Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Ahsante sana mkuu, I am humbled
 
Mkuu wansegamila upo vizuri kiuchunguzi.

Maana yake ni kwamba hata tume yoyote inapoundwa kuchunguza jambo fulani, ili kubaini aidha uozo fulani uliokwisha kutendeka, basi hupatiwa hadidu za rejea za kufuata katika uchunguzi wao huo.

Huwa hawachunguzi bila ya mipaka ya maelekezo ya kufuata katika ichunguzi wao.

Sasa na wewe umefuata kanuni hizo hizo katika uchunguzi wako.

Itoshe kusema kwamba upo vizuri katika kufanya uchunguzi wa jambo na kubaini ukweli.
 
Shukrani sana mkuu.
 
Ni kweli mkuu.
Mtu kwenye profile kaandika 'studies at the University of Dar es salaam', ila ukimrushia sentensi mbili tu za Kingereza anajibu anasema haelewi anaomba utumie Kiswahili. Huyu utafiti ulitufungua macho sana Mimi na team yangu.

Niliwahi kuandika humu, nilikuwa na beki tatu, wakati yuko kwangu siku moja nikacheki fb profile yake, nikakuta anadai yupo UDSM. Watu humu ndani wakanibeza.
 
Hongera kwa utafiti ulotoa mwanga wanini ulichokusudia kufahamu ,..binafsi naona kwadata zako kuwa wadada wengi wanaotumia mitandao yakijamii kwa asilimia kubwa wanafanya hizo biashara kitu ambacho kinatia walakini ...ningeshauri kama kunamwingine wakufanya utafiti angejikita kwenye mitandao yakijamii common inayotumika na wengi mfano fb,insta nk..
Pia wafanyiwa research wawe wengi more than 1000 ambao pia machaguo yao isiwe too selective kwakuangalia picha tu nakuona morphology yamtu kua huyu huenda n mdau ,ila ingejikita tu kwa jinsia bila kuchagua huenda ingeleta percentage ndg kiasi ambayo haiwez kuleta taharuki kwajamii ,...
Muda wareseach pia ukiongezwa nakua mrefu zaid tunaweza pata data sahihi na nzto
But all in all Mleta mada umefanyakazi nzito nawengi tumepata kitu kutokana nautafiti wako
 
Utafiti huu haujaongopa Dr. Wansegamila

Kama mnaweza kufanya na utafiti wa vijana wa kiume wanaojiuza huko mitandaoni tutashukuru. Maana kwa mambo yanayoendelea mitaani yamekua mengi mno, sijui shida inaanziaga wapi, ila taabu iko kwa wazazi.
Sawa tu afanye,lkn utafiti wa mwanzo ndiyo hivyo ukweli mtupu
Maana sahvi kila mdada mtandaoni lazima apost aoneshe msambwanda kwa nyuma...any way biashara matangazo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Umuhimu,maendeleo ya teknolojia hiyo mzee
Wadada/watu wamejiongeza

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Sawa tafiti imefanyika na ime prove kuwepo kwa hao wanawake wanaojiuza mitandaoni.

Kibaya nu kuwa jamii huwa ina ignore chanzo cha tatizo ambacho ni wanaume wanaotoa hela kununua hao wanaojiuza.

Bila sisi wanaume kuwanunua hao wanaojiuza tatizo hilo haliwezi kuwepo.
 
Sawa tunanunua!

Je umetafiti chanzo ama sababu ya kuwanunua ishamiri tangia enzi za Adamu na Hawa?

Ni sababu gani pia inawafanya hata wanaume waliopo katika ndoa kuangukia kwenye uteja huo?
 
Sawa tu afanye,lkn utafiti wa mwanzo ndiyo hivyo ukweli mtupu
Maana sahvi kila mdada mtandaoni lazima apost aoneshe msambwanda kwa nyuma...any way biashara matangazo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hivi misambwanda ina kichocheo gani kwenye hizo mambo? Maana hata baadhi ya wale wanaotafuta mahusiano serious pia juhudi ya wanawake kuboresha na kuonyesha hizo sehemu; na juhudi za wanaume kuitafuta ile mikubwa na kuipa kipaumbele imekua kubwa kuliko juhudi ya kujenga mahusiano bora.
 
Hiyo mitandao mbona inamajina ya kirundi ?
 
Ahsante sana mkuu kwa mawazo yako mazuri.
 
Ni kweli kabisa mkuu. Bila wanunuaji nadhani hii biashara 'ingekufa kibudu' automatically.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…