Hahaha......hapo demu mwenyewe alikuwa anakutaka, na kawaida ya sisi wanaume ni wachache sana wanaweza kuruka mtego wa mwanamkeHii tuliangukia kwenye ushikaji..
Nipo katika harakati zangu town, akaniambia nikikwama usafiri kurudi home, nitimbe kwake, ukizingatia nae anakaribia kusafiri, hatujaonana kitambo na akiondoka pia itachulua muda..
Nikamtimbia, stori nyingi, nikaoneshwa sehemu ya kulala, usiku mwingi akanitimbia.. mie nani sasa nikatae.. tukaruka majoka, ruka sana DEBE..
Kumekucha ni mwendo wa bby..
Katikati ya mchezo akasema fulani anaachana nae, mie moyoni nikasema shauri yako, mie napunguza protin mwilini..
Aisee tukamaliza game, ikapigwa nyingine, ikikuwa asubuhi nirudi mtaani, ikapigwa game nyingine kutahamaki nikaondoka jioni na mesho yake akaghairisha safari akaniita tena..
Mwishowe nikaja ipata ya chini chini kaachana na jamaa, namuuliza ananiambia kweli..
Mwishowe kitumbo kikajaa, nikaja jipatia mtoto...
Home kule garden kinondoni(mafele)Kuna mabinti wengine wamepewa hadi mitaji na hao wazee, Wazee ni rahisi kuachia mikwanja na kutekwa
Aisee ule niliuona,, ulikuwa m baya sanaUle ukimwi wa miaka ya 90 hadi mwanzoni mwa 2000 ulikuwa hatari mno, mtu hata kama ulikuwa na kilo 120 unajikuta unapelekwa kaburini na kilo 15 🙌😢
😂😂😂💃💃💃Hahaha.......kumbe kuna haja tukumbushie, old is gold 😉
Kwa kweli, na familia nyingi Tanzania, tunaweza kusema almost kila Mtanzania amewahi kupoteza ndugu ama jamaa na ile ngwengwe ya miaka ileAisee ule niliuona,, ulikuwa m baya sana
Tena ya saivi kwenye kibaba baba maeneo ya kujificha yamekuwa mengi ujue 😉😂😂😂💃💃💃
Hatari, unajua hata wale mamisi wa zamani walikuwa ndiyo zao hizo...na wengi walipewa biashara na waliokuwa na sifa wameingizwa kufanya kazi Serikalini na kwenye taasisi za kibenkiHome kule garden kinondoni(mafele)
Nlikuwaga jirani na dada mmoj,alipangishiwa nyumba na kigogo mmj(jina kapuni)wkt mwingine alikuwa anawaingiza vigogo wengine pia nao wazito 😄
Anawapanga tu,mara bdy nakuja kuona yule mdada kapewa shavu 😄
Sema namkubaligi hajawahi kugongesha magari 😄
Wale vigogo mpk leo nikiwangaliaga nacheka sana
Hawa wadada wakiamua kukubana wanakubana kwelkweli
Ova
Nlimuonaga mganda mmoja hko miaka hyo aliukwaa aise nomaaaKwa kweli, na familia nyingi Tanzania, tunaweza kusema almost kila Mtanzania amewahi kupoteza ndugu ama jamaa na ile ngwengwe ya miaka ile
Tena ya saivi kwenye kibaba baba maeneo ya kujificha yamekuwa mengi ujue 😉
Namjuwa miss mmj yuko usHatari, unajua hata wale mamisi wa zamani walikuwa ndiyo zao hizo...na wengi walipewa biashara na waliokuwa na sifa wameingizwa kufanya kazi Serikalini na kwenye taasisi za kibenki
Kuna haja vijana wa miaka hii tuwapatie picha za hivyo huenda waacha ngono zembe, maana saivi ni mwendo wakulana kavu tuNlimuonaga mganda mmoja hko miaka hyo aliukwaa aise nomaaa
Najaribu kumbka jina lake
Alikuwa msanii miziki ya asili huko
Ulimpiga kweli mwili wote ulikuja kujaa vidonda
Mdomo unaungua
Ova
Kbs maama sahv wanatianaKuna haja vijana wa miaka hii tuwapatie picha za hivyo huenda waacha ngono zembe, maana saivi ni mwendo wakulana kavu tu
Tena wameamini eti ukipaka mafuta hupati michubuko
Ule umeme ni hatari mtu anakuwa km nyani.Nlimuonaga mganda mmoja hko miaka hyo aliukwaa aise nomaaa
Najaribu kumbka jina lake
Alikuwa msanii miziki ya asili huko
Ulimpiga kweli mwili wote ulikuja kujaa vidonda
Mdomo unaungua
Ova
Kuna mama mmoja mrembo sana aliukwaa alikuwa akiishi Mitaa hiyo. Aliniuma sana yule mama wa rafiki yangu.Kwa kweli, na familia nyingi Tanzania, tunaweza kusema almost kila Mtanzania amewahi kupoteza ndugu ama jamaa na ile ngwengwe ya miaka ile
Tena ya saivi kwenye kibaba baba maeneo ya kujificha yamekuwa mengi ujue 😉
Yes, baadae alinichana alinielewa kitambo, na balaa zaidi kiskuli skuli, mie ndio nilimsaidiaga mchizi kumpata demu, baadae mchizi akahama shule na mimi nikapita hivi, uchizi ukaisha ila demu aliendelea na mshikaji na urafiki na demu ulikuwa strong mpaka tunaivunja amri ya 6, ila hapo ishapita miaka kama mi4-5 hivi.Hahaha......hapo demu mwenyewe alikuwa anakutaka, na kawaida ya sisi wanaume ni wachache sana wanaweza kuruka mtego wa mwanamke
Bora amekuzalia na mtoto kabisa, mmetengeneza bond
Yani jamani huu ugonjwa ni mbayaUle umeme ni hatari mtu anakuwa km nyani.
Mkuu hapana..hunting bussiness..kuna mtu kati yao nitakaa kikao naye akiwa na familia kama kwenye Sicarion:the day of SoldadoKuna sehemu nilienda, nikakuta Dada mmoja anapiga nyanga kummaliza business partner wake
Nikasema hii Nchi usimwamini mtu, even mabinti nao wamekuwa mafia
Usikute unataka kutumia njia ya elimination mkuu
Aisee acha kbs kuna miaka yangu ya chuo ile. Bado kbs yaani ile mmmaaa.Yani jamani huu ugonjwa ni mbaya