Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I call this a boo boo analysis... Unatakiwa kabla ya kuandika hiki ujiulize kwanza whether ushindi wa Mwanza was based on free and fair election. Uchaguzi huu umeongozwa sana na miongozo ya wakuu wa mikoa na wilaya na wakurugenzi wakitumia jeshi la polisi kama kinga yao. Ndio kumbe utaona hii propaganda ya Amani Amani.. Watu wakae majumbani amri ambayo pia imeshinikizwa na mahakama tafasiri yake ni ili kufanikisha uchakachuaji wa kura. Kukamatwa kwa mabox yenye kura zilizopigwa tayari siku kabla ya uchaguzi ktk mikoa zaidi ya mitano ni sample tosha kwamba kila jimbo la uchaguzi mchezo huu ulifanyika na ina suggest kwamba ambako hayakukamatwa yalifanikiwa kupita. Na nikahisi kabisa hizo kura zinazoandikwa zimeharibika ndio bao lenyewe. Kwa kifupi, hicho kilichofanyika, nguvu ya polisi na mahakama, vitisho toka kwa raisi na viongozi mbalimbali iliyotumika ni ishara tosha ya tyranny governments. Hapa sasa tutaona madhara ya kuongoza jamii ambayo majority hawaisupport utawala. Hapajakuwepo maendeleo ktk serekali ambayo imeundwa through unfair election process. Haki haiwezi kuwepo maana hata vyombo vilivyopo vya kutoa haki ni puppet wa serekali.
Kwanzia leo mtakiona cha motooo.. Edu anaanza kuwakimbizaa leo na kuendeleaa
Watajua kilichowapa kiburi
Mliwekeza sana katika mafuriko mkasahau kumwaga sera.
hivi mpaka sasa kati ya chadema na ccm nani kapoteza majimbo mengi??
We hujui kilichotokea jimbo la Lembeli! Unaweza kuamini kwamba jimbo la Kahama Lembeli alikuwa na asilimia 80 za kushinda kutokana na kukubalika kwa wananchi ukilinganisha na mpinzani wake wa CCM!
Lakini mbinu iliyotumika ni zaidi ya "bao la mkono" Huwezi amini Chadema haikuchukua hata kata moja pamoja na kupigiwa kura nyingi na wafuasi wake!
Kuna mengi yaliyo nyuma ya pazia kuhusu kilichotokea ila kwa leo ngoja niishie hapa nisije kuwa kama Dr. Ulimboka"