Matukio na Masimulizi ya Wazee wa Mwaka 47

Matukio na Masimulizi ya Wazee wa Mwaka 47

Umewahi kudhulumiwa Mkuu?

Mtu anaweza kukulia timing hata miaka 3 aje kukulipua
Toka 2023..wahusika hawashiki simu plus wako na majibu makali sana.
Bahati nzuri umri wao unasogea tofauti na wa kwangu.
Plan nilizo nazo wameanza kuziona mmoja kati yao ameshtuka.It's to late..
 
Kujiamini tu, halafu umbahatishe awe kwenye siku za ovulation, na akiwa hajaguswa siku kadhaa utashangaa mwenyewe, unapiga mali kali safi na iliyokuzidi kila kitu,
Hizi nafasi huwaga chache sana, ukifanikiwa kuipata na ukaweza kujituliza unaweza ionja pepo ukiwa hapahapa Duniani 😜
 
Pole sana, ulimshawishi kwa namna ipi ili asikuue?

Ukiwa na hasira na una silaha karibu, ukishindwa kujizuia ni suala la dakika chache kuua
Braza acha kabisa,nilipata ujasiri nikatulia kwa sekunde kadhaa kwa ujasiri nikamwambia niue tu kwanza nimechoka kuishi isitoshe Sina mtoto nitakayemuacha hasara kwa mama yangu!
Akatuliaaaa baadae akaniambia shuka!
Nikafungua mlango nikashuka nikaingia ndani!
Vile nilivyoingia ndani ndo hofu ikanijaa,nikaanza kutetemeka hata ndani sikulala nikaenda kulala kwa rafiki yangu wa kike!!
 
Toka 2023..wahusika hawashiki simu plus wako na majibu makali sana.
Bahati nzuri umri wao unasogea tofauti na wa kwangu.
Plan nilizo nazo wameanza kuziona mmoja kati yao ameshtuka.It's to late..
Kuna sehemu nilienda, nikakuta Dada mmoja anapiga nyanga kummaliza business partner wake

Nikasema hii Nchi usimwamini mtu, even mabinti nao wamekuwa mafia

Usikute unataka kutumia njia ya elimination mkuu
 
Braza acha kabisa,nilipata ujasiri nikatulia kwa sekunde kadhaa kwa ujasiri nikamwambia niue tu kwanza nimechoka kuishi isitoshe Sina mtoto nitakayemuacha hasara kwa mama yangu!
Akatuliaaaa baadae akaniambia shuka!
Nikafungua mlango nikashuka nikaingia ndani!
Vile nilivyoingia ndani ndo hofu ikanijaa,nikaanza kutetemeka hata ndani sikulala nikaenda kulala kwa rafiki yangu wa kike!!
pole sana

Ila hakuna kitu wanaume tumeshindwa kuvumilia, kama kukosa tendo kwa binti uliyemmendea kwa muda mrefu tena mkiwa naye chumbani kabisa

Yale mambo ya ubakaji ndiyo yanatokea hapo, wenzetu wazungu wana heshimu hili, lakini sisi wabongo sio rahisi hata kidogo
 
Braza acha kabisa,nilipata ujasiri nikatulia kwa sekunde kadhaa kwa ujasiri nikamwambia niue tu kwanza nimechoka kuishi isitoshe Sina mtoto nitakayemuacha hasara kwa mama yangu!
Akatuliaaaa baadae akaniambia shuka!
Nikafungua mlango nikashuka nikaingia ndani!
Vile nilivyoingia ndani ndo hofu ikanijaa,nikaanza kutetemeka hata ndani sikulala nikaenda kulala kwa rafiki yangu wa kike!!
Ulijitoa ufahamu kabisaaaa,, angekuua mwanetu
 
Tukio la dhuluma katika biashara

Mwaka 47 niliingia kwenye biashara ya uuzaji wa vipodozi kwaajili ya Wanawake na Wanaume waliopenda kuongeza mng’ao wa ngozi zao. Biashara hii ilikuwa ni ya pamoja(partnership), Mimi na rafiki yangu Nkya (sio jina halisi) ambapo tulikuwa tunachukua mzigo wa vipodozi Congo DR na kuuingiza Nchini ambapo tulikuwa tukiuza kwa jumla. Tukija na mzigo, ilikuwa wale wenye maduka ya vipodozi, walikuwa wanakuja wanachukua kwetu, kwahiyo tulikuwa hatukai na mzigo zaidi ya siku mbili tangu ufike. Kwa kweli, biashara ilitulipa sana miaka ile.

Mathalani, kipodozi unanunua Congo DR, kwa shilingi 5,000 ya Tanzania, lakini ukija kuuza huku Tanzania kwa bei ya jumla, ilikuwa tunauza kwa 25,000 na wao wakija kuuza rejareja, walikuwa wanauza shilingi 35,000 hadi 50,000

Wanawake wanatumia pesa nyingi sana kwenye matunzo ya ngozi pamoja na nywele zao, iwapo utafanikiwa kubuni biashara ambayo wateja wako watakuwa wanawake, nina kuhakikishia huwezi kulala njaa.

Tulijiweka utaratibu kwamba tukiingiza mzigo, baada ya mauzo ilikuwa tunatenga hela ya mtaji pembeni, gharama za usafiri, kupoza maafisa huko njiani kisha tunagawana faida. Na kwenye hiyo faida, tunachukua almost 50% ya faida, kisha 50% nyingine tunaiongeza kwenye mtaji, ili kukuza biashara.

Wakati fulani, biashara ilipokuwa imeshamiri na yenye faida, mbia mwenzangu, akaingia tamaa, akatokomea mitini na mtaji pamoja na faida yote ya biashara.

Nikaanza kumtafuta, bila mafanikio, nakwenda nyumbani kwake kila siku naambiwa hayupo, baadaye wakahama mtaa kabisa, hivyo nikashindwa kujua kwa kumpata kabisa.

Wazo likanijia, kumtafuta maeneo tulipokuwa tunachukulia mzigo, nikawa naenda kumtafuta kimya kimya, hadi nikafanikiwa kukutana naye. Jamaa akanijibu mbovu pale, na kunitishia juu.

Safari ya kulipa kisasi…. Usione kobe ametulia, ujue anatunga sheria…

Ni watu wachache sana wenye uwezo wa kusamehe pale wanapodhulumiwa, Kwasisi Wanaume kisasi chetu huwa ni kwenye fedha,Watoto na Mke. Ukituumiza kupitia moja wako katika hayo, ujue ni lazima kisasi kitalipwa. Mimi pia nilichagua kulipa kisasi.

Baada ya ugomvi wetu na Bwana Nkya, nilimwacha akasahau miezi 6 hivi ikapita.

Baadaye nilirudi tena eneo tulipokuwa tunachukulia mzigo, nikakusanya taarifa nilizokuwa nahitaji, hasa kujua mzigo mwingine alikuwa amepanga kuuchukua lini, na angepita barabara ipi kuusafirisha na angetumia gari ya nani kuubeba. Mind you, biashara hii tulifanya bila kuwa na makaratasi (Someni na muelewe hivyo hivyo tu).

Baada ya kujiridhisha kuhusu hayo yote, siku 23 baadaye mzigo wa jamaa ulikamatwa, na ukataifishwa na jamaa alikaa mahabusu zaidi ya miezi 6

Hakuna bidhaa adimu kwa sisi Watanzania kama uaminifu, ni Watanzania wachache sana wanaoweza kufanya biashara ya pamoja bila kudhulumiana.

Mnaweza kufanya biashara za pamoja, lakini wekeni vizuri kwenye maandishi (Mikataba).

Otherwise, unaweza kupoteza jasho lako kwa dhuruma ya mtu uliyeaminiana naye.
Adui unaemmudu usimuachie mungu
 
Mimi sio mwandishi mzuri!!
Matukio nisiyoweza kuyasahau!

1. Tukio la kwanza
Mimi ni wale wadada wenye marafiki wa kiume,yaani ule urafiki wa kushibana kabisa!
Sasa Kuna huyo rafiki yangu tulikua tunaelewana sana sana zaidi ya sana,siku moja Usiku tumeenda zetu kupata kitimoto tulivyomaliza kula Kuna watu wakataka kukutana nae akaniomba twende nitabaki kwenye gari aingie aongee nao wakimaliza atanipitisha nyumbani!! Tukaenda bwana ilikua kama saa 3 usiku hivi,nilikaa kwenye gari mpaka mida ya saa 7 kasoro ndo anarudi!
Hapo nimeshakasirika natamani kupasuka!
Sasa bwana kuna mbongo fleva mmoja nilikutana nae ofisi za uhamiaji,na yeye akawa rafiki yangu tukawa tunataniana sana ila huyu mwingine akawa hataki kabisa niwe na mazoea na huyo mbongo fleva😀😀😀😀
Sasa hiyo siku mbongo fleva sijui kapatwa na Nini kanipigia hiyo saa 7,huyu akaanza kunigombeza kwanini ananipigia simu,aisee nilimuwakia ukijumlisha na hasira zakunichelewesha,Sasa sijui alipatwa na Nini huko ndani alitoka ana hasira nikamjazia na ya kwangu Hadi akawa anatetemeka🤪🤪🤪🤪🤪
Sasa akawa kama kapoa hivi tukaondoka pale kwenda kwangu tumefika nje kabla sijashuka akaanza kuniambia mara sijui Mimi ni rafiki yako ila nimetokea kukupenda🙌🙌🙌🙌
Akanipandisha hasira nikamtolea maneno ya shombo kama elfu 3 hivi!
Aisee alikasirika kuliko kawaida(Ile siku nilijua kama binadamu wote ni vichaa) kimasihara masihara akatoa bastola kaniwekea kichwani🥲🥲🥲🥲 akaniambia bellaa nakuua,ni Bora nikuue!!hapo kabadilika amekasirika macho mwekunduu!!
Siwezi kusahau hili tukio na kuanzia Ile siku siwezi kuwa karibu na mtu anayemiliki siraha ya moto hata kwa bahati mbaya!
Kifupi mchizi alikuwa anakuelewa, ila wewe hukumuelewa kitambo..
Urafiki baina ya mwanamke na mwanaume hakuna.
Unabisha mjaribu best yako, kumueleza nyie washikaji kitambo, unataka umtunuku, katika milioni 1 wanaweza kukataa wa3 au ukakosa kabisa
 
Umewahi kudhulumiwa Mkuu?

Mtu anaweza kukulia timing hata miaka 3 aje kukulipua
Kudhulumiwa au kuibiwa
Kunauma aise!
Miaka fulani zamani kdg kuna mbongo mmoja alikuwa anaishi kaburu huyu bana yuko huko kabla hata South hawapata uhuru!
Jamaa alkuwa anaitwa smbdy A.--- alikuwa rafiki wa anko wangu mmjaa
Sasa ktk mazungumzo tukaongega kuhusu madini
Specia pieces akatupa ramani yanayotakiwa huko
Huku ss tukaingia mzigoni
Kuyaanda,nakumbuka zilikuwa emeralds, tanzanite,sapphire
Ktk mazungmzo jamaa akanambia mpaka namna ya kuzipigiliaa ili nivuke nazo boda na kuingia nazo
Tukasafiri tukaingia nazo
Huko safi kabisa,jamaa tukaonana naye,ss wkt tuko pale mjengoni tulizipigilia mahali na jamaa alikiwa anajuwa siku tumekaa tunashangaa ugeni huoo
Ndani 😄 😄 wanauliza mzg uko wapi yule mwenzangu akakomaa akachezeaa keleb,mm hapo mpole maana kuna mmja alikiwa na chuma wengine na visu 😄
Mara tukaona jamaa wanaingia jikoni kwenye kidocho tuliweka jamaa wakautoa kifuko kdg wakatambaaaa.
Yule mgeni wetu alituuzaaa 😄 wakatukwaluaa mpk mapene yetu yaani walituachaa zerooo 😄
Ndy ikabid njiongeze ntamfute brother mmj huko anaitwa machupa rafik za maanko....naye wale wale wajanjajanja kumuelezea akasema dah yule A --- Hafai namba yule yaani kawararrua mpk ndg/wdg zake anyway nyie mnatakaje
Ndy kutupa nauli na kukaa kwake siku kadhaa na kurudi
Ile kukaa tu kwa machup siku 7 tuliona kama mwaka maana naye kwake visanga,ambush haziishi 😄
Ila that's life tunajinza kupitia makosa na tunapopotia

Ova
 
Noma na nusu, jomba aka waletea unyama ugenini
 
Back
Top Bottom