Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Your browser is not able to display this video.
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Freeman Mbowe akisaini kitabu katika ofisi yake aliyokuwa akiitumia kuwahudumia wananchi wa Jimbo la Hai akiwa mbunge wa jimbo hilo.
Code:
Chanzo:
https://twitter.com/ChademaTz/status/1505127335019917312
Your browser is not able to display this video.
"Kukamatwa kwangu kulikuwa kilele cha Uonevu" - Freeman Mbowe
===
"Mwenyekiti Mhe Freeman Mbowe akiteta jambo na mwenyekiti wa wilaya ya Moshi Mjini Raymond Mboya muda mfupi baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Mwenyekiti leo Machi 19, 2022 anaelekea nyumbani kwake wilaya ya Hai, tangu kufutiwa mashtaka ya Ugaidi."
Your browser is not able to display this video.
"nimetoka gerezani kwa sababu imethibitika sala za binadamu kwa Mungu zina nguvu kuliko majeshi ya Polisi." - Mh. Freeman Mbowe
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
===
Day2: LIVE: MHE FREEMAN MBOWE AKIWA KWENYE IBADA YA SHUKRANI KATIKA KANISA LA KKKT NSHARA
Post #242: Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022
===