Matukio kwenye Picha: BAWACHA waache sifa sasa, hii sio Sawa!

Sijapenda kabisa, kuna umuhimu Sana WA BARAZA La WANAWAKE WA CHADEMA kupewa HESHIMA KUBWA. Nimefuatilia nikajulishwa kuwa lile kusanyiko kubwa namna Ile kwa asilimia karibia 75% ni majitoleo ya Wanawake wenyewe. Hakika nimesawajika, nimeumia na chozi la furaha limenitoka. Hongereni Sana Sana.

Huko kwa Jirani sijui hata kulikuaje, nasikia walilipwa Hadi posho ila wakagoma kuendelea kufedheheka.

View attachment 2929138View attachment 2929139View attachment 2929140View attachment 2929141View attachment 2929143View attachment 2929144View attachment 2929142
Washaingia ikulu hakuna tena uchaguzi!
 
Hivi Hawa wote mbowe si kishapitia kweli. Kama wema tu alijiunga wiki moja tu akapitiwa sembuse hawa
 
Sijapenda kabisa, kuna umuhimu Sana WA BARAZA La WANAWAKE WA CHADEMA kupewa HESHIMA KUBWA. Nimefuatilia nikajulishwa kuwa lile kusanyiko kubwa namna Ile kwa asilimia karibia 75% ni majitoleo ya Wanawake wenyewe. Hakika nimesawajika, nimeumia na chozi la furaha limenitoka. Hongereni Sana Sana.

Huko kwa Jirani sijui hata kulikuaje, nasikia walilipwa Hadi posho ila wakagoma kuendelea kufedheheka.

View attachment 2929138View attachment 2929139View attachment 2929140View attachment 2929141View attachment 2929143View attachment 2929144View attachment 2929142
Hiki Chama kwakweli hapana. Hizi sasa ni sifa
 
Hii kweli sio Sawa
 
Waooo BAWACHAAAAA!!!!
 
Halima alitumia nguvu kubwa kuijenga Bawacha atubu arudi CDM ili mradi atafakari km kweli kosa ni lake amwogope Mungu asife na dhambi sisi hatujui saa wala dakika. Tubu rudi uendelee kujenga Bawacha yako ona inavyonawili hii ni Taasisi.
 
Masikini! Wote hawa walinyimwa haki yao ya kushiriki siasa kwenye nchi yao japo katiba inawaruhusu! Kweli CCM si riziki.
 
Kwa hili la kusombana kwenye malori kama mbuzi, chama changu (CCM) tunafeli sana. Inabidi sasa tubadili mbinu, kwa hii dunia ya utandawazi ni aibu kabisa, miaka ile ya 90 hadi 2000 mwanzoni mitandao haikuwa katika level hii, wacha tutafute mbinu mbadala.
Watasikia Sasa??
 
Halima alitumia nguvu kubwa kuijenga Bawacha atubu arudi CDM ili mradi atafakari km kweli kosa ni lake amwogope Mungu asife na dhambi sisi hatujui saa wala dakika. Tubu rudi uendelee kujenga Bawacha yako ona inavyonawili hii ni Taasisi.
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom