Matukio na Masimulizi ya Wazee wa Mwaka 47

Na ukimwi ulienda na wengi mnoo
Ule ukimwi wa miaka ya 90 hadi mwanzoni mwa 2000 ulikuwa hatari mno, mtu hata kama ulikuwa na kilo 120 unajikuta unapelekwa kaburini na kilo 15 πŸ™ŒπŸ˜’
Hao mi ni dada zangu wa mtaa maana nimekulia na kuzaliwa hiyo mitaa
Inawezekana tulicheza wote kombolela.
Hahaha.......kumbe kuna haja tukumbushie, old is gold πŸ˜‰
 
Duh aisee

Ova
 
Ule ukimwi wa miaka ya 90 hadi mwanzoni mwa 2000 ulikuwa hatari mno, mtu hata kama ulikuwa na kilo 120 unajikuta unapelekwa kaburini na kilo 15 πŸ™ŒπŸ˜’

Hahaha.......kumbe kuna haja tukumbushie, old is gold πŸ˜‰
Mpaka uliitwa umeme ,ujuwe si mchezo

Ova
 
Mzee mwenzangu ,na haya natamani likizo yangu ya mwezi ujao niyapate pale hotelini kwako sio kwa udadavuaji huo ulioweka mpaka kiini cha jambo lenyewe kimenipotea kichwani .

Ila Juliana πŸ™Œ
 
Mzee mwenzangu ,na haya natamani likizo yangu ya mwezi ujao niyapate pale hotelini kwako sio kwa udadavuaji huo ulioweka mpaka kiini cha jambo lenyewe kimenipotea kichwani .

Ila Juliana πŸ™Œ
Hahaha.........kwamba mzee mwenzangu tayari umeshakutana na Juliana type II, karibuni sana, kwangu nafasi ipo

Tena nimewafungia na Free Wi-Fi, kwahiyo ni mnaweza kuchungulia na yale mambo mengine ili kuongeza ufundi 😜

Juliana, alijua kucheza na fursa πŸ˜‚
 
Hatari, ukikutana na mwana unajifanya kama sio wewe vile πŸ˜‚
Mixer kuwarekebisha wakikosana...

Shida ni swahiba wako akinogewa, mie ilitokea rafiki yangu akanitunuku, mwishowe akaachana na mchizi matokeo yake tukapata na mtoto πŸ˜‚πŸ€£..
Mchizi alimaindi ila baadae kiume akakubali maisha yaendelee..
 
hu
yo mzee fala sana ndo hawa utasikia usimpangie mzazi mali zake, haya asingekufa akaugua pressure ama stroke huoni mkewe angechukua jukumu kwa mtu asiye na impact yoyote

wenzie wanahonga na kujali miji yao..... yeye kachezewa boo wiki tuu kapagawa angeyapata kwenye umri wetu lahaula mbuzi wa masikini hazai
 
Nitambeba juliana wangu ,nitakuja naye hapo kwako ninengeneke naye huku ufundi nikiwa napitia kwenye WI_FI yako ila kikubwa wambie wahudumu wawe wanakuja kutujulia hali mara kwa mara maana sikawii kufia kifuani mimi
 
Mixer kuwarekebisha wakikosana...

Shida ni swahiba wako akinogewa, mie ilitokea rafiki yangu akanitunuku, mwishowe akaachana na mchizi matokeo yake tukapata na mtoto πŸ˜‚πŸ€£..
Mchizi alimaindi ila baadae kiume akakubali maisha yaendelee..
Duh hiyo ilikuwa hatari zaidi, hadi kuzaa naye πŸ˜‚

Mimi nakwepa sana lawama za kula demu wa mtu tunayefahamiana
 
Nitambeba juliana wangu ,nitakuja naye hapo kwako ninengeneke naye huku ufundi nikiwa napitia kwenye WI_FI yako ila kikubwa wambie wahudumu wawe wanakuja kutujulia hali mara kwa mara maana sikawii kufia kifuani mimi
Hahaha....unaogopa utafia kwenye kinena

Mabinti nao deiz ni watundu na mafundi haswa
 
Ndiyo, hujawahi kujikuta unatoa code zote kwa demu hadi unaishiwa nauli ya kurudi town?
Kuna mademu ni mafisi hasa ujue πŸ˜‚
πŸ˜„ hiyo sijawahi mkuu
Sema nlikuwa nawajua wadada makumbembe
Nliona jnsi wanavyo wafilisi
Wazee,mashuwa wengine mawazir na viongozi πŸ˜„
Wanawararua

Ova
 
Duh hiyo ilikuwa hatari zaidi, hadi kuzaa naye πŸ˜‚

Mimi nakwepa sana lawama za kula demu wa mtu tunayefahamiana
Hii tuliangukia kwenye ushikaji..
Nipo katika harakati zangu town, akaniambia nikikwama usafiri kurudi home, nitimbe kwake, ukizingatia nae anakaribia kusafiri, hatujaonana kitambo na akiondoka pia itachulua muda..
Nikamtimbia, stori nyingi, nikaoneshwa sehemu ya kulala, usiku mwingi akanitimbia.. mie nani sasa nikatae.. tukaruka majoka, ruka sana DEBE..
Kumekucha ni mwendo wa bby..
Katikati ya mchezo akasema fulani anaachana nae, mie moyoni nikasema shauri yako, mie napunguza protin mwilini..
Aisee tukamaliza game, ikapigwa nyingine, ikikuwa asubuhi nirudi mtaani, ikapigwa game nyingine kutahamaki nikaondoka jioni na mesho yake akaghairisha safari akaniita tena..
Mwishowe nikaja ipata ya chini chini kaachana na jamaa, namuuliza ananiambia kweli..
Mwishowe kitumbo kikajaa, nikaja jipatia mtoto...
 
Ulimbukeni ulimsumbua, kwenye maisha ukiwa limbukeni wa ke, wanaweza kutumia huo udhaifu kukufirisi
 
πŸ˜„ hiyo sijawahi mkuu
Sema nlikuwa nawajua wadada makumbembe
Nliona jnsi wanavyo wafilisi
Wazee,mashuwa wengine mawazir na viongozi πŸ˜„
Wanawararua

Ova
Kuna mabinti wengine wamepewa hadi mitaji na hao wazee, Wazee ni rahisi kuachia mikwanja na kutekwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…