Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Mar 10, 2024 Thread starter #121 Oneya said: Utashi vs kuwajaza wasanii ....Hiyo ndiyo Chadema ya hiari tofauti na CCM ya fedha. Click to expand... Amen
Oneya said: Utashi vs kuwajaza wasanii ....Hiyo ndiyo Chadema ya hiari tofauti na CCM ya fedha. Click to expand... Amen
Mtumishi wa Bwana89 JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,191 Reaction score 4,220 Mar 10, 2024 #122 Haya ndio mambo ambayo hakupenda kuyaona jiwe. Gooooo Bawacha, tuko nyuma yenu.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Mar 10, 2024 Thread starter #123 Mtumishi wa Bwana89 said: Haya ndio mambo ambayo hakupenda kuyaona jiwe. Gooooo Bawacha, tuko nyuma yenu. Click to expand... Aliamini anaiua CHADEMA kumbe ndio anaipalilia na kulipa ujasiri
Mtumishi wa Bwana89 said: Haya ndio mambo ambayo hakupenda kuyaona jiwe. Gooooo Bawacha, tuko nyuma yenu. Click to expand... Aliamini anaiua CHADEMA kumbe ndio anaipalilia na kulipa ujasiri
mongoli JF-Expert Member Joined Feb 25, 2024 Posts 734 Reaction score 1,732 Mar 10, 2024 #124 ni watu makini sana mzee
F FOCAL JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 3,513 Reaction score 5,035 Mar 10, 2024 #125 Elli said: Watasikia Sasa?? Click to expand... Tusiposikia tutalazimishwa kusikia tu, yaani huku kwetu mpaka matrekta na powertiller zinasomba binadamu kwenda mikutanoni, tukifika huko hakuna cha maana zaidi ya kunyweshwa pome za kienyeji na kusikilizishwa miziki tu.
Elli said: Watasikia Sasa?? Click to expand... Tusiposikia tutalazimishwa kusikia tu, yaani huku kwetu mpaka matrekta na powertiller zinasomba binadamu kwenda mikutanoni, tukifika huko hakuna cha maana zaidi ya kunyweshwa pome za kienyeji na kusikilizishwa miziki tu.