I call this a boo boo analysis... Unatakiwa kabla ya kuandika hiki ujiulize kwanza whether ushindi wa Mwanza was based on free and fair election. Uchaguzi huu umeongozwa sana na miongozo ya wakuu wa mikoa na wilaya na wakurugenzi wakitumia jeshi la polisi kama kinga yao. Ndio kumbe utaona hii propaganda ya Amani Amani.. Watu wakae majumbani amri ambayo pia imeshinikizwa na mahakama tafasiri yake ni ili kufanikisha uchakachuaji wa kura. Kukamatwa kwa mabox yenye kura zilizopigwa tayari siku kabla ya uchaguzi ktk mikoa zaidi ya mitano ni sample tosha kwamba kila jimbo la uchaguzi mchezo huu ulifanyika na ina suggest kwamba ambako hayakukamatwa yalifanikiwa kupita. Na nikahisi kabisa hizo kura zinazoandikwa zimeharibika ndio bao lenyewe. Kwa kifupi, hicho kilichofanyika, nguvu ya polisi na mahakama, vitisho toka kwa raisi na viongozi mbalimbali iliyotumika ni ishara tosha ya tyranny governments. Hapa sasa tutaona madhara ya kuongoza jamii ambayo majority hawaisupport utawala. Hapajakuwepo maendeleo ktk serekali ambayo imeundwa through unfair election process. Haki haiwezi kuwepo maana hata vyombo vilivyopo vya kutoa haki ni puppet wa serekali.