Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Sijui niseme nini
But first ni hongera Kwa utafiti..

Labda niseme now hiyo biashara imeahamia telegram zaidi..
Halafu wanafunzi wa vyuo hawajiuzi waziwazi sana ingawa nao wapo..

Next time weka profile kama ya mzungu ushangae zaidi....

Huko telegram kama hujawahi kwenda basi ukienda hutaamini utakachoona
Sijui kwa Telegram atafanya utafiti gani maana kule kila kitu kipo uchi. Wanafunzi wa vyuo hawajiuzi kwenye magroup labda nimsaidie tu, hao mnaotumiwa sio wanafunzi wa vyuo, wao huwa wanadalaliana wao kwa wao sio kwa kupitia groups.
 
Kwenye tafiti za aina hii, moja ya Swali gumu kulijibu ni he wanafunzi wanaojiuza kwenye mitandao ni wahitimu/wanafunzi wa vyuo vikuu? Maana ni ngumu kuwa na vigezo ambavyo kwa asilimia 100 vitahakikisha kweli una exclude wasio wanachuo, unless uwaambie wakuonyeshe ID zao au vyeti (which does not make sense in this type of 'business' kuulizana vyeti)
 
Swali zuri sana ambalo lina address kitu kikubwa kwenye utafiti, bias...
Ni sawa lakini faida yako ilikua ni nini na ulipata malipo gani,nasema hivyo maana sisi wanaume wengi wa kiTanzania tumewazoea wanawake hawa wa hapa kwetu kua wako kimaslahi ya pesa maana bila hata utafiti wa mitandaoni,tulisha tafiti wenyewe mitaani..so wewe lengo lako nini? Au hiyo ni taasisi?na kama ni taasisi mnafanya hivyo ili nini?
 
Unafanya Utafiti Badoo? majibu yapo wazi na mtandao ndo kazi yake

ni Sawa na ukaulize Kimboka kama wale wadada wanajiuza,
 
Ni sawa lakini faida yako ilikua ni nini na ulipata malipo gani,nasema hivyo maana sisi wanaume wengi wa kiTanzania tumewazoea wanawake hawa wa hapa kwetu kua wako kimaslahi ya pesa maana bila hata utafiti wa mitandaoni,tulisha tafiti wenyewe mitaani..so wewe lengo lako nini? Au hiyo ni taasisi?na kama ni taasisi mnafanya hivyo ili nini?
Naomba nikujibu kwa ku copy na kupaste post # 44 ya bwana rolla
"Tafiti mara nyingi hazilengi kupata pesa. Bali to come to new truth/knowledge or contradict/prove/ assimilate new and old patterns of knowledge or facts or perspectives. Kazi kubwa ya research ni knowledge generation sio kupata pesa."
 
Sijui kwa Telegram atafanya utafiti gani maana kule kila kitu kipo uchi. Wanafunzi wa vyuo hawajiuzi kwenye magroup labda nimsaidie tu, hao mnaotumiwa sio wanafunzi wa vyuo, wao huwa wanadalaliana wao kwa wao sio kwa kupitia groups.
kuna groups za watoto wa chuo wanajiuza.
 
Kazi ipo!.
Kingine kuhusu tafiti
Nashauri ufanye utafiti wa madalali
Wapo madalali wanaosema kabisa Wana mabinti wa vyuo..ukitaka wanakutumia picha unachagua wanakuletea labda hili litathibitisha ukweli au uzushi
 
Sijui kwa Telegram atafanya utafiti gani maana kule kila kitu kipo uchi. Wanafunzi wa vyuo hawajiuzi kwenye magroup labda nimsaidie tu, hao mnaotumiwa sio wanafunzi wa vyuo, wao huwa wanadalaliana wao kwa wao sio kwa kupitia groups.
Wanajiuza kwa kugawa namba ovyo popote pale wakiobwa namba wanatoa halafu wakiitwa hawakatai sasa akiitwa labda na watu 6 siku tofauti anachuja anabaki na wenye uwezo wa kumuhonga...
 
Kama hutojali..ongeza na hili..

Wanaojiuza ni kweli wanatoka familia zenye Hali ngumu??Au ni kama lifestyle?
Wapo wake za watu?Wachumba?
Wanaojiuza kwenye mitandao na wanajiuza mitaani pia?Au mitaani wanafanya shughuli zingine?Wanazuga??..

Je kujiuza kumewawezesha kitu gani?
Hii ni interesting sana mkuu.

Kuna pattern pia tulii observe inayihusiana na hilo. Kuna a significant namba ya mabinti ambao wao walipoulizwa kama wanaweza kutoa huduma ya kulala usiku mzima, walisema wao hiyo hawawezi, lakini walikua tayari kukutana na wachunguzi wetu wakati wa mchana na kutoa huduma ya miili hao hadi mida ya jioni jioni, ila sio kulala!!

Tukajiuliza kuwa inawezekana kabisa labda hawa ni mabinti ambao wanaishi na wazazi/walezi wao, au pengine hata wake/wachumba wa watu?

Kwa kweli ni area inayohitaji tafiti zaidi ili kuna na majibu. The Boss
 
Wanajiuza kwa kugawa namba ovyo popote pale wakiobwa namba wanatoa halafu wakiitwa hawakatai sasa akiitwa labda na watu 6 siku tofauti anachuja anabaki na wenye uwezo wa kumuhonga...
Hii ndio style yao. Hapo ujiandae na vibomu vya kuanzia 50bucks
 
Kama hutojali..ongeza na hili..

Wanaojiuza ni kweli wanatoka familia zenye Hali ngumu??Au ni kama lifestyle?
Wapo wake za watu?Wachumba?
Wanaojiuza kwenye mitandao na wanajiuza mitaani pia?Au mitaani wanafanya shughuli zingine?Wanazuga??..

Je kujiuza kumewawezesha kitu gani?
Hii itakuwa research ngumu kufanya....maana unatakiwa uyashuhudie maisha yao nje na umalaya.
 
Back
Top Bottom