Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Hapo ccm wanachanganyikiwa. Muda si mrefu wataanza kutumia nguvu ya polisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kuna watoto moto sana!Mungu ibariki BAWACHA
Wale wenzetu wanywa gongo sura zimepinda balaaKwa kweli kwa hivyo vijora wametokelezea 😆😆
Hali ilivyokuwa ukumbini live Dodoma, BAWACHA wametisha, wanapenda baraza lao la wanawake CHADEMA
View: https://m.youtube.com/watch?v=DfRnC2xV1yU
Jikite kwenye madaNaona kuna watoto moto sana!
Mkuu wewe ni yupi kati ya hao?
Bawacha ni warembo bana asikwambie mtu.
HapanaMwenye number za moza ally anipe
Hapo ccm wanachanganyikiwa. Muda si mrefu wataanza kutumia nguvu ya polisi
yani ni pisi tupu.🤸🤸🤸
Sijui macho yangu, sijamuona hata member m1 wa COVID 19.Sijapenda kabisa, kuna umuhimu Sana WA BARAZA La WANAWAKE WA CHADEMA kupewa HESHIMA KUBWA. Nimefuatilia nikajulishwa kuwa lile kusanyiko kubwa namna Ile kwa asilimia karibia 75% ni majitoleo ya Wanawake wenyewe. Hakika nimesawajika, nimeumia na chozi la furaha limenitoka. Hongereni Sana Sana.
Huko kwa Jirani sijui hata kulikuaje, nasikia walilipwa Hadi posho ila wakagoma kuendelea kufedheheka.
View attachment 2929138View attachment 2929139View attachment 2929140View attachment 2929141View attachment 2929143View attachment 2929144View attachment 2929142
Mwenye dhambi huna AmaniSijui macho yangu, sijamuona hata member m1 wa COVID 19.
Bawacha acheni Sifa ujue Mzee MDEE anawaonea dongeSijapenda kabisa, kuna umuhimu Sana WA BARAZA La WANAWAKE WA CHADEMA kupewa HESHIMA KUBWA. Nimefuatilia nikajulishwa kuwa lile kusanyiko kubwa namna Ile kwa asilimia karibia 75% ni majitoleo ya Wanawake wenyewe. Hakika nimesawajika, nimeumia na chozi la furaha limenitoka. Hongereni Sana Sana.
Huko kwa Jirani sijui hata kulikuaje, nasikia walilipwa Hadi posho ila wakagoma kuendelea kufedheheka.
View attachment 2929138View attachment 2929139View attachment 2929140View attachment 2929141View attachment 2929143View attachment 2929144View attachment 2929142
Atawabariki kwenye kufanya makongamano lakini sio kuingia Ikulu. Huko tunaye Mwana UWT, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN hadi 2030!Mungu ibariki BAWACHA
Usimpangie MUNGUAtawabariki kwenye kufanya makongamano lakini sio kuingia Ikulu. Huko tunaye Mwana UWT, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN hadi 2030!
Ahahahahaha!!!Usimpangie MUNGU