Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

mie nnavyoijua badoo unajua ni mtandao wa Malaya
sijui kuhusu dating site

Tujifunze kuthamini research na kuelewa umuhimu WA research..
Research inasaidia watu kupunguza generalisation...

Ni kweli watoto wa chuo wanajiuza je ni wote asilimia 100?
Research zinasaidia kujua .. pengine ni asilimia 70 ina maana kuna asilimia 30 hawahusiki au pengine ni asilimia 20 Tu
Lakini wanachafuka asilimia 80 ingine..


Tafiti zinapingwa Kwa tafiti
 
Kweli mjini shule
Kuna mahala mabinti wa chuo wanakuja kwa minajiri ya kudanga, huwa wanataka mtu wa kutimiza haja zao( mahitaji ). Anaweza akawa na watu wawili watatu. Mfano ukija century cinemax au Pizza Hurt, Subway, maeneo mengine mengi vinakuja sana hivyo vitoto vya chuo kutega inakuwa kama bahatisha. Ila njia ingine kuna wale majaa wa chuo ni wanafunzi wao huwa wanakuwa chawa.. kitambo kidogo kuna mtoto wa waziri X ilikuwa kazi yake kuuza mademu wa chuo .. nina usingizi nikiamka badae nitakupa nondo
 
Tujifunze kuthamini research na kuelewa umuhimu WA research..
Research inasaidia watu kupunguza generalisation...

Ni kweli watoto wa chuo wanajiuza je ni wote asilimia 100?
Research zinasaidia kujua .. pengine ni asilimia 70 ina maana kuna asilimia 30 hawahusiki au pengine ni asilimia 20 Tu
Lakini wanachafuka asilimia 80 ingine..


Tafiti zinapingwa Kwa tafiti
Vizuri
 
Hao wapigaji.. ki uharisia ukifatilia kwa karibu hukuti mwanachuo.. hao ni matapeli wanatumia wadada wachuo kutangaza ili kuchota akili za wanaume wapenda vya chuo..
Siongelei story ni wateja wangu watoto wa mabibo hostel
 
UmelipwA?fala sana ww ungeenda kino makaburini hapo kazi ingekua rahisi sana.
Nyie vijitu mmekuja mjini baada ya kuitwa chuoni mna tabu sana.Hata sinza hapo ungefanya utafiti wako ukamaliza,
yaani aisee ushamba mzigo.
Itakuwa wewe ni mmoja wapo kati yawaliofanyiwa tafiti
 
Nilitamani ningekuwa nna fund ningeku sapoti research yako iende deep..

Mfano Makamu wa Rais Samia Suluhu amewahi kunukuliwa akikemea tabia ya wanafunzi wa vyuo kujiuza..
Hii ina maana ni tatizo very widespread..
Lakini je limefanyiwa research vya kutosha?

Je ni asilimia ngapi?
Wana matatizo ya uchumi kweli??

Au tamaa na malezi mabovu?
Au kuna tatizo la mfumo wa elimu?
Elimu haizingatii vigezo?Inajali biashara ya kuuza elimu? Wasioukuwa na uwezo mradi wanalipa Ada wanaingia?

Mfano mwaka 2000 kuja chini wadada waliokuwa wanajiuza club bilicanas na Joly club bei ilianzia elfu 30
Leo unaenda club wadada wanajiuza elfu 15 Hadi elfu 5..nini kimetokea?
Wauzaji wengi kuliko wanunuzi?
Uchumi mgumu??
Au mtandao ndo umeongeza wauzaji?
Kuna mengi mno ya kufanyiwa tafiti..

Unaweza kuta wazungu wanakuja kufanya PhD hapa na Sisi tumekaa na kubeza kila mtu akijaribu kufanya tafiti
 
Wakuu salama?

Kuanzia mwezi wa Septemba mwaka huu, niliongoza utafiti usio rasmi juu ya madai ya mabinti wa Kitanzania kujiuza kwenye mitandao ya kijamii ya badoo, tinder na hitwe.

Maswali ya utafiti (Research questions):
1.Je ni kweli kuwa mabinti wa kitanzania walio katika mitandao ya badoo, tinder na hitwe wanajiuza kimwili?
2.Je, mabinti wa Kitanzania wanaojiuza kimwili (kama wapo kulingana na majibu ya swali la kwanza hapo juu) katika mitandao ya badoo, tinder na hitwe ni wahitimu wa vyuo vikuu?

Malengo ya utafiti (objectives)
1.Kufahamu kama mabinti wa Kitanzania walio katika mitandao ya badoo, tinder na hitwe wanafanya biashara ya kuuza miili yao kwa matumizi ya ngono.
2.Kufahamu kama mabinti wa Kitanzania wanaojiuza katika mitandao ya badoo, tinder na hitwe (kama wapo) ni wahitimu wa vyuo vikuu?

Njia iliyotumika (Methodology)
Jumla ya Profiles 120 zenye majina na picha za mabinti kutoka mitandao ya badoo (40), tinder (40) na hitwe (40) walitumiwa meseji na mmoja wa wachunguzi wetu ambae alitengeneza 'profile' za kiume kwenye mitandao hiyo, meseji ya kwanza ilikua ni "Hi mrembo!". Baada ya meseji hii kujibiwa na mhusika, maongezi yalikua yakiendelea kwa mchunguzi wetu kumwambia kuwa, " I wanna have some fun with you, how much will it cost me?".
"Profiles" zilikua zinachaguliwa "randomly" ambapo wachunguzi wetu walikua wanaongozwa na formula ambayo imesetiwa kabla ya kuanza zoezi LA kuchagua profiles za kuzitumia meseji in a random fashion.
Hitimisho la maongezi haya ni kwa mchunguzi wetu kufikia makubaliano na mhusika, na binti kutoa namba ya simu kwa mawasiliano zaidi ya namna ya kukutana. Kwa utafiti huu, binti kukubaliana BEI, muda na sehemu ya kukutana na mchunguzi wetu PAMOJA NA binti kutoa namba ya simu (ni lazima vitu hivi VYOTE vitimie), kulihesabika kama 'confirmatory test' ya binti kujiuza.
Kwa upande wa lengo LA pili LA utafiti huu kubaini kama wasichana wa Kitanzania wanaojiuza kwenye mitandao ya kijamii (kama wapo) ni wahitimu wa vyuo vikuu,kigezo kilichotumika ni ufahamu wa lugha ya kingereza kwa binti husika kwa kadri ya "chats" za mhusika na mchunguzi wetu (hii INA limitations zake, lakini ndio ilionekana kuwa ni njia ya haraka zaidi kubaini hilo kwa vigezo vya tafiti hii kwani inategemewa kuwa mhitimu wa chuo kikuu wa Kitanzania angalau aweze kumudu kingereza cha kuandika kwani ndio lugha ya kufundishi nchini kuanzia sekondari hadi chuo kikuu)

Matokeo (Results)
Kati ya meseji 120 zilizotumwa na wachunguzi wetu, meseji 109 zilipata majibu, na meseji 11 hazikujibiwa kabisa hadi mwisho wa utafiti. Meseji zilizojibiwa kwa kadri ya mitandao wa kijamii ni kama ifuatavyo; badoo (35), tinder (37) na hitwe (37).
Kati ya meseji 109 zilizojibiwa,iligundulika kuwa wasichana wa Kitanzania 92 (ambayo ni sawa na asilimia 84.4), WANAJIUZA kwani walikubaliana na mchunguzi wetu sehemu,simu na muda wa kukutana, pamoja na kutoa namba ya simu kwa mchunguzi wetu kwa mawasiliano zaidi. Kati ya hao waliokubali, wasichana 74 (asilimia 80.4 ya waliokubali), walikua tayari kufika eneo LA miadi kwa gharama zao, kwa ahadi ya kurejeshewa gharama hiyo na mchunguzi wetu.
Pia, kati ya wasichana 92 ambao walikidhi vigezo vya KUJIUZA kwa kadri ya utafiti huu, iligundulika kuwa 62, ambayo ni sawa na asilimia 67.4 hawamudu lugha ya kingereza (waliomba wachunguzi wetu wabadili lugha na kutumia kiswahili wakati wa chats)-Hivyo basi kuwa na uwezekano mkubwa kuwa hawakufika chuo kikuu.

Majadiliano (discussion)
Hii nakuachia wewe mwana JF

Hitimisho;
Asilimia 84 ya wasichana wa Kitanzania walio kwenye mitandao ya kijamii ya badoo, tinder na hitwe wanajiuza kimwili, na kati ya hao asilimia 67 hawajafika elimu ya chuo kikuu (Pamoja na 'profiles' zao kuonyesha kuwa ni wahitimu au wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali nchini).

Mengineyo
Utafiti huu pia uligundua vitu vingine ambavyo havikwepo kwenye malengo ya awali ya utafiti kama vile:
1.Kati ya wasichana 92 ambao walikidhi vigezo vya kujiuza kwa kadri ya utafiti huu, 81 (asilimia 88) walikubali kuwa wanatoa huduma ya ngono kinyume cha maumbile walipoulizwa na wachunguzi wetu iwapo wanatoa huduma hiyo.
2.Bei ya wastani kwa wasichana wanaojiuza kwa kadri ya makubaliano na wachunguzi wetu ilikua kati ya shilingi 20,000-100,000 kwa usiku mmoja. (Wengine walikua wanatoa bei kwa bao na sio kwa usiku).
3.Kuna uwezekano mkubwa kuwa kuna wanaojiuza ambao eidha bado wako chini ya uangalizi wa wazazi/walezi au labda hata wake za watu? Kwa sababu kulikua na idadi ya kutosha ya mabinti ambao walisema kuwa wao hawawezi kutoa huduma ya kulala usiku mzima, lakini wanaweza kutoa game mida ya kuanza asubuhi had I jioni (Hili ni eneo lingine LA utafiti kubaini hawa wanaojiuza mitandao ni ni kina nani hasa? He, wapo Poa watoto wetu tunoishi nao majumbani? pengine na wake za watu?). Wazazi na walezi tuwe makini sana kujua nyendo za watoto wetu tunaoishi nao.

Mapungufu ya utafiti huu (limitations)
1.Kuna uwezekano wa kuwepo 'profiles' ambazo zina majina na picha za mabinti, ila ni za wanaume, hasa kwa wale ambao walikataa makubaliano ya kufika eneo LA ahadi kukutana na mchunguzi wetu bila kutumiwa nauli-Utafiti huu haukuweza kueliminate hili kwa asilimia 100.
2.Kuna uwezekano pia ya baadhi ya mabinti ambao wanajua kingereza lakini hawakufika chuo kikuu (au kinyume chake pia), hivyo kwa lengo namba mbili LA kubaini level ya elimu kwa kigezo cha kingereza inawezekana kutoa matokeo ambayo si uhalisia. Ila utafiti huu uwezo wake umeishia hapa.

Naomba kuwasilisha.
Na kuna wanaokataa pia kutumia kingereza ili wasijulikane kuwa ni university graduates
 
Nilitamani ningekuwa nna fund ningeku sapoti research yako iende deep..

Mfano Makamu wa Rais Samia Suluhu amewahi kunukuliwa akikemea tabia ya wanafunzi wa vyuo kujiuza..
Hii ina maana ni tatizo very widespread..
Lakini je limefanyiwa research vya kutosha?

Je ni asilimia ngapi?
Wana matatizo ya uchumi kweli??

Au tamaa na malezi mabovu?
Au kuna tatizo la mfumo wa elimu?
Elimu haizingatii vigezo?Inajali biashara ya kuuza elimu? Wasioukuwa na uwezo mradi wanalipa Ada wanaingia?

Mfano mwaka 2000 kuja chini wadada waliokuwa wanajiuza club bilicanas na Joly club bei ilianzia elfu 30
Leo unaenda club wadada wanajiuza elfu 15 Hadi elfu 5..nini kimetokea?
Wauzaji wengi kuliko wanunuzi?
Uchumi mgumu??
Au mtandao ndo umeongeza wauzaji?
Kuna mengi mno ya kufanyiwa tafiti..

Unaweza kuta wazungu wanakuja kufanya PhD hapa na Sisi tumekaa na kubeza kila mtu akijaribu kufanya tafiti
 
Wanawake weng sana sahiv wamekua machangudoa kule telegram ndo wako nyomi balaa na dau kwa siku wanaingiza kwanzia 20,000+ sijui kama wataacha uchangu inaonekana hiyo biashara inawalipa sana
 
Kwa Tz wengi wanaitumia mitandao hiyo kama sehemu ya kutafutia Ngono na Pesa,

Tinder- Asilimia kubwa ya waliopo mtandao ule wanajielewa kwa maana shule imepita, huko kuna waliomaliza vyuo vikuu na elimu za juu pia,
Asilimia 50 ni wanaume waliooa wanatafuta Ngono na asilimia 20 ni wanawake walioolewa au kuchumbiwa wanatafuta Pesa, lakini kuna asilimia 30 ya wadada waliomaliza vyuo wapo tu nyumbani maisha bado hayajawanyookea na wanahitaji kuishi maisha ya kicelebrity hawa hawana longo longo salamu mbili anakupa bei yake, (i love open minded women),

Badoo na Hitwe- Huko ndio kama danguro sasa, yaan unajiokotea utakachobahatika nacho hewalaaa kikubwa pesa imetoka na ngono imefanyika, asilimia 90 ya watumiaji wa mitandao hiyo miwili kwa Tz wanauza na kununua,

Facebook- Huko kuna vitoto kuanzia miaka 18 hadi 23 vina mizinga balaaa, vyenyewe vijanja vinamaliza mambo kwa video calls na ndio wanaongoza kwa kula nauli, lol, lakini kuna wale walioshindwa kumaliza shule kwa sababu mbali mbali na vyenyewe vinatembea na Menu, ukimpa Hi anakushushia Menu yake ya bei lakini pia hawa wa Fb wengi ndio wamekimbilia Badoo na Hitwe,

Hi 5 na Tagged- kule kuna wadada na wamama na wababa na wakaka unakaribiana na Tinder kidooogo kwa staha, hauna vurugu sana kama Badoo, na wengi ni wadada wa mjini unakuta wanafanya kazi saluni, migahawani, hotelini, wameolewa, hawajiuzi kiviiile wanatendea haki maana ya Dating App/Site,

Tusibeze tafiti ni nzuri katika kujua nini kinaendelea katika jamii.
 
Vipi ulizingatia pia suala la umri wa washiriki?
 
ethically sidhani kama ni sawa ku recruit participants without their consent and second participants should be aware of the research information..and lastly we have a lot of things to research on,this is wastage of time and resources,sorry.
 
Hii unazungumzia Kwa watanzania?
Manake badoo inatumika dunia nzima
Badoo
Tinder
Twoo
Hitwe..zote ni dating site..

Kwa Tanzania hata telegram si mtandao wa wa kuuza uchi??Kuna kitu chochote telegram
Nje ya kuuza uchi Tz??

Mimi Hadi nikimuona mdada mtanzania ana account telegram inanipa maswali sana..
Wakati haipaswi kuwa hivyo

Yeah for sure Mkuu
 
Iliitakiwa uende ukawagonge hao wote ndio uje utoe ripoti mkuu,
 
Wanawake weng sana sahiv wamekua machangudoa kule telegram ndo wako nyomi balaa na dau kwa siku wanaingiza kwanzia 20,000+ sijui kama wataacha uchangu inaonekana hiyo biashara inawalipa sana
Ndo dunia. Binadamu wote tunapenda urahisi wa mambo.
 
Back
Top Bottom