Matukio mawili yaliyoniacha na tafakuri kubwa


Nafikiri hakuna sababu ya kutoa list ndefu kama hiyo. Kuwa Rais halafu kukaa pembeni, wengine wakaongoza ni kitu cha kushukuriwa kwenye bara la Africa.
Gari na nyumba ni vitu vya kawaida mno. Kinachokusudiwa ni kujenga taswira ya kuheshimiwa hawa watu, hata kama watakaa nje ya madaraka.
Haitatokea wakaachwa sababu ni wagonjwa au wanashida nyingine. Ukweli ndio huo
 
"kwamba binadamu ni sawa lakini sio sawa sawa."[emoji23][emoji23]
 
Hakuna cha kuongeza hapo. mwenye masikio na asikie na mwenye ubongo aingize ubongo wake kazini
 
Acha upumbavu wewe
 
Mkuu Mzee RUKHSA nyumba yake yenye thamani ya shilingi bilioni 800 alishakabidhiwa na mwendazake mwaka jana.


 
Kuna kaliba inakula mema ya nchi mpaka kifo.. Wao na familia zao
 
Reactions: BAK
Mimi ningekua ndiyo SSH iyo zawadi ningeitoa tuu tena kwa moyo mweupee ili namm mikistaafu nijekupewa la kwangu[emoji41]
[emoji3064][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kinacholeta ukakasi katika gari aliyo'zawadiwa' Mzee Mwinyi ni kwamba serikali hairuhusiwi kutumia kodi za wananchi kutoa ZAWADI kwa watu bali wajibu wa serikali ni kutoa HAKI.
Nakumbuka Mwal. Baada ya kustaafu kwa kodi ya wananchi, alizawadiwa Trekta likiwa full equipped kwa vilimio na trela yake. alijengewa nyumba Mwitongo kwa design aliyotaka yeye ya mawe kuwa integrated bila kung'olewa bado hatukuona ni zawadi yenye kutosha.
 
Mzee hapa unatoa maji kisimani unapeleka baharini
 
Hawa watu ni matajiri wa kupindukia kabla hata ya kuwa ma-Rais maana walikuwa mawaziri, matumizi mabaya ya fedha za umma huku tuna hangaika na madawati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…