Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Ni kweli mkuu, wazo zuri sana.
Tulijadili pia wakati wa write up kuhusu umuhimu wa kuwa na recommendation ya aina hiyo kwa mamlaka husika, lakini mwisho wa siku ilionekana sio kitu practical kuwa dealt with kwa sheria na restriction, so ilishauriwa tuachane na ushauri wa aina hiyo kwa serikali, na ushauri uwe zaidi kwenye malezi kijamii maana ni suala LA kimaadili zaidi. Japokua naelewa sana point yako, ahsante kwa ushauri mzuri.
 
Well said. Yaani mtu anakuja ananitukana na kunishambulia kisa tu eti nimeandika kuhusu huu utafiti. Inashangaza sana hadi unawaza ni stress za maisha, ni uelewa mdogo au watu wa aina hii pia ni moja ya wanufaika wa hii biashara?
Anyways, ndo binadamu tulivyo, tunatofautiana sana.
 
Ni nani kawatuma na mnalipwa kiasi gan cha fedha? Na mnafaidikaje?? Tuanzie apo
 
Ni nani kawatuma na mnalipwa kiasi gan cha fedha? Mnafaidika na nn? Tuanzie apo
 
Hahahahaha.....!! Inaonekana wanakuchosha kweli kweli, hadi uko tayari kupoteza wateja.
Wanachosha sababu ukiangalia umri wao na wanayoyazungumzia nikiwa kama mama yananiumiza,
nikifikiria pia nikiwa chuo sikuwa na nayo mawazo pamoja na kusoma kwa tabu Ila niliridhika,

wanayoyafanya wanaweka ugumu kwao watakapofikia umri wa kuchuja.
 
Naomba link mkuu nikashuhudie mwenyewe
 
Ni nani kawatuma na mnalipwa kiasi gan cha fedha? Na mnafaidikaje?? Tuanzie apo
1.Nani katutuma?
-Suala hili LA mabinti wa Kitanzania kujiuza mitandao ni limekua likiongelewa sana, hata ukiangalia baadhi ya threads za humu JF utaona such discussions, lakini hakuna mtu ambae amewahi kufanya utafiti akaja na data ambazo zinaonyesha uwepo na ukubwa wa tatizo, hivyo mara nyingi huwa ni hear-say tu. So, tuliona hilo na kuonya umuhimu wa kufanya utafiti huu ili angalau kuelewa ukubwa wa hili suala LA mabinti wa (vyuo vikuu) wa Kitanzania kujiuza mitandaoni.
2.Tunalipwa kiasi gani cha fedha?
-Hilo swali sitalijibu, kwani ni personal sana na sitaweza kutoa taarifa zinazohusiana na kipato changu humu ndani (for obvious reasons).
3.Tunafaidikaje?
-Naomba hili swali nikujibu kwa Ku quote post # 135 ya Mr possibility

"Wengi mnaongea msichokijua,lengo ka mtoa mada(mtafiti) ni

Kutanya tafiti juu ya suala ka umakaya nchini hasa kwenye mitandao ya kijamii

Kuwapa wazazi tahadhari juu ya mienendo ya watoto wao hata wale wanaodhaniwa kuwa wameelimika na wapo vyuoni(wanafunzi),wake za watu nk

Nb
Suala la yeye kulipwa au la halimuhusu yeyote humu

Je anapata faida au hapati wewe na mimi hayatuhusu

Pasipo utafiti hauna haki ya kudai,kuongea kuhusu takwimu au ....nk

Hiyo ni kazi pia kama kazi nyinginezo

Nahitimisha"


Spark
 
Nzuri sana Dr
 
Telegram hauitaji hata utafit ukiingia kweny magroup yao we unapewa tu bei, location, unaopoa demu mapema
Pia huwa kina mdali wa Malaya

Kuna Dem mmja inst anawauza Sana malay yy amedanga adi amekosa soko,anait don dada ukitaka Dem ww mfuate tu.

Malaya wa kweny magroup sio wanachuo ila wanatumia tu jina wanachuo ili wapate wateja maan watu weng wanaamia chuo Kuna pisi Kali afu bad KM chache,

Kwa experience yang Malaya Hawa weng wapo dar ,Moro ,
Ila mikoani bado sna na hata hawo was dar hawafanyi delivery mikoani,

Ukiingia kichwa kichwa lazma utapeliwe tu .
 
Suala la ukahaba watu wengi wanafanya haijalishi ni mwanachuo, ameolewa au gate kali.

Issue ya wanavyuo kujiuza hadharani huwa ni hype tu na branding inayotumika na wadada wengi kujipandisha thamani.

Na hiyo ni Kwasababu kuna watu tu kisaikolojia akimpata mwanachuo anajiona yuko juu na hata uhongaji unakuwa mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…