Matukio mawili yaliyoniacha na tafakuri kubwa

Wanafanya mambo mengi sana yakiwemo maamuzi magumu yenye kugusa maslahi ya mataifa makubwa.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064] Mh..mmh..mmh....!!!
Hawa hawako madarakani Philipo hawa ni wastaafu tena wa kitambo ndugu yangu...!!!!
 
Wanafanya mambo mengi sana yakiwemo maamuzi magumu yenye kugusa maslahi ya mataifa makubwa.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064] Mh..mmh..mmh....!!!
Hawa hawako madarakani Philipo hawa ni wastaafu tena wa kitambo ndugu yangu...!!!!
Mzee Kikwete alikuwa akipewa special assignments na Hayati JPM mara nyingi tu. Pia Mama ataendelea kumtumia katika awamu yake tatizo la sasa ni uviko19, vinginevyo Mzee wa Chalinze angekuwa anaendelea kufunga mikanda ndani ya ndege akitabasamu kwa wale wahudumu wenye sura laini laini.

Mwinyi amekuwa mtu mzima sana, miaka 96 ni mingi sana, vinginevyo hata yeye angekuwa anapewa majukumu fulani ya kumsaidia Rais Samia.

Rais anabakia na heshima yake ile ile hata baada ya kustaafu hivyo muda wowote anaweza kutumiwa kwa faida ya taifa lake.
 
Mkuu angalia zawadi aliyopewa Nyerere na hizi zinazotolewa kwa sasa. Je huko mbeleni akitokea Dictator itakuaje? Rais anaemaliza muda wake anaweza kuhakikisha anaepokea Kijiti ni Swaiba wake. Sasa Si anaweza kugawa Mbuga ya Serengeti au Mgodi Tanzanite Mirerani kama zawadi ya kumuenzi Mtangulizi wake??
 
Mkuu umekwenda mbali sana na sidhani kama tunaweza kufika huko.
 
Sijakataa wala sikubishii ... Wapo wastaafu wengi tu hutumika hata baada ya kustaafu lakini hawatumiki bure na wala hawafanyi hisani.. Hulipwa sawia na kazi husika

Ndio heshima yao iko palepale na hilo halina shida kabisa.. Ndio maana kupitia kodi zetu tunawatunza na kuwalea kwa kila kitu wao na familia zao

Mjadala wangu ulijikita kwenye bakshish nono (fat bonus) kwenye matukio binafsi ambapo hata hivyo nimesema wazi kuwa si lawama kwakuwa aliye nacho huongezewa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseee!
Kwahiyo mzee amekataa gari??
Ila watz[emoji23][emoji23][emoji119]
 
Kama nna kumbukumbu nzuri mr mshana pia jpm alisha watunuku nyumba kule masaki sasa sijajua hiz ni nyingine au zile zile??
 
Kumpa mzee ruksa "zawadi" ya Benzi siku ambayo anazindua kitabu kinachoeleza kwa nini alipindua azimio la arusha ni kumsimanga mzee wetu.

Mambo ya kupeana zawadi mali ya umma enzi za azimio la arusha ilikuwa ni mwiko, na ingekuwa sababu ya kukufanya upate shida sana wewe mtoaji na mpokeaji!
 
Turudi nyuma tuseme ukweli watu weusi tuna akili chafu sana
 
Kama nna kumbukumbu nzuri mr mshana pia jpm alisha watunuku nyumba kule masaki sasa sijajua hiz ni nyingine au zile zile??
Ni mwendo wa kupeana tuu...na shida iko kwenye katiba..ndio maana hawataki kabisa kusikia kuhusu katiba mpya
 
Aliye nacho huongezewa hii ni kanuni ya kiasili ya maisha hivyo hakuna haja ya kulalama huku maisha yakikupita mbio..Viongozi wanaitendea haki asili.. Wananchi wawe wapole tuu... Its a game of fierce fight.. Survival of the fittest...!

Kweli jpm alikua raisi wa wanyonge, sasa hivi tunaona maraisi wakipeana mema ya nchi huku maskin hata mia ya kula hawana, magufuli upumzike kwa amani, ulikua dictator ila uliwakumbuka maskini
 
Mwinyi alishapokea jumba Lake

Jumba la Mwinyi ni nzuri mara 100 ya kikwete

Mwinyi alikabidhiwa nyumba na JPM

Ya kikwete ilikuwa haijaisha na JPM aliwawakia wajenzi kuwa iishe mapema
 
Mwinyi alishapokea jumba Lake

Jumba la Mwinyi ni nzuri mara 100 ya kikwete

Mwinyi alikabidhiwa nyumba na JPM

Ya kikwete ilikuwa haijaisha na JPM aliwawakia wajenzi kuwa iishe mapema
Kanuni ya asili aliyojitungia mwanadamu pengine inasema ALIYE NACHO HUONGEZEWA![emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827] wanaitendea haki hii kauli..!!! Lakini bila TAFAKURI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…