Matukio na Masimulizi ya Wazee wa Mwaka 47

Matukio na Masimulizi ya Wazee wa Mwaka 47

Lakini si ulisema hupendi somo la hesabu, kwenye hili utaweza kweli 😜
Hesabu nilifeli za darasani tu!!!!! Simultaneous equation huko napotea kabisa.

Hesabu hizi za umbea na makadirio ya mitaani hizi napata A Tena naweza kuwa TO kabisa
Unajua black market ya upande wa Nakonde, ukiweza kujua movement za pale, huwezi kupoteza mtaji
Basi we si mkubwa kihivyoo hapo hata miaka yako nimeshaijua
 
Naam maisha hayaja wahi kuwa rahisi, wengi wetu hatujui faida ya partnership.

kitaalam ina punguza risk of loss, kama unge poteza 20 basi una okoa 10.
Sahihi, changamoto kubwa ni ukosefu wa uaminifu

Kama ulivyosema, badala ya kuweka milioni 20 peke yako, unajikuta unaweka 10 na mwenzio anaweka 10

Kwahiyo mkiwa serious mnaweza kupiga hatua pamoja na kufika mbali kibiashara na mafanikio
 
Hesabu nilifeli za darasani tu!!!!! Simultaneous equation huko napotea kabisa.

Hesabu hizi za umbea na makadirio ya mitaani hizi napata A Tena naweza kuwa TO kabisa
Hahahaha.......eti unaweza kuwa TO kabisa, unanikumbusha enzi za warumi na umbea wake wa viunga vya hapa DSM 😂
Basi we si mkubwa kihivyoo hapo hata miaka yako nimeshaijua
Nimekula chumvi nyingi ujue 😜
 
babu naomba niulize huo mwaka 47 ni 1947? ama ni umeficha tuu code ?
Ndiyo, ni mwaka 1947 😂, kwenye kuandika mwaka 47 tuna maanisha tukio la miaka mingi iliyopita, though inaweza kuwa miaka 10, 15 ama 40 iliyopita
nje ya mada kwann vitenge ama ndo wax au java za congo ni nzuri au nakosea ?
Nahisi ni kutokana na ubora, vitenge vya Kikongo havijachakachuliwa kama vya kwetu Tanzania

Na ukiweza kuvinunua pale black market unaweza kuviuza huku Tanzania kwa bei nzuri na ukapata na faida
 
Ndiyo, ni mwaka 1947 😂, kwenye kuandika mwaka 47 tuna maanisha tukio la miaka mingi iliyopita, though inaweza kuwa miaka 10, 15 ama 40 iliyopita

Nahisi ni kutokana na ubora, vitenge vya Kikongo havijachakachuliwa kama vya kwetu Tanzania

Na ukiweza kuvinunua pale black market unaweza kuviuza huku Tanzania kwa bei nzuri na ukapata na faida
1947 watu walikuwa wanajua hata vaseline kweli ? 😀 i guess wewe ni late 60's au early 70's
 
1947 watu walikuwa wanajua hata vaseline kweli ? 😀 i guess wewe ni late 60's au early 70's
Yalikwepo mafuta mengine ya kupaka, ila wale walioshindwa kununua kutokana na Uduni wa maisha, walikuwa wanapaka mafuta kupikia ama wengine kupaka mafuta ya wanyama

Chumvi nimekula kula sio haba 😜
 
Warumi best aendelee kupumzika kwa amani.
Alijua kulichangamsha jukwaa la Celebrities
Haya bwana,,, lakini nimemjua umri wako mzee ibra 💃💃
Hahaha ....eti Mzee Ibra, usifanye nikavaa miwani yangu vizuri niweze kukagua ID yako
Usikute ni jirani yangu hapa mtakuja bila kujua 😂
 
Back
Top Bottom