Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Sijui niseme nini

But first ni hongera Kwa utafiti.

Labda niseme now hiyo biashara imeahamia Telegram zaidi.

Halafu wanafunzi wa vyuo hawajiuzi waziwazi sana ingawa nao wapo.

Next time weka profile kama ya mzungu ushangae zaidi.

Huko Telegram kama hujawahi kwenda basi ukienda hutaamini utakachoona
Haaaaa Boss
 
Mambo yapo telegram aisee kule Yan unapiga video call unakuta mtu yupo uchi kiukweli maadili yanamomonyoka kwa kasi sana.

Cha ajabu picha zinajidownload na zinajisave kwenye simu aisee nlikuja kustuka uzuri watoto sidhan Kama walipekuwa sehemu ya picha

Ukweli n kwamba watoto wadogo wameingia kwenye maisha maraisi sana. Kwaleo Ila kesho yake Ni mazito mno muhimu kuomba MUNGU tuu.
Mmmhhh
 
Telegram mwisho aisee kama unavyoona mnada wa nguo na huko ni hivyo hivyo
Sijui niseme nini

But first ni hongera Kwa utafiti.

Labda niseme now hiyo biashara imeahamia Telegram zaidi.

Halafu wanafunzi wa vyuo hawajiuzi waziwazi sana ingawa nao wapo.

Next time weka profile kama ya mzungu ushangae zaidi.

Huko Telegram kama hujawahi kwenda basi ukienda hutaamini utakachoona
 
Mambo yapo telegram aisee kule Yan unapiga video call unakuta mtu yupo uchi kiukweli maadili yanamomonyoka kwa kasi sana.

Cha ajabu picha zinajidownload na zinajisave kwenye simu aisee nlikuja kustuka uzuri watoto sidhan Kama walipekuwa sehemu ya picha

Ukweli n kwamba watoto wadogo wameingia kwenye maisha maraisi sana. Kwaleo Ila kesho yake Ni mazito mno muhimu kuomba MUNGU tuu.
Inasikitisha mno. Tunatokaje kwenye hilo shimo?
 
Telegram mwisho aisee kama unavyoona mnada wa nguo na huko ni hivyo hivyo
Hivi imekuaje Telegram wabongo tumeigeuza imekua hivi? Maana bora hata hizi zingine ni dating sites.
Telegram? Daahhh!!
 
Wakuu salama?

Kuanzia mwezi Septemba mwaka huu, niliongoza utafiti usio rasmi juu ya madai ya mabinti wa Kitanzania kujiuza kwenye mitandao ya kijamii ya Badoo, Tinder na Hitwe.

Maswali ya utafiti (Research questions):
1. Je, ni kweli kuwa mabinti wa Kitanzania walio katika mitandao ya Badoo, Tinder na Hitwe wanajiuza kimwili?

2. Je, mabinti wa Kitanzania wanaojiuza kimwili (kama wapo kulingana na majibu ya swali la kwanza hapo juu) katika mitandao ya badoo, tinder na hitwe ni wahitimu wa vyuo vikuu?

Malengo ya utafiti (objectives)
1. Kufahamu kama mabinti wa Kitanzania walio katika mitandao ya Badoo, Tinder na hitwe wanafanya biashara ya kuuza miili yao kwa matumizi ya ngono.

2. Kufahamu kama mabinti wa Kitanzania wanaojiuza katika mitandao ya badoo, Tinder na Hitwe (kama wapo) ni wahitimu wa vyuo vikuu?

Njia iliyotumika (Methodology)
Jumla ya Profiles 120 zenye majina na picha za mabinti kutoka mitandao ya badoo (40), tinder (40) na hitwe (40) walitumiwa meseji na mmoja wa wachunguzi wetu ambae alitengeneza 'profile' za kiume kwenye mitandao hiyo

Meseji ya kwanza ilikua ni "Hi mrembo!". Baada ya meseji hii kujibiwa na mhusika, maongezi yalikua yakiendelea kwa mchunguzi wetu kumwambia kuwa, " I wanna have some fun with you, how much will it cost me?"

"Profiles" zilikua zinachaguliwa "randomly" ambapo wachunguzi wetu walikua wanaongozwa na formula ambayo imesetiwa kabla ya kuanza zoezi kuchagua profiles za kuzitumia meseji in a random fashion.

Hitimisho la maongezi haya ni kwa mchunguzi wetu kufikia makubaliano na mhusika, na binti kutoa namba ya simu kwa mawasiliano zaidi ya namna ya kukutana. Kwa utafiti huu, binti kukubaliana BEI, muda na sehemu ya kukutana na mchunguzi wetu PAMOJA NA binti kutoa namba ya simu (ni lazima vitu hivi VYOTE vitimie), kulihesabika kama 'confirmatory test' ya binti kujiuza.

Kwa upande wa lengo la pili la utafiti huu kubaini kama wasichana wa Kitanzania wanaojiuza kwenye mitandao ya kijamii (kama wapo) ni wahitimu wa vyuo vikuu, kigezo kilichotumika ni ufahamu wa lugha ya kingereza kwa binti husika kwa kadri ya "chats" za mhusika na mchunguzi wetu (hii ina limitations zake, lakini ndio ilionekana kuwa ni njia ya haraka zaidi kubaini hilo kwa vigezo vya tafiti hii kwani inategemewa kuwa mhitimu wa chuo kikuu wa Kitanzania angalau aweze kumudu kingereza cha kuandika kwani ndio lugha ya kufundishia nchini kuanzia sekondari hadi chuo kikuu)

Matokeo (Results)
Kati ya meseji 120 zilizotumwa na wachunguzi wetu, meseji 109 zilipata majibu, na meseji 11 hazikujibiwa kabisa hadi mwisho wa utafiti. Meseji zilizojibiwa kwa kadri ya mitandao wa kijamii ni kama ifuatavyo; badoo (35), tinder (37) na hitwe (37).

Kati ya meseji 109 zilizojibiwa, iligundulika kuwa wasichana wa Kitanzania 92 (ambayo ni sawa na asilimia 84.4), WANAJIUZA kwani walikubaliana na mchunguzi wetu sehemu, simu na muda wa kukutana, pamoja na kutoa namba ya simu kwa mchunguzi wetu kwa mawasiliano zaidi.

Kati ya hao waliokubali, wasichana 74 (asilimia 80.4 ya waliokubali), walikua tayari kufika eneo la miadi kwa gharama zao, kwa ahadi ya kurejeshewa gharama hiyo na mchunguzi wetu.

Pia, kati ya wasichana 92 ambao walikidhi vigezo vya KUJIUZA kwa kadri ya utafiti huu, iligundulika kuwa 62, ambayo ni sawa na asilimia 67.4 hawamudu lugha ya kingereza (waliomba wachunguzi wetu wabadili lugha na kutumia kiswahili wakati wa chats)-Hivyo basi kuwa na uwezekano mkubwa kuwa hawakufika chuo kikuu.

Majadiliano (discussion)
Hii nakuachia wewe mwana JF

Hitimisho:
Asilimia 84 ya wasichana wa Kitanzania walio kwenye mitandao ya kijamii ya Badoo, Tinder na Hitwe wanajiuza kimwili, na kati ya hao asilimia 67 hawajafika elimu ya chuo kikuu (Pamoja na 'profiles' zao kuonyesha kuwa ni wahitimu au wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali nchini).

Mengineyo
Utafiti huu pia uligundua vitu vingine ambavyo havikwepo kwenye malengo ya awali ya utafiti kama vile:

1. Kati ya wasichana 92 ambao walikidhi vigezo vya kujiuza kwa kadri ya utafiti huu, 81 (asilimia 88) walikubali kuwa wanatoa huduma ya ngono kinyume cha maumbile walipoulizwa na wachunguzi wetu iwapo wanatoa huduma hiyo.

2. Bei ya wastani kwa wasichana wanaojiuza kwa kadri ya makubaliano na wachunguzi wetu ilikua kati ya shilingi 20,000-100,000 kwa usiku mmoja. (Wengine walikua wanatoa bei kwa bao na sio kwa usiku).

3. Kuna uwezekano mkubwa kuwa kuna wanaojiuza ambao eidha bado wako chini ya uangalizi wa wazazi/walezi au labda hata wake za watu? Kwa sababu kulikua na idadi ya kutosha ya mabinti ambao walisema kuwa wao hawawezi kutoa huduma ya kulala usiku mzima, lakini wanaweza kutoa game mida ya kuanza asubuhi hadi jioni (Hili ni eneo lingine la utafiti kubaini hawa wanaojiuza mitandao ni ni kina nani hasa?)

Je, wapo pia watoto wetu tunaoishi nao majumbani wanafanya hii biashara? pengine na wake za watu? Wazazi na walezi tuwe makini sana kujua nyendo za watoto wetu tunaoishi nao.

Mapungufu ya utafiti huu (limitations)
1. Kuna uwezekano wa kuwepo 'profiles' ambazo zina majina na picha za mabinti, ila ni za wanaume, hasa kwa wale ambao walikataa makubaliano ya kufika eneo la ahadi kukutana na mchunguzi wetu bila kutumiwa nauli-Utafiti huu haukuweza kueliminate hili kwa asilimia 100.

2. Kuna uwezekano pia ya baadhi ya mabinti ambao wanajua kingereza lakini hawakufika chuo kikuu (au kinyume chake pia), hivyo kwa lengo namba mbili la kubaini level ya elimu kwa kigezo cha kingereza inawezekana kutoa matokeo ambayo si uhalisia. Ila utafiti huu uwezo wake umeishia hapa.

Naomba kuwasilisha.
Tafiti kama ni tafiti ambazo hazina afya kitaifa,. Swala la uchangudoarism ni issue common world wide, na uchangudoarism kwa kitumia socio network ni style ya sasa wanayotumia wanaofanya iyo biashara.
Haya ni maoni yangu wala usijengw chuki
 
Mzee huko noma sana..nilikua kwenye magroup kama 5 nikaleft mwenyewe maana nikaanza kua mzembe Mbunye zinapigiwa mnada mpaka kinyeo.
Hivi imekuaje Telegram wabongo tumeigeuza imekuaje hivi? Maana bora hata hizi zingine ni daring sites. Telegram? Daahhh!!
 
Tafiti kama ni tafiti ambazo hazina afya kitaifa,. Swala la uchangudoarism ni issue common world wide, na uchangudoarism kwa kitumia socio network ni style ya sasa wanayotumia wanaofanya iyo biashara.
Haya ni maoni yangu wala usijengw chuki
Ahsante kwa maoni yako mkuu, sahau suala LA mimi kujenga chuki kwa sababu ya maoni yako.
Ni kweli kabisa uchangudoarism ni common mno, in fact hii biashara imekwepo tangu enzi na enzi; na ni kweli kuwa style sasa imekua kutumia social network. Ila bado pia hiyo haiondoi umuhimu wa kufanya tafiti kuweza kuelewa patterns na trends za hii biashara nchini kwetu, kina nani wanafanya? Inafanyikaje? To what extent inafanyika? Hakuna ubaya wa kufanya tafiti juu ya maswali haya kuhusu hii biashara na kuja na data ambazo zinaweza kusaidia kwa namna moja au nyingine kuweza kuokoa mabinti zetu kutojiingiza huku pale inapowezekana kufanya hivyo. Au pia inaweza kuwa hatua ya kwanza katika kuja na mikakati kuwasaidia mabinti walioko huko na wanataka kutoka.
You can never underestimate the importance of research in any social issue.
 
Telegram ni site yenye security na privancy na kutosha TCRA wenyew hawawez kupata data za mteja ovyo ovyo ndo maan inatumika Sana na Malaya walioanzisha kw east Africa ni Kenya na wabong wakaona Kumbe inafaa

Pia group la telegram Lina accommodate wt weng hata laki hko kwahy wanapata wteja wa kutosha
Pia namb ndani group mnaweza msifahamiane kwahy Malay watatum picha zako afu mteja anamchek biashara inaisha hii ndo imefanya telegram ktumi sana na Malaya kwa Tz
Likn wengin wengin kwaajila ya movie tu
Hivi imekuaje Telegram wabongo tumeigeuza imekua hivi? Maana bora hata hizi zingine ni daring sites. Telegram? Daahhh!!
 
Telegram ni site yenye security na privancy na kutosha TCRA wenyew hawawez kupata data za mteja ovyo ovyo ndo maan inatumika Sana na Malaya walioanzisha kw east Africa ni Kenya na wabong wakaona Kumbe inafaa

Pia group la telegram Lina accommodate wt weng hata laki hko kwahy wanapata wteja wa kutosha
Pia namb ndani group mnaweza msifahamiane kwahy Malay watatum picha zako afu mteja anamchek biashara inaisha hii ndo imefanya telegram ktumi sana na Malaya kwa Tz
Likn wengin wengin kwaajila ya movie tu
Ahsante sana mkuu for these useful insights!
 
Inasikitisha mno. Tunatokaje kwenye hilo shimo?
Kiukweli kule telegram mie naona wakifanya Kama Twitter ilivyofanywa mie naona Ni sawa au telegram wenyewe wachukue majukumu Kama alivyofanya Google au YouTube yan kuondoa content zote zinazuhusu utupu na ngono vinginevyo mpaka December ijayo hata simu za kitochi Yan simu ndogo kabisa itakuwa inatumia 4G internet Sasa hapo kwa watoto wetu nahuko mashuleni na mitaani hakuna atakaepona.

Telegram nimeijua wiki mbili zilizopita Ila nimeikimbia Leo siku ya tatu hata sitaki kuijua tena
 
Ahsante kwa maoni yako mkuu, sahau suala LA mimi kujenga chuki kwa sababu ya maoni yako.
Ni kweli kabisa uchangudoarism ni common mno, in fact hii biashara imekwepo tangu enzi na enzi; na ni kweli kuwa style sasa imekua kutumia social network. Ila bado pia hiyo haiondoi umuhimu wa kufanya tafiti kuweza kuelewa patterns na trends za hii biashara nchini kwetu, kina nani wanafanya? Inafanyikaje?

Haya Doktari
 
Back
Top Bottom