Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Naamini kwa hivi sasa Ukawa watakuwa wanafanya majumuisho.

Zoezi hilo likikamilika watafanya 'surprise' kabla ya hiyo tarehe 29 ambayo January ameshaitangaza rasmi kuwa ndiyo siku ya kuapishwa Mr Pushap.
 
Uchaguzi huu sio harufu
ni 'full kuchakachua'
Umafia uliofanyika jumbo la Kahama ni uthibitisho wa kuendelea kusiginwa kwa demokrasia hapa nchini. Nadhani hakuna haja ya kuwa na upinzani hapa nchini,bora ibaki ccm tujue moja.
 
Hivi aljeezira ,cnn , sky na wengine wanasubiria fujo waje kuripoti

Mkuu una king'amuzi? Aljaeera siku nzimaya jumamosi walkua wanatanaza mkutano a CHADEMA live kila wakati wa habari zao. Hata leo wanatoa tarifa za uchaguzi kama wanavyozipata. Download Apps yao itakua rahisi
 
Nilichojifunza nchi hii sio ya kidekrasia hata kidogo nimeona itv farouk karim anaongea kitendo cha kutaja tu kuwa maalim seif kaongoza kituo gani sijuibwamekata matangazo fasta
 

Wakuu wangu yaani katika uchaguzi huu JF haijafanya vizuri hata kidogo. Miaka ya nyuma tulikuwa tunapata matokeo ya uhakika humu lakini mwaka huu naona mambo si mazuri hata kidogo. Mmejitahidi kuweka thread ya kila mkoa, nilitegemea updates ziwe kwenye ile post ya kwanza na itoke kwa mtu reliable badala yake imekuwa ni vurugu tupu hapa JF. Angalieni mabadiliko yasije yakatukumba.


 
Fanyeni kama Zanzibal alivyo Fanya Malim Seif
Hawana matokeo. Kituo chao cha kukusanyia matokeo kimevamiwa na Polisi na kuwakamata watu. Hii ni kwa mujibu wa Makene kama ilivyotolewa na gazeti la Mwananchi leo.
 
Manina hebu watupe tokeo
Chapu mi nishazoea kubet baada ya dakika tisini tokeo
Sasa hii supu ya utumbo naona wanataka ipoe
LOWASSA AJITOKEZE ATOE TAMKO CHAP
 
Hadi sasa majiji ya tanga, mbeya na arusha yako chini ya ukawa. Jiji la mwanza ccm wameshabeba tunasubiri jiji la dar sijui itakuwaje. Napenda sana lowassa anapowapokea akina obama pale air port aambatane na meya wa chama chake.
 
,hivi mnamuona mussa Alan aliitwa kamanda naye baada ya lowasa kuhamia ukawa
 
Mkuu The Boss kwanza si kweli Mkoa wa Kilimanjaro una majimbo mengi kuliko Dar na Tabora.

Dar es Salaam Ilala,Ukonga,Segerea,Mbagala,Temeke,Kigamboni,Kinondoni,Ubungo,Kawe na Kibamba jumla majimbo 10.
Tabora ina jumla ya majimbo 12 Tabora Mjini,Igalula,Uyui,Sikonge,Urambo,Kaliua,Ulyankulu,Nzega Mjini,Bukene,Nzega,Igunga na Manonga.

Kilimanjaro ina jumla ya majimbo 9 nayo ni Moshi Mjini,Hai,Sia,Same Magharibi,Same Mashariki,Rombo,Moshi Vijijini,Vunjo na Mwanga.

First mimi napinga hiyo set up
halafu huko ni issues za muungano

ya Kilimanjaro sio muungano why wawe na wabunge weengi kuliko Dar?au tabora?
 
Last edited by a moderator:
Mwanza na Dar ambayo ndo mpango mzima lazima yatue lumumba, sioni Zungu, Azzan, Jerry Slaa, Dr. Nanilii wa kigamboni, na hata yule Mmama wa Segerea wakishindwa, sioni! Cha kujivunia upinzani ni baadhi ya udiwani watapata.
Alafu naomba Mnyika arudi bungeni, hata kwa kuiba kura, tunamuhitaji sana pale mjengoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…