Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
- Thread starter
- #181
Hahaha......hapo demu mwenyewe alikuwa anakutaka, na kawaida ya sisi wanaume ni wachache sana wanaweza kuruka mtego wa mwanamkeHii tuliangukia kwenye ushikaji..
Nipo katika harakati zangu town, akaniambia nikikwama usafiri kurudi home, nitimbe kwake, ukizingatia nae anakaribia kusafiri, hatujaonana kitambo na akiondoka pia itachulua muda..
Nikamtimbia, stori nyingi, nikaoneshwa sehemu ya kulala, usiku mwingi akanitimbia.. mie nani sasa nikatae.. tukaruka majoka, ruka sana DEBE..
Kumekucha ni mwendo wa bby..
Katikati ya mchezo akasema fulani anaachana nae, mie moyoni nikasema shauri yako, mie napunguza protin mwilini..
Aisee tukamaliza game, ikapigwa nyingine, ikikuwa asubuhi nirudi mtaani, ikapigwa game nyingine kutahamaki nikaondoka jioni na mesho yake akaghairisha safari akaniita tena..
Mwishowe nikaja ipata ya chini chini kaachana na jamaa, namuuliza ananiambia kweli..
Mwishowe kitumbo kikajaa, nikaja jipatia mtoto...
Bora amekuzalia na mtoto kabisa, mmetengeneza bond