesha hauna furaha na ulienae ama unawatamani wa maofisini

quality za kike haichagui eneo lako la kazi ni hulka tu ya mtu

na ni kweli kwamba ndoa haichagui uko ofisini au la ukiwa upande wowote Mungu anakujalia kwa wakati wake

Acha kulialia, utafiti hajajifanyia kwa manufaa yake binafsi bali aliwiwa kujifunza na kuwakilisha wengine.

Hivi kwa mfano unaoa cariha, mbali na uchumi wa familia utasema una mke?
 
Mwanamke ni mtii/ana utii, and that's nature.
Heshma ni jambo ambalo mtu yeyote anapaswa na anaweza akawanalo, na hata boss anapaswa kumuheshimu mtu/watu wa chini yake.
wewe umetaka kuzungumzia unyenyekevu kwa boss...😎
Wewe Msukuma upo vyema sana kwenye kujibu maswali
 
Ungezingatia maboss wa jinsia zote mbili. Utafiti huu umezingatia maboss wa kiume tu vp kuhusu jinsia ya pili kuumbwa?
 
Acha kulialia, utafiti hajajifanyia kwa manufaa yake binafsi bali aliwiwa kujifunza na kuwakilisha wengine.

Hivi kwa mfano unaoa cariha, mbali na uchumi wa familia utasema una mke?
Sasa kwa nini unachagua ambae unajua hakufai?.

kila mtu na mtuwe
Unaweza ona kim kardashian hafai ila Kanye West kamuoa
 
Kuolewa na Kanye hakubadili ukweli kutofaa kua mke bora kama hana sifa hana tu hata aolewe na nani, afu we limbukeni kweli kwani Kanye ni nani tena macelebrity wanabolonga sana kwenye kuchagua wenza.

Afu hapa ni Tz na wewe kwa kauli zako za kujilinganisha na watu wa Magharibi ni dhairi unapenda mambo ya kuiga iga kufake fake wewe ni mwanamke pigo za kina Giggy Money au Diva na bila kukwepesha huwezi kua mke bora hata PUNJE.

Kati ya haya makisio 3 moja liko sahihi. (Ila namba 1 ni highly plausible)
1. Haujaolewa na hautaolewa
2. Kama umeolewa basi umeolewa na mwanaume Uchebe style.
3. Utakuja kuolewa na mwanaume Uchebe style hakuna high value man ataoa mwanamke wakufake fake maisha, kujilinganisha linganisha NEVER.

Wanaume tupo smart sana kwenye kuchagua mke, we can smell a toxic woman miles away. Nyie toxic wemen ni kupiga mkuyenge na kuwamwaga tunakwenda kuao wanawake wanaofaa.
Hahaha mbona povu sana chief?lipi limekugusa?
 
Salaam wakuu,

Katika kutibu kiu ya kujua mambo mimi na wenzangu wawili Thomas na Lilian (sio majina yao halisi ) tuliamua kufanya utafiti binafsi juu ya "women obidience to their bosses VS husbands" heshima na utii wa wanawake kwa maboss wao kulinganisha na utii kwa waume zao.

Area of study ilikua Turiani - Morogoro, Ilemela -Mwanza na Kinondoni - Dar. Research methodoloy ilikua experimental design, Sample size ilikua wanawake 340 na Data collection techniques ilikua proficiency testing, interview na behaviral observation bila ya wahusika kujua wako chini ya utafiti ili kupata matokeo halisi ya tabia (behavioural results)

Test retest criterion method ilitumika kama validy and reliability approaches ili kupata findings zilizo relialible as much as possible.

Wanawake bila kujua waliwekwa kwenye uchungunzi kwa muda wa week 4 wakiwa subjected kwenye scenerio 32 kwa kila mmoja. Kulikua na control group ya nusu ya idadi ya wanawake na nusu nyingine ilikua experimental group.

Matokeo yamebainisha 98.8% (ambayo ni significant score) wanawake wako tayari kutii maajizo ya boss pale yatakapo kizana na ya mume. Mfano scinario na. 004 wanawake wako tayari kutii bila swali wala kuhoji mapendekezo ya boss ya kuchelewa au kurudi kazini muda wa ziada hata kama mume ameshauri muda huo utumike kwa shughuli nyingine ya kifamilia.

Aidha wanawake 86% waliokua chini ya utafili walibainika kufanya mambo ya kumpendeza boss kwa hiari hata kama yatamkwaza mume. Kwa mfano scinario na. 011 asilimia tajwa ya wanawake wako tayari kukubali mualiko wa boss japo wanajua kufanya hivyo kutamkwaza mume.

Katika hali ya kushangaza wanawake wa experimental group katika utayari wa kujibu simu, 97% hawakupokea simu za waume zao walipokua na maboss wao walikata simu kuendeleza utulivu na usikivu kwa boss ila walipokua na mume, walipokea simu za boss bila kusita bila kuchelewa. Wanawake 12 kati yao walipopigiwa na boss walisogea pembeni (wakijitenga kidogo na mume) ili kuongea na boss.

100% ya wanawake waliofanyiwa utafiti walionesha kupata furaha zaidi kama watapata fursa kwenda seminar yenye posho kuliko kwenda mapumziko na mume na familia zao.

Findings za habitual test zimeonyesha wanawake 87% hujibishana kwa lugha chafu pale wanapo kinzana mawazo au kukwazwa na waume zao ila 0% au hakuna mwanamke alieripotiwa kujibishana na boss hata wanapokwazwa na kuonewa.

Respondent number 0213 alinukuliwa akizungumzia kujibishana na boss hivi ndivyo alisema. " Boss unaanzaje kubishana nae, boss wangu mimi naona ndo mwanaume kati ya wanaume, we mtu anakupa mshahara, we mtu akikohoa tu huna kazi mume yupo tu akizingua hata umtukane atafanya nini".


91% ya wanawake waliochunguzwa bila ya wao kujua wako katika uchunguzi, wako tayari ndoa zao kuvunjika ila wasipoteze kazi. Kwa lugha nyingine kazi kwanza ndoa na familia badae.

Findings za kutumiwa kingono hazikuwa valid na sijayafanyia analysis baada ya wanawake waliochunguzwa kusita na wengine kugoma kuzungumza kama wamewahi kutumiwa kimwili na maboss wao.


Wakuu conclusion mtatoa nyie kazi yangu ilikua kufanya Presentation, Analysis na Discussion of findings. Labda nitoe recommendations for further research:

Narecommend research zaidi katika maeneo tofauti ili kumirginalize findings za tafiti hii au kurefute facts.
Mungu aliyeanzisha ndoa, ndiye ana ufumbuzi wa matatizo katika ndoa tukirejea maandiko matakatifu katika kitabu chake Biblia.
 
Mungu hutoa ufumbuzi pale juhudi na tahadhari ya mwanadam inapoishia. Yani mtu awe kahaba tu afu aseme Mungu atanipatia ufumbuzi wa ukimwi NEVER. Yani mtu awe mvivu hajitumi aseme Mungu atanipa ufumbuzi wa umasikini NEVER. Yani mtu hamuheshimu mume wake kisa ana "kaajira" afu aseme Mungu atatoa ufumbuzi wa matatizo ya ndoa yake NEVER EVER.

Kwanza Mungu mwenyewe alisema " Mwanamke amheshimu mume kwa kila hali: -Warumi" afu leo mwanamke heshima kwa boss, mwanamke yuko tayari kumkwaza mume ila tu kumuimpress boss afu Mungu atoa ufumbuzi wa migogoro ya ndoa hyo? Mungu hatoi ufumbuzi hapo anatoa laana.

Afu Mungu jukumu la kula kwa jasho alimpa mwanaume, wewe mwanamke kujitia haki sawa nawe uwe kama mwanaume kutafuta ushapingana na huyo Mungu unaemtaka alete ufumbuzi. Acha kuongea mambo usiyoyajua binti. Wewe ulipewa jukumu la kuzaa kwa uchungu, unafuata nini ofisini ??!!

Paulo anasema "Mwanamke akae kimya kwa utulivu ajifunze kwa mume" sasa leo nionyeshe mwanamke mwenye "kaajira" anaekaa kimya na kwa utulivu mbele ya mumewe na mimi nitakuonyesha mbuzi wa miguu mitano. Yani hii mada bora mngeizungumzia kidunia, kifeminism kuizungumzia kwa misingi ya Mungu ndo HAMNA HOJA hata kidogo

Mungu anachia laana kwa wanawake kipindi hichi kwa usasa wenu ndo maana ndoa nyingi zinavunjika, wengi hamuolewi huku masingle mother wakiongezeka kwa kasi ya radi.
1.Fahamu mimi ni mme wa mtu.
2.Sijakuelewa umeandika nini !
 
Ok.. basi wife awe na kamradi ka kum-keep bize na kupata mpunga kiasi, afu dume unamiliki a massive project na baadhi ya wafanyakazi hapo ni walimbwende, ili wife ajue akileta dharau za makusudi Kuna reserve huko..

Ila kwa ujumla, thamani na ulinzi wa mume ni MPUNGA.. Kama unamiliki mpunga usio na mawazo, lzm respect itakuwepo tuu
Mbona watu wana mpunga na wachapiwa tu.
 

Wanawake huwaheshimu na kuwatii​

1. MITUME NA MANABII FEKI​

2. WAGANGA WA KIENYEJI NA WACHAWI​

3.WANASIASA​

kuliko waume zao.​

 
Back
Top Bottom