Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
- Thread starter
- #181
Kweli kabisa mkuuWapo na madalali humu kwahiyo cha msingi nachoweza kushauri ni waeleweshe na kama hawataki kuelewa basi achana nao wapuuze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa mkuuWapo na madalali humu kwahiyo cha msingi nachoweza kushauri ni waeleweshe na kama hawataki kuelewa basi achana nao wapuuze
Ahsante sana mkuu, I am humbledFirst of all, Dr hongera sana kwa this research this makes you to have right to speak kwasababu umefanya research na una data.
Ubaya wengi wetu watz hatuoni umuhimu wa hizi tafiti na labda tunahisi ni za academicians but nadhani ifike mahala tukubali tafiti Zina majibu sahihi kwa asilimia kubwa kuliko assumptions ambazo mwisho zinachukuliwa Kama norms.
Endelea na moyo huo huo ingawa najua Kuna discouragement unaweza kukutana nazo.
NB: I love how positive you are, very civilized
pale boardroom nilimpeleka mtu ile tunatoka akatokea dada anaomba ampige jamaa bJ ampe 5000[emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani sana mkuu.Mkuu wansegamila upo vizuri kiuchunguzi.
Maana yake ni kwamba hata tume yoyote inapoundwa kuchunguza jambo fulani, ili kubaini aidha uozo fulani uliokwisha kutendeka, basi hupatiwa hadidu za rejea za kufuata katika uchunguzi wao huo.
Huwa hawachunguzi bila ya mipaka ya maelekezo ya kufuata katika ichunguzi wao.
Sasa na wewe umefuata kanuni hizo hizo katika uchunguzi wako.
Itoshe kusema kwamba upo vizuri katika kufanya uchunguzi wa jambo na kubaini ukweli.
Ni kweli mkuu.
Mtu kwenye profile kaandika 'studies at the University of Dar es salaam', ila ukimrushia sentensi mbili tu za Kingereza anajibu anasema haelewi anaomba utumie Kiswahili. Huyu utafiti ulitufungua macho sana Mimi na team yangu.
Sawa tu afanye,lkn utafiti wa mwanzo ndiyo hivyo ukweli mtupuUtafiti huu haujaongopa Dr. Wansegamila
Kama mnaweza kufanya na utafiti wa vijana wa kiume wanaojiuza huko mitandaoni tutashukuru. Maana kwa mambo yanayoendelea mitaani yamekua mengi mno, sijui shida inaanziaga wapi, ila taabu iko kwa wazazi.
Umuhimu,maendeleo ya teknolojia hiyo mzeeHongera kwa utafiti ulotoa mwanga wanini ulichokusudia kufahamu ,..binafsi naona kwadata zako kuwa wadada wengi wanaotumia mitandao yakijamii kwa asilimia kubwa wanafanya hizo biashara kitu ambacho kinatia walakini ...ningeshauri kama kunamwingine wakufanya utafiti angejikita kwenye mitandao yakijamii common inayotumika na wengi mfano fb,insta nk..
Pia wafanyiwa research wawe wengi more than 1000 ambao pia machaguo yao isiwe too selective kwakuangalia picha tu nakuona morphology yamtu kua huyu huenda n mdau ,ila ingejikita tu kwa jinsia bila kuchagua huenda ingeleta percentage ndg kiasi ambayo haiwez kuleta taharuki kwajamii ,...
Muda wareseach pia ukiongezwa nakua mrefu zaid tunaweza pata data sahihi na nzto
But all in all Mleta mada umefanyakazi nzito nawengi tumepata kitu kutokana nautafiti wako
Sawa tunanunua!Sawa tafiti imefanyika na ime prove kuwepo kwa hao wanawake wanaojiuza mitandaoni.
Kibaya nu kuwa jamii huwa ina ignore chanzo cha tatizo ambacho ni wanaume wanaotoa hela kununua hao wanaojiuza.
Bila sisi wanaume kuwanunua hao wanaojiuza tatizo hilo haliwezi kuwepo.
hapana ila alirise discussion kama hii manake pia ni DrVipi jamaa alikubali
Labda ni namna tulivyokuwa akaona tu siyo muhusika akajaribu bahatiYaani pamoja na kuona wewe uko nae bado akawa analazimishia kuwa ampe BJ? Ndo njaa Kali au?
Daahhh....!! Sad.
@Mapank bwanaTunapataje links za hayo magroup King
Hivi misambwanda ina kichocheo gani kwenye hizo mambo? Maana hata baadhi ya wale wanaotafuta mahusiano serious pia juhudi ya wanawake kuboresha na kuonyesha hizo sehemu; na juhudi za wanaume kuitafuta ile mikubwa na kuipa kipaumbele imekua kubwa kuliko juhudi ya kujenga mahusiano bora.Sawa tu afanye,lkn utafiti wa mwanzo ndiyo hivyo ukweli mtupu
Maana sahvi kila mdada mtandaoni lazima apost aoneshe msambwanda kwa nyuma...any way biashara matangazo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hiyo mitandao mbona inamajina ya kirundi ?Wakuu salama?
Kuanzia mwezi Septemba mwaka huu, niliongoza utafiti usio rasmi juu ya madai ya mabinti wa Kitanzania kujiuza kwenye mitandao ya kijamii ya Badoo, Tinder na Hitwe.
Maswali ya utafiti (Research questions):
1. Je, ni kweli kuwa mabinti wa Kitanzania walio katika mitandao ya Badoo, Tinder na Hitwe wanajiuza kimwili?
2. Je, mabinti wa Kitanzania wanaojiuza kimwili (kama wapo kulingana na majibu ya swali la kwanza hapo juu) katika mitandao ya badoo, tinder na hitwe ni wahitimu wa vyuo vikuu?
Malengo ya utafiti (objectives)
1. Kufahamu kama mabinti wa Kitanzania walio katika mitandao ya Badoo, Tinder na hitwe wanafanya biashara ya kuuza miili yao kwa matumizi ya ngono.
2. Kufahamu kama mabinti wa Kitanzania wanaojiuza katika mitandao ya badoo, Tinder na Hitwe (kama wapo) ni wahitimu wa vyuo vikuu?
Njia iliyotumika (Methodology)
Jumla ya Profiles 120 zenye majina na picha za mabinti kutoka mitandao ya badoo (40), tinder (40) na hitwe (40) walitumiwa meseji na mmoja wa wachunguzi wetu ambae alitengeneza 'profile' za kiume kwenye mitandao hiyo
Meseji ya kwanza ilikua ni "Hi mrembo!". Baada ya meseji hii kujibiwa na mhusika, maongezi yalikua yakiendelea kwa mchunguzi wetu kumwambia kuwa, " I wanna have some fun with you, how much will it cost me?"
"Profiles" zilikua zinachaguliwa "randomly" ambapo wachunguzi wetu walikua wanaongozwa na formula ambayo imesetiwa kabla ya kuanza zoezi kuchagua profiles za kuzitumia meseji in a random fashion.
Hitimisho la maongezi haya ni kwa mchunguzi wetu kufikia makubaliano na mhusika, na binti kutoa namba ya simu kwa mawasiliano zaidi ya namna ya kukutana. Kwa utafiti huu, binti kukubaliana BEI, muda na sehemu ya kukutana na mchunguzi wetu PAMOJA NA binti kutoa namba ya simu (ni lazima vitu hivi VYOTE vitimie), kulihesabika kama 'confirmatory test' ya binti kujiuza.
Kwa upande wa lengo la pili la utafiti huu kubaini kama wasichana wa Kitanzania wanaojiuza kwenye mitandao ya kijamii (kama wapo) ni wahitimu wa vyuo vikuu, kigezo kilichotumika ni ufahamu wa lugha ya kingereza kwa binti husika kwa kadri ya "chats" za mhusika na mchunguzi wetu (hii ina limitations zake, lakini ndio ilionekana kuwa ni njia ya haraka zaidi kubaini hilo kwa vigezo vya tafiti hii kwani inategemewa kuwa mhitimu wa chuo kikuu wa Kitanzania angalau aweze kumudu kingereza cha kuandika kwani ndio lugha ya kufundishia nchini kuanzia sekondari hadi chuo kikuu)
Matokeo (Results)
Kati ya meseji 120 zilizotumwa na wachunguzi wetu, meseji 109 zilipata majibu, na meseji 11 hazikujibiwa kabisa hadi mwisho wa utafiti. Meseji zilizojibiwa kwa kadri ya mitandao wa kijamii ni kama ifuatavyo; badoo (35), tinder (37) na hitwe (37).
Kati ya meseji 109 zilizojibiwa, iligundulika kuwa wasichana wa Kitanzania 92 (ambayo ni sawa na asilimia 84.4), WANAJIUZA kwani walikubaliana na mchunguzi wetu sehemu, simu na muda wa kukutana, pamoja na kutoa namba ya simu kwa mchunguzi wetu kwa mawasiliano zaidi.
Kati ya hao waliokubali, wasichana 74 (asilimia 80.4 ya waliokubali), walikua tayari kufika eneo la miadi kwa gharama zao, kwa ahadi ya kurejeshewa gharama hiyo na mchunguzi wetu.
Pia, kati ya wasichana 92 ambao walikidhi vigezo vya KUJIUZA kwa kadri ya utafiti huu, iligundulika kuwa 62, ambayo ni sawa na asilimia 67.4 hawamudu lugha ya kingereza (waliomba wachunguzi wetu wabadili lugha na kutumia kiswahili wakati wa chats)-Hivyo basi kuwa na uwezekano mkubwa kuwa hawakufika chuo kikuu.
Majadiliano (discussion)
Hii nakuachia wewe mwana JF
Hitimisho:
Asilimia 84 ya wasichana wa Kitanzania walio kwenye mitandao ya kijamii ya Badoo, Tinder na Hitwe wanajiuza kimwili, na kati ya hao asilimia 67 hawajafika elimu ya chuo kikuu (Pamoja na 'profiles' zao kuonyesha kuwa ni wahitimu au wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali nchini).
Mengineyo
Utafiti huu pia uligundua vitu vingine ambavyo havikwepo kwenye malengo ya awali ya utafiti kama vile:
1. Kati ya wasichana 92 ambao walikidhi vigezo vya kujiuza kwa kadri ya utafiti huu, 81 (asilimia 88) walikubali kuwa wanatoa huduma ya ngono kinyume cha maumbile walipoulizwa na wachunguzi wetu iwapo wanatoa huduma hiyo.
2. Bei ya wastani kwa wasichana wanaojiuza kwa kadri ya makubaliano na wachunguzi wetu ilikua kati ya shilingi 20,000-100,000 kwa usiku mmoja. (Wengine walikua wanatoa bei kwa bao na sio kwa usiku).
3. Kuna uwezekano mkubwa kuwa kuna wanaojiuza ambao eidha bado wako chini ya uangalizi wa wazazi/walezi au labda hata wake za watu? Kwa sababu kulikua na idadi ya kutosha ya mabinti ambao walisema kuwa wao hawawezi kutoa huduma ya kulala usiku mzima, lakini wanaweza kutoa game mida ya kuanza asubuhi hadi jioni (Hili ni eneo lingine la utafiti kubaini hawa wanaojiuza mitandao ni ni kina nani hasa?)
Je, wapo pia watoto wetu tunaoishi nao majumbani wanafanya hii biashara? pengine na wake za watu? Wazazi na walezi tuwe makini sana kujua nyendo za watoto wetu tunaoishi nao.
Mapungufu ya utafiti huu (limitations)
1. Kuna uwezekano wa kuwepo 'profiles' ambazo zina majina na picha za mabinti, ila ni za wanaume, hasa kwa wale ambao walikataa makubaliano ya kufika eneo la ahadi kukutana na mchunguzi wetu bila kutumiwa nauli-Utafiti huu haukuweza kueliminate hili kwa asilimia 100.
2. Kuna uwezekano pia ya baadhi ya mabinti ambao wanajua kingereza lakini hawakufika chuo kikuu (au kinyume chake pia), hivyo kwa lengo namba mbili la kubaini level ya elimu kwa kigezo cha kingereza inawezekana kutoa matokeo ambayo si uhalisia. Ila utafiti huu uwezo wake umeishia hapa.
Naomba kuwasilisha.
Ahsante sana mkuu kwa mawazo yako mazuri.Hongera kwa utafiti ulotoa mwanga wanini ulichokusudia kufahamu ,..binafsi naona kwadata zako kuwa wadada wengi wanaotumia mitandao yakijamii kwa asilimia kubwa wanafanya hizo biashara kitu ambacho kinatia walakini ...ningeshauri kama kunamwingine wakufanya utafiti angejikita kwenye mitandao yakijamii common inayotumika na wengi mfano fb,insta nk..
Pia wafanyiwa research wawe wengi more than 1000 ambao pia machaguo yao isiwe too selective kwakuangalia picha tu nakuona morphology yamtu kua huyu huenda n mdau ,ila ingejikita tu kwa jinsia bila kuchagua huenda ingeleta percentage ndg kiasi ambayo haiwez kuleta taharuki kwajamii ,...
Muda wareseach pia ukiongezwa nakua mrefu zaid tunaweza pata data sahihi na nzto
But all in all Mleta mada umefanyakazi nzito nawengi tumepata kitu kutokana nautafiti wako
Ni kweli kabisa mkuu. Bila wanunuaji nadhani hii biashara 'ingekufa kibudu' automatically.Sawa tafiti imefanyika na ime prove kuwepo kwa hao wanawake wanaojiuza mitandaoni.
Kibaya nu kuwa jamii huwa ina ignore chanzo cha tatizo ambacho ni wanaume wanaotoa hela kununua hao wanaojiuza.
Bila sisi wanaume kuwanunua hao wanaojiuza tatizo hilo haliwezi kuwepo.