Matukio ambayo nikikumbuka namshukuru Mungu naendelea kua hai mpaka sasa

Matukio ambayo nikikumbuka namshukuru Mungu naendelea kua hai mpaka sasa

Kuna story za shule na mi sala yake ukiandika lazima washkaji watakujua humu. I think kwa sisi wengine ambao kwakweli hatutaki kujulikana ni bora kukausha tu kwa sasa.
 
Kuna visa vya maji.
Visa vya wali.
Kuua mifugo makusudi kwa wale wa special duties.
Kuuza nyama jikoni dili unakula na wapishi.
Wizi ktk Duka la shule.
Kwenda kugonga kengele ya dharura usiku saa nane kisha kukimbia kujificha na kujifanya umelala fofofo yaani ktk msako Wala hawakuwazii maana ijumaa unaongoza pambio k joint mass hahaaaaa
Fun all days.
 
Back
Top Bottom