Matukio kwenye Picha: BAWACHA waache sifa sasa, hii sio Sawa!

Matukio kwenye Picha: BAWACHA waache sifa sasa, hii sio Sawa!

Watasikia Sasa??
Tusiposikia tutalazimishwa kusikia tu, yaani huku kwetu mpaka matrekta na powertiller zinasomba binadamu kwenda mikutanoni, tukifika huko hakuna cha maana zaidi ya kunyweshwa pome za kienyeji na kusikilizishwa miziki tu.
 
Back
Top Bottom