Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #61
Acha wivuMikorogo na ma make up tuu hiyo kama ya gigi money , Kila kitu ni fake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wivuMikorogo na ma make up tuu hiyo kama ya gigi money , Kila kitu ni fake
Huku kumejaa brains, hayo mashangazi yako UWT, ma-single Mazaah kuna mishangazi ya kuruka nayo huko
CCM Ndio Tumaini la watanzania katika kuwainua kiuchumi
Amen AmenLucas mwashambwa watanganyika tumebubujikwa na machozi ya furaha hakika tunaiona ile siku njema inakuja kwa pamoja tutasema kwa heri mkoloni mweusi.
Mungu ibariki BAWACHA
You hiyo 25% walosalia ndo walilipwa peke yao!Sijapenda kabisa, kuna umuhimu Sana WA BARAZA La WANAWAKE WA CHADEMA kupewa HESHIMA KUBWA. Nimefuatilia nikajulishwa kuwa lile kusanyiko kubwa namna Ile kwa asilimia karibia 75% ni majitoleo ya Wanawake wenyewe. Hakika nimesawajika, nimeumia na chozi la furaha limenitoka. Hongereni Sana Sana.
Huko kwa Jirani sijui hata kulikuaje, nasikia walilipwa Hadi posho ila wakagoma kuendelea kufedheheka.
View attachment 2929138View attachment 2929139View attachment 2929140View attachment 2929141View attachment 2929143View attachment 2929144View attachment 2929142
Acha kuandika kwa nanihiii, soma kwa utulivuYou hiyo 25% walosalia ndo walilipwa peke yao!
Na kwa nn walipwe?
Naam Naam, hawa wamama hawana shughuli ndogo. Haya mavazi wameshona kwa gharama zao.Maana halisi ya mzuri mwenye akili inaonekana hapo.
Bawacha they are bestWaooo BAWACHAAAAA!!!!
Hahahaaa😂😂😂
Tamka neno" Tusununu"
Zile enzi za zamani za watemi, anachukua wote hao anawaoa yeye kudadek! 😆😆😆Bawacha kuna warembo hatari
Hapo Uswatini tu hadi leo angebeba.Zile enzi za zamani za watemi, anachukua wote hao anawaoa yeye kudadek! 😆😆😆
Kwa kweli kwa hivyo vijora wametokelezea 😆😆Chadema kwa Pamba Kali nawakubali Sana tofauti na Mbogamboga Queens 😂😂🔥