Matukio na Masimulizi ya Wazee wa Mwaka 47

Kwenye haya maisha, bila kucheza faulo wakati mwingine huwezi kutoka

Ukitulia fanya kutuwekea hivyo visa mkuu
Kabisa,utajiri watu kupata una mambo mengi
Mfano kuna mzee mmoja hivi ni muhaa anapatiana
Tndk,yeye enzi zake walikuwa wanaiba kwenye mabehewa ya treni mali
Na kuvukisha magendo kutoka kongo,Burundi na kuingiza tz
Alikuwa mtundu kweli kweli
Badaye sana akaacha na akajingiza kwenye biashara za kuuza spare za caterpillar na maexcavator hadi kuzimiliki
Na akawa mtu wa dini kweli kweli 😄
Hata yule mb aliyekuwa kutoka nyanda za juu kisini,sahv naona sy mb naye kabla alikuwa mtu wa magend sana sasa hyu alikuwaga karibu sana anko wangu mmoja ila marehemu,anko alikuwa mtundu sana aise Mikasa daily kukamatwa kufungwa kwake kawaida 😄 sema alikuja kufia zambia huko
Yule mb(rtd)alikuwa anamkubali sana kitambo sana hata hajaingia kwenye siasa alimshauri mjomba aachane na mambo ya 4,na nakumbuka miaka hyo tuko ofisini kwake jamaa alimtia milion kama 15 aanzie maisha,ila anko ana dah yale maisha alishayazoeaa
Ndy tukaja skiaa kafia zambia huko si unajuwa watu wa michezo

Kwa hyo,kuna watu ni matajir ila nyuma Sasa kwenye utafutaji walikuwa balaaa

Ova
 
Aisee, so interesting .....

Maisha yana harakati nyingi, ni kuchagua njia yako unatulia unapiga zako mishe
 
Tusimulie basi,
Akitulia atakuja kuandika, unajua muda ni changamoto sana kwetu wengi
Hata hivyo nikupongeze mtoa mada kwa uzi na simulizi, muda pia uliotumia kuandika ni moyo wa kipekee sana,
Shukrani, najua nawe unaweza kuwa na matukio yako ..hata ya upande wenu 😂

Nina shangazi yangu mmoja alikuwa mafia kwenye kuteka wanaume na kuwaibia hela

Nikitulia nitasimulia kisa chake kimoja hivi karibuni
 
Kuweni na huruma na wazee 😂

Nilijua wakija kupata watoto, watapa wengi weusi, kwahiyo babu yao hapa ndiyo ningefanywa jalala kutupiwa lawama kwamba wajukuu wamerithi weusi kwa babu yao

kumbe binti mwenyewe ni mweusi
Nyie wazee muhurumiwe for what?

Wajukuu weusi🤔
Kwanini utupiwe lawama kwa kua wajukuu ni weusi?
 
Akitulia atakuja kuandika, unajua muda ni changamoto sana kwetu wengi

Shukrani, najua nawe unaweza kuwa na matukio yako ..hata ya upande wenu 😂

Nina shangazi yangu mmoja alikuwa mafia kwenye kuteka wanaume na kuwaibia hela

Nikitulia nitasimulia kisa chake kimoja hivi karibuni
Nilivyo mvivu kuandika sasa, labda nikusimulie halafu uje uandike, hivi humu hamna voice note!!! Aaah tushafeli ngoja nimuulize jirani yangu akiweza aje alete kisa changu jinsi jamaa yangu alivyotapeliwa na wanyarwanda huko mipakani halafu baada ya muda ke akaua mumewe, (alikuwa alitembea na binamu wa mumewe)
 
Mimi sio mwandishi mzuri!!
Matukio nisiyoweza kuyasahau!

1. Tukio la kwanza
Mimi ni wale wadada wenye marafiki wa kiume,yaani ule urafiki wa kushibana kabisa!
Sasa Kuna huyo rafiki yangu tulikua tunaelewana sana sana zaidi ya sana,siku moja Usiku tumeenda zetu kupata kitimoto tulivyomaliza kula Kuna watu wakataka kukutana nae akaniomba twende nitabaki kwenye gari aingie aongee nao wakimaliza atanipitisha nyumbani!! Tukaenda bwana ilikua kama saa 3 usiku hivi,nilikaa kwenye gari mpaka mida ya saa 7 kasoro ndo anarudi!
Hapo nimeshakasirika natamani kupasuka!
Sasa bwana kuna mbongo fleva mmoja nilikutana nae ofisi za uhamiaji,na yeye akawa rafiki yangu tukawa tunataniana sana ila huyu mwingine akawa hataki kabisa niwe na mazoea na huyo mbongo fleva😀😀😀😀
Sasa hiyo siku mbongo fleva sijui kapatwa na Nini kanipigia hiyo saa 7,huyu akaanza kunigombeza kwanini ananipigia simu,aisee nilimuwakia ukijumlisha na hasira zakunichelewesha,Sasa sijui alipatwa na Nini huko ndani alitoka ana hasira nikamjazia na ya kwangu Hadi akawa anatetemeka🤪🤪🤪🤪🤪
Sasa akawa kama kapoa hivi tukaondoka pale kwenda kwangu tumefika nje kabla sijashuka akaanza kuniambia mara sijui Mimi ni rafiki yako ila nimetokea kukupenda🙌🙌🙌🙌
Akanipandisha hasira nikamtolea maneno ya shombo kama elfu 3 hivi!
Aisee alikasirika kuliko kawaida(Ile siku nilijua kama binadamu wote ni vichaa) kimasihara masihara akatoa bastola kaniwekea kichwani🥲🥲🥲🥲 akaniambia bellaa nakuua,ni Bora nikuue!!hapo kabadilika amekasirika macho mwekunduu!!
Siwezi kusahau hili tukio na kuanzia Ile siku siwezi kuwa karibu na mtu anayemiliki siraha ya moto hata kwa bahati mbaya!
😀😀😀alikuwa na genye huyo halafu domo zege
 
Nilivyo mvivu kuandika sasa, labda nikusimulie halafu uje uandike, hivi humu hamna voice note!!! Aaah tushafeli ngoja nimuulize jirani yangu akiweza aje alete kisa changu jinsi jamaa yangu alivyotapeliwa na wanyarwanda huko mipakani halafu baada ya muda ke akaua mumewe, (alikuwa alitembea na binamu wa mumewe)
Haya uje unisimulie nije nikuandikie.....

Wanawake mna visa vingi vya kutubia wanaume tukiingia kwenye 18 zenu, wapo baadhi hadi wametajirika kupitia hela zetu ujue
 
Fix tu za humu ila roho ya utapeli sijabahatika kuwa nayo, mimi ni wale wanawake wenye aibu hata kuomba pesa kwa mwanaume, kwahiyo visa vya mlengo huo sina
 
Hizi mindset za weusi unatafsiri muonekano mbaya

Na weupe ndio uzuri
Acha watu wajikoboe hakuna namna😅

Nb: tunaitaji somo la kujiamini
Uzuri wa kitu upo machoni mwa anaetazama
Napenda black beauty, hata bibi yenu mkija kumwona ni mweusi ule wa kuteleza bila kutumia vipodozi kuongeza rangi

Nilimpenda akiwa hivyo, kwahiyo alijua sipendi ajichubue

Siku hizi wanawake wengi wamekuwa wanajichubua

Hadi imekuwa nadra kumkuta msichana mweusi

Sasa unakuta binti kajichubua, alafu na tako nalo limekuwa la kichina, si ni hatari hiyo mjukuu
 
Fix tu za humu ila roho ya utapeli sijabahatika kuwa nayo, mimi ni wale wanawake wenye aibu hata kuomba pesa kwa mwanaume, kwahiyo visa vya mlengo huo sina
Hao wanawake wa kuona aibu kuomba hela, mtakuwa mmebaki wachache

Nina mjukuu mmoja, nahisi akiolewa mume wake asipojiongeza kumpatia kodi ya meza anaweza hata kushinda njaa

Very innocent
 
Napenda black beauty, hata bibi yenu mkija kumwona ni mweusi ule wa kuteleza bila kutumia vipodozi kuongeza rangi

Nilimpenda akiwa hivyo, kwahiyo alijua sipendi ajichubue

Siku hizi wanawake wengi wamekuwa wanajichubua

Hadi imekuwa nadra kumkuta msichana mweusi

Sasa unakuta binti kajichubua, alafu na tako nalo limekuwa la kichina, si ni hatari hiyo mjukuu
Babu muongo huyu🙌
We mpka unachunguza kama tako la kichina huko kote unatafuta nini😅
 
Back
Top Bottom