Matukio na Masimulizi ya Wazee wa Mwaka 47

Alijua kulichangamsha jukwaa la Celebrities
Jukwaa alilifanya liwe hot hot..
Hivi mchango wa mazishi ulitoaga kweli wewe???
Hahaha ....eti Mzee Ibra, usifanye nikavaike a miwani yangu vizuri niweze kukagua ID yako
Usikute ni jirani yangu hapa mtakuja bila kujua 😂
Au sisi vizee ni majirani hapo mlakakuwa.

Kama uliuza hizo mekako,, jaribu, Rico na princess. Nina hakika ulizila mbunye zoote za dar
 
Mimi sio mwandishi mzuri!!
Matukio nisiyoweza kuyasahau!

1. Tukio la kwanza
Mimi ni wale wadada wenye marafiki wa kiume,yaani ule urafiki wa kushibana kabisa!
Sasa Kuna huyo rafiki yangu tulikua tunaelewana sana sana zaidi ya sana,siku moja Usiku tumeenda zetu kupata kitimoto tulivyomaliza kula Kuna watu wakataka kukutana nae akaniomba twende nitabaki kwenye gari aingie aongee nao wakimaliza atanipitisha nyumbani!! Tukaenda bwana ilikua kama saa 3 usiku hivi,nilikaa kwenye gari mpaka mida ya saa 7 kasoro ndo anarudi!
Hapo nimeshakasirika natamani kupasuka!
Sasa bwana kuna mbongo fleva mmoja nilikutana nae ofisi za uhamiaji,na yeye akawa rafiki yangu tukawa tunataniana sana ila huyu mwingine akawa hataki kabisa niwe na mazoea na huyo mbongo fleva😀😀😀😀
Sasa hiyo siku mbongo fleva sijui kapatwa na Nini kanipigia hiyo saa 7,huyu akaanza kunigombeza kwanini ananipigia simu,aisee nilimuwakia ukijumlisha na hasira zakunichelewesha,Sasa sijui alipatwa na Nini huko ndani alitoka ana hasira nikamjazia na ya kwangu Hadi akawa anatetemeka🤪🤪🤪🤪🤪
Sasa akawa kama kapoa hivi tukaondoka pale kwenda kwangu tumefika nje kabla sijashuka akaanza kuniambia mara sijui Mimi ni rafiki yako ila nimetokea kukupenda🙌🙌🙌🙌
Akanipandisha hasira nikamtolea maneno ya shombo kama elfu 3 hivi!
Aisee alikasirika kuliko kawaida(Ile siku nilijua kama binadamu wote ni vichaa) kimasihara masihara akatoa bastola kaniwekea kichwani🥲🥲🥲🥲 akaniambia bellaa nakuua,ni Bora nikuue!!hapo kabadilika amekasirika macho mwekunduu!!
Siwezi kusahau hili tukio na kuanzia Ile siku siwezi kuwa karibu na mtu anayemiliki siraha ya moto hata kwa bahati mbaya!
 
Jukwaa alilifanya liwe hot hot..
Jukwaa lilikuwa hot sana enzi zile
Hivi mchango wa mazishi ulitoaga kweli wewe???
Sikutoa, nilichelewa kupata taarifa ya msiba wake...
Au sisi vizee ni majirani hapo mlakakuwa.
Kama upo Mlalakuwa tutakuwa tumeonana mara kadhaa, mimi hupendelea kukaa wanapocheza vijana pool table, utakuta nimevaa zangu kanzu na msuli 😜
Kama uliuza hizo mekako,, jaribu, Rico na princess. Nina hakika ulizila mbunye zoote za dar
Hahaha.....sikuweza kutokana na umri kunitupa mkono, niliogopa zile aibu za kushiriki na kumaliza tendo kwa sekunde 29 😜
 
Ni zipi hizo babu
Ukienda kwenye maduka ya vipodozi, watakueleza

Kwa sasa kupata wanawake weusi itakuwa vigumu mno, wengi wanajichubua

Juzi nilivunja ndoa ya mwanangu wa kiume alipokuwa anataka kuona

Niliagiza niletewe picha ya binti alipokuwa shule ya msingi

Picha ililetwa binti mweusi ti, alafu wasasa alikuwa mweupe utasema Mzungu

Nika mwambia kijana wangu, hapa hakuna mke
 
Mimi sio mwandishi mzuri!!
Matukio nisiyoweza kuyasahau!

1. Tukio la kwanza
Mimi ni wale wadada wenye marafiki wa kiume,yaani ule urafiki wa kushibana kabisa!
Sasa Kuna huyo rafiki yangu tulikua tunaelewana sana sana zaidi ya sana,siku moja Usiku tumeenda zetu kupata kitimoto tulivyomaliza kula Kuna watu wakataka kukutana nae akaniomba twende nitabaki kwenye gari aingie aongee nao wakimaliza atanipitisha nyumbani!! Tukaenda bwana ilikua kama saa 3 usiku hivi,nilikaa kwenye gari mpaka mida ya saa 7 kasoro ndo anarudi!
Hapo nimeshakasirika natamani kupasuka!
Sasa bwana kuna mbongo fleva mmoja nilikutana nae ofisi za uhamiaji,na yeye akawa rafiki yangu tukawa tunataniana sana ila huyu mwingine akawa hataki kabisa niwe na mazoea na huyo mbongo fleva😀😀😀😀
Sasa hiyo siku mbongo fleva sijui kapatwa na Nini kanipigia hiyo saa 7,huyu akaanza kunigombeza kwanini ananipigia simu,aisee nilimuwakia ukijumlisha na hasira zakunichelewesha,Sasa sijui alipatwa na Nini huko ndani alitoka ana hasira nikamjazia na ya kwangu Hadi akawa anatetemeka🤪🤪🤪🤪🤪
Sasa akawa kama kapoa hivi tukaondoka pale kwenda kwangu tumefika nje kabla sijashuka akaanza kuniambia mara sijui Mimi ni rafiki yako ila nimetokea kukupenda🙌🙌🙌🙌
Akanipandisha hasira nikamtolea maneno ya shombo kama elfu 3 hivi!
Aisee alikasirika kuliko kawaida(Ile siku nilijua kama binadamu wote ni vichaa) kimasihara masihara akatoa bastola kaniwekea kichwani🥲🥲🥲🥲 akaniambia bellaa nakuua,ni Bora nikuue!!hapo kabadilika amekasirika macho mwekunduu!!
Siwezi kusahau hili tukio na kuanzia Ile siku siwezi kuwa karibu na mtu anayemiliki siraha ya moto hata kwa bahati mbaya!
Pole sana, ulimshawishi kwa namna ipi ili asikuue?

Ukiwa na hasira na una silaha karibu, ukishindwa kujizuia ni suala la dakika chache kuua
 
Vaseline ipo tokea miaka ya 47... Ila sio familia nyingi zilizoweza kutumia mafuta hayo wakati ule kulinganisha na sasa...
Wengi kutokana na hali za kiuchumi walishindwa gharama za kununua

Saivi kuna mafuta hadi ya shilingi 300, kwahiyo familia nyingi zina mudu kununua
 
Mimi sio mwandishi mzuri!!
Matukio nisiyoweza kuyasahau!

1. Tukio la kwanza
Mimi ni wale wadada wenye marafiki wa kiume,yaani ule urafiki wa kushibana kabisa!
Sasa Kuna huyo rafiki yangu tulikua tunaelewana sana sana zaidi ya sana,siku moja Usiku tumeenda zetu kupata kitimoto tulivyomaliza kula Kuna watu wakataka kukutana nae akaniomba twende nitabaki kwenye gari aingie aongee nao wakimaliza atanipitisha nyumbani!! Tukaenda bwana ilikua kama saa 3 usiku hivi,nilikaa kwenye gari mpaka mida ya saa 7 kasoro ndo anarudi!
Hapo nimeshakasirika natamani kupasuka!
Sasa bwana kuna mbongo fleva mmoja nilikutana nae ofisi za uhamiaji,na yeye akawa rafiki yangu tukawa tunataniana sana ila huyu mwingine akawa hataki kabisa niwe na mazoea na huyo mbongo fleva😀😀😀😀
Sasa hiyo siku mbongo fleva sijui kapatwa na Nini kanipigia hiyo saa 7,huyu akaanza kunigombeza kwanini ananipigia simu,aisee nilimuwakia ukijumlisha na hasira zakunichelewesha,Sasa sijui alipatwa na Nini huko ndani alitoka ana hasira nikamjazia na ya kwangu Hadi akawa anatetemeka🤪🤪🤪🤪🤪
Sasa akawa kama kapoa hivi tukaondoka pale kwenda kwangu tumefika nje kabla sijashuka akaanza kuniambia mara sijui Mimi ni rafiki yako ila nimetokea kukupenda🙌🙌🙌🙌
Akanipandisha hasira nikamtolea maneno ya shombo kama elfu 3 hivi!
Aisee alikasirika kuliko kawaida(Ile siku nilijua kama binadamu wote ni vichaa) kimasihara masihara akatoa bastola kaniwekea kichwani🥲🥲🥲🥲 akaniambia bellaa nakuua,ni Bora nikuue!!hapo kabadilika amekasirika macho mwekunduu!!
Siwezi kusahau hili tukio na kuanzia Ile siku siwezi kuwa karibu na mtu anayemiliki siraha ya moto hata kwa bahati mbaya!
What happened after kuwekewa jogoo
 
Back
Top Bottom