Matukio na Masimulizi ya Wazee wa Mwaka 47

Matukio na Masimulizi ya Wazee wa Mwaka 47

Wenzenu mbona wanaweza ni rahisi km kunywa maji, baada ya kukua ndo nagundua kuwa mwanaume anahitaji kujiamini tu, ni silaha kubwa ya kukupatia wanawake ila wawe 20's kushuka huku juu akili nyingi sana, jicho tu nakuwa nimeshajua nini unataka
Leo na uzee huu napewa darasa na mjukuu

Kweli elimu haina mwisho 😂
 
Aisee, so interesting .....

Maisha yana harakati nyingi, ni kuchagua njia yako unatulia unapiga zako mishe
Kisa cha kwanza, kuna wakat huko nlikuwa nafanya biashara za madini lkn semi precious ndy nlikuwa nmebobea,mawe ya Makino na matani
Kweli mjini nlipata kajina kdg
Kutokana na uaminifu(ss wengine ujanja mwingi lkn kwenye pesa ya mtu huwa tunaithamini,uaminifu)
Wahindi,wachina na wanunuz wengi wa dar nlikuwa nao vzr sana yaani tunaenda sawa)
Sasa kna wakati nlipata order ya mawe fulani kwa ubora waliyokuwa wanataka yale mawe yalikuwa yanapatikana zambia(amethyst)
Tukafunga safari zambia,syo kama zambia mgeni hapana ila kwa wkt huo nlikuwa naenda kitwe
Kufika huko kuna mtz mmja mzee mmja akatupokea tuwe tunakaa kwake,yule mzee maswali mengi ohh mmekuja kufanya nn blah blah kibao..ss connection yetu tulikuwa nayo tayar
Yule mzee alipojuwa tuna hela na tumefata mawe
Maana mizunguko yetu alikuwa anaiona,si akaingiza tamaa,mm kdg nlimshtukia kuwa yule mzee mtu wa mbeya hakuwa sawa alikuwa anataka kutufanyia ushenzi,maana kuna watu alikuwa anaongea nao kilugha huko kuhusu sisi
Na sisi kuna mzambia mmoja tulipofika tulkuwa naye karibu sana tunampa sana mitungi yeye ndy akatuchana,kuwa yule mtz anataka kutukamatisha
Kwa polisi na watu wa uhamiaji,maana ss tulikuwa tuna entry tu ya huko na tunafanya mitkasi
Kituo chetu au tulipokuwa tunakaa palikuwa panaitwa musenga, yule mtz mzee huko kumbe alishawapabga maskari waje watudandie
Kumbe ss mchezo wote tulikuwa tunaujuwa
Hyo siku yule mzee akatuacha akasema anaenda chingola atarudi kwsho yk,ahhh kwani ss usiku tulilala pale tulidamka saa moja usiku nduki tukampoteaaa
Kweli, alfajiri jamaa anasema walikuja wazee pale lundooo 😄 lkn hawajampata mtu pale
Sisi tukaelekea sehemu moja panaitwa nkana east hapo kulikuwa na mzambia mmoja anaishi na ni wakili zambia tukapinduka ndyo tukaondokea kwake
Yule mzee mtz akabak mdomo wazi anapiga simu tu mko wapi mko wapi watu kimyaaa
Hapo sasa utaona jinsi gani mtu anayewafaham anaweza kuwa malizaa kwa tamaa ya pesa

Ova
 
Back
Top Bottom